serikali

  1. Tatizo la Ajira kwa Watoto: Serikali Ichukue hatua kuchangia Elimu Bora na kulinda haki za Watoto

    Watoto wa umri kati ya miaka 5-17 wengi wao wanakumbwa na hali ya kulazimika kufanya kazi badala ya kwenda shuleni. Baadhi yao hulazimishwa kufanya kazi ili kusaidia familia zao na wengine hupata changamoto ya kushindwa kusoma kwa sababu ya majukumu ya kazi wanayopewa. Hii kusababisha wanafunzi...
  2. Wakati mvua zikiendelea kuutesa mkoa Dar, mkumbuke maji yanarudi mahala pake tu Serikali haina makosa

    Unaambiwa enzi hizo Dar es Salaam kulikuwa na mito mikubwa kabisa pamoja na maziwa(lakes) Tazama hii ramani ya beberu mjerumani inakupa picha kamili Kulikuwa na ziwa Tandale😅 Ziwa Mwananyamala😂 Ziwa Magomeni😅 Mto Sinza😅 Dar es Salaaam inahitaji MKOLONI arudi tena kuipanga upya maana yeye...
  3. Licha ya Serikali kufanya juhudi kubwa, bidhaa ni ghali sana

    Wananchi wanashindwa kumudu gharama za maisha. Sijasema nasapoti maandamano. Kusapoti kwangu naona Kama ni kuruhusu, na mimi siyo kazi yangu kuruhusu au kutoruhusu maandamano. Mwenye kazi hiyo ataifanya. Mimi natoa my honest opinion kwamba vitu vimekuwa nei ghalo sana. Halafu jana tumeona...
  4. D

    Maandamano yasiwe ya CHADEMA tu, mambo ni mengi ya kuilalamikia Serikali ya CCM

    Hatimaye imesalia siku moja kufikia 24/1/2024 ambayo ni siku ya kihistoria Tanzania. Ni siku ya mageuzi halisi. Yameandaliwa na kuratibiwa na Chadema kupinga miswada ya sheria za uchaguzi kama ilivyokubaliwa kwenye maridhiano. Hata hivyo tukiweka Kandi lengo la kisiasa tunaomba wananchi hasa wa...
  5. Namibia: Serikali yaweka wazi kuwa Rais Hage amekutwa na Ugonjwa wa Saratani

    Serikali imeweka wazi taarifa za vipimo vya Afya vya Rais Hage Geingob (82) na kuueleza Umma kuwa kiongozi huyo amekutwa na Ugonjwa wa Saratani na anatarajiwa kuanza matibabu kama ambavyo Madaktari wake walivyoelekeza. Taarifa ya Serikali imesema Rais huyo amekuwa akifanya vipimo vya afya mara...
  6. Hili la Umeme linatosha kuitoa serikali madarakani, Serikali ifanye jitihada za dharula kuweka hali sawa

    Habari JF, ninapoandika hapa ni zaidi ya masaa 12 hakuna umeme .suala la umeme limekuwa ni tatizo kubwa sana maeneo yote, Kazi hazifanyi lakini pia watu wanafanya shughuli zao katika mazingira magumu sana na kwa gharama kubwa . Hili serikali haioni kuna haja ya kufanya jitihada za dharula...
  7. Maandalizi ya AFCON: serikali iwafidie CCM, ikichukue kiwanja cha CCM kirumba, ikijenge kwa viwango vya kisasa, kitumike kwa mashindano

    Nashauri kiwanja hiki kitwaliwe na serikali, CCM wafidiwe, halafu kijengwe kiwanja cha kisasa pale. Hii itaendana na hadhi ya jiji la Mwanza. Kwa.sasa kiwanja hiki hata CCM hakiwapi faida yoyote ile.
  8. PreGE2025 Hizi ndizo sababu za kwanini Serikali ya CCM haitaki Maandamano ya CHADEMA

    Habari wanajamvi! Kwa kipindi kirefu nimekuwa nikifuatilia siasa za Tanzania na kuna mengi ya kuzungumza japo muda ni mchache ila kwa hili la maandamano ya chadema yanayotarajiwa kufanyika tar 24 mwezi huu wa kwanza nikaona si vibaya na mimi nikatoa mtazamo wangu hasa baada ya nguvu kubwa...
  9. S

    Asilimia 60 ya maafa ya mafuriko Dar es Salaam yanatokana na uzembe wa serikali, Raisi Samia akubali ukweli huu

    Ni kweli maafa ya mafuriko yanaitwa natural disasters, lakini sio lazima natural disasters zilete maafa kwa raia na mali zao. Asilimia 60 ya maafa ya mafuriko Dar es Salaam yanatokana na uzembe, ubinafsi, kutojali, na uongozi mbovu kwa ujumla wa viongozi wa serikali. Si mara ya kwanza Dar es...
  10. PreGE2025 Dkt. Nchimbi aonya viongozi wa CCM kuwavaa wa Serikali

    Akizungumza leo Januari 20, 2024 jijini Dar es Salaam wakati wa mapokezi yake baada ya kuchaguliwa kushika nafasi hiyo, Nchimbi amesema hakuna mtu asiyejua CCM ndio chama kinachoongoza Serikali, hivyo hakuna ulazima wa kutumia nguvu kudhalilisha watumishi wake. “Hatuwezi kusimamia Serikali kwa...
  11. A

    KERO Barabara ya kutoka Kitonga kwenda Mbande kupitia Tambani ni hatari kwa maisha ya binadamu

    Serikali ya Tambani (Mkuranga) inapuuzia ukarabati wa miundombinu ya barabara ya kutoka Kitonga kwenda Mbande kupitia Tambani, yapata miezi miwili. TANROADS na TARURA, wanachekea ujinga usiojificha.
  12. Serikali na Mvua

    Hii imekaaje? Mvua zikinyesha sana Sukari inakuwa hamna kwa mujibu wa Waziri Bashe. Mvua zikiwa hazinyeshi Umeme unakuwa hamna kwa mujibu wa waziri wa nishati. HII IMEKAAJE WAKUU?
  13. R

    Ushauri: Serikali iwahamishe wakazi wote eneo la mlima Hanang Manyara

    Salaam, Shalom!!! Baada ya Kutokea maporomoko na maafa mlima Hanang, zimefanyika jitiada kadhaa kurudisha maisha ya Wahanga yarudi kama zamani. Tumeshuhudia pia mamlaka Jana zikireport tetemeko la ukubwa wa 4.7 , hizi zote ni dalili za kuja Kutokea mlipuko wa volcano halisi. Ninaiomba...
  14. Tanga: Serikali yaunda timu kuchunguza madai ya uzembe Hospitali ya Bombo yaliyosababisha kifo cha Mwanafunzi

    Kufuatia hoja mbili kuhusu kilichotokea katika Hospitali mbili za Mkoani Tanga, mamlaka zimetoa majibu. Hoja zenyewe ni hizi hapa: = Hospitali ya Bombo kuna uzembe mkubwa. Inaumiza sana watu kutothamini uhai wa wengine = Uzembe wa Wauguzi wadaiwa kusababisha mtoto mchanga kuvunjika mkono wakati...
  15. Serikali yaja na Muarobaini wa Eneno la Mtanana Kujaa Maji

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Mhandisi Aisha Amour kuwasimamia wataalamu kutoka Wakala wa Barabara (TANROADS) kuhakikisha hadi kufikia mwezi Desemba mwaka huu uboreshaji wa miundombinu ya barabara katika eneo Mtanana katika barabara kuu ya...
  16. A

    DOKEZO Serikali ina mpango gani na Afya za Wananchi wanaotumia Soko la Mabibo? Watu wanalishwa uchafu pale

    Kuna vitu vinaumiza na kukera sana kwenye jiji la Dar es Salaam. Hali ya Masoko yake ni mbaya mno, ni ajabu sana kuamini Masoko haya yapo Dar es Salaam, sehemu inayoongoza kwa makusanyo nchi nzima. Hebu angalia uchafu uliotapakaa kwenye masoko haya. Haileweki kipi Chakula kisafi kipi kichafu...
  17. Diamond: Manara ana mchango mkubwa kwenye mpira, tukiendekeza chuki za mtu mmoja mmoja ni kudidimiza mpira. Aiomba Serikali imfungulie

    Msanii wa mziki wa kizazi kipya, Diamond Platnumz akiwa kwenye birthday party ya Manara jana usiku, alitumia sehemu kubwa ya salam zake kuongelea sakata la Manara kufungiwa na TFF kujishirikisha na mpira wa miguu Tanzania. Diamond amesema ni chuki na kuiomba Serikali ifanye jambo. Diamond...
  18. Je Katiba ni mali ya Serikali? Kama sivyo, kwa nini mpaka Rais ndo aruhusu mchakato?

    Rais anavunja katiba wazi wazi kwa kuzuia mchakato wa Katiba Mpya. Anaposema wananchi hawana ufahamu kuhusu Katiba, yeye ni malaika? Aliikuta Katiba na wananchi tunataka Katiba Mpya ili tuweze kurekebisha makosa ambayo watawala wanayafanya wakiamini uongozi ndiyo umiliki wa nchi Rais anapaswa...
  19. Tanzania yashiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Nchi Zisizofungamana na Upande Wowote (NAM)

    Takriban theluthi mbili ya nchi duniani zimekusanyika Jijini Kampala, Uganda kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Nchi Zisizofungamana na Upande Wowote (NAM) wenye nchi Wanachama 120 na Mkutano wa nchi za Kundi la 77 na China (G77+China) lenye Wanachama 134. Tanzania ni...
  20. Serikali iongeze bei ya energy drinks ili kunusuru maisha ya Watanzania

    Wasalaam wana jamiiforum Kumekua na matumizi mabaya sana ya energy drinks Tanzania. Mbaya kuliko ni kwamba hadi watoto wadogo wa shule za msingi ni wanywaji wakubwa wa hivi vinywaji. Na wanavichukulia powa kwamba vinawachangamsha na kuwaondolea uchovu lakini taratibu vinawamaliza. Nimewaza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…