serikali

  1. Paroko wangu wa KANISA la Karanga umenikosea Leo ibadani, Mimi sikuwa tayari kuwaombea wanahabari na viongozi wa serikali

    Baba paroko Tumsifu Yessu Kristo! Paroko wangu wa KANISA KATOLIKI karanga hapa Moshi vijijini Leo umenikosea ulipo niambia niwaombee viongozi wa serikali Ili watimize wajibu wao wa kutenda haki Pili umenilazimisha kuwaombea wanahabari Hawa washenzi wasio jua walifanyaro Hawa vikaragosi wa...
  2. R

    Uchawa umepunguza imani ya Wananchi kwa Serikali

    Demokrasia inahitaji sauti huru na uwajibikaji wa viongozi lakini pale ambapo kundi la vijana linageuka kuwa mashabiki badala ya walinzi, misingi hiyo taifa na misingi imara ya demokrasia huanguka taratibu. “Viongozi wanajua wakifanya kosa, watatetewa. Wapinzani wakisema ukweli, watashambuliwa...
  3. Naomba Serikali waruhusu maandamano ya Dec 09,2025 na wayasimamie!!!

    Naiomba serikali yangu tukufu iyaruhusu maandamano ya Amani yanayotarajiwa kufanyika Dec 09,2025 kwa sababu wawaache watu watoe dukuduku lao kwa Amani. Naamini kama Polisi wetu wanaweza kutoa ulinzi siku hiyo hakutakuwa na uvunjifu wa Amani katika maandamano hayo. Kutokuyaruhusu maandamano...
  4. Serikali Inacheka, Watu Wanalia! Vijana Tumekosa Ajira, Lakini Mfumo Uko Tu Huko Ujinga!

    Hey wana JF, leo nataka tuongee ukweli mchungu kuhusu hali ya ajira kwa vijana na hizi system zenye kutufanya waogope zaidi kuliko ilivyo sasa. Serikali ya Tanzania imekuwa inajifanya kila kitu kipo sawa lakini ukweli ni kwamba vijana wengi wanateseka. Serikali inatupeleka wapi na hizi sera...
  5. Serikali ya Tanzania imeiponza META kwa kukubali kufungia akaunti za wanaharakati. Elon Musk kaanza kuwasagia kunguni

    Kuna mambo yanaweza kuonekana madogo ila sasa yanaanza kuwafanya wengine kujutia huko walipo na makampuni yao. Ila jambo la Tanzania sio dogo yani duniani sasa linajulikana kuwa nchi iliyojaa mkono wa chuma na mauwaji. Mnakumbuka META ilishawahi kufunga account ya Trump na wengine wengi kisha...
  6. KERO Hivi hii shida ya maji ni huku tu au nchi nzima?

    Hello Wakuu Hii mitaa yetu huku Dar es Salaam tunakabiliwa na changamoto ya maji karibia wiki nzima na sio kawaida kabisa Naomba kuuliza ni viunga vyetu tu hivi vya kimaskini au nchi nzima hili tatizo lipo? Hii hali ikiendelea hivi mbele kutakuwa kubaya sana
  7. Nchi nyingine zinatutambua kama waandamanaji lakini Serikali yetu inatuona kama wahaini huku wauaji na watekaji ikiwanyamazia

    Nchi nyengine zina tutambua kama waandamanaji lakini serikali haramu inatutambua kama wahaini huku wauwaji na watekaji ikiwanyamazia. Watake wasitoke watajijua wenyewe sisi tutakinukisha.
  8. S

    Aviator itanitoa roho, Tafadhali serikali ingilieni kati vijana twafa

    Hello guys, Moja kwa moja, kwenye mada naiomba serikali itusaidie sisi vijana kwa kuifungia mchezo wa Aviator. Vijana wa chuo wanashindwa kulipa ada kwa sababu ya aviator, hata kununua nguo kwa vijana imekuwa changamoto. Tafadhali serikali sisi hatuwezi bila msaada wenu. Mkitusaidia katika...
  9. B

    Serikali ya CCM kutoka kupambana na vyama pinzani hadi kupambana na Gen z

    Miaka ya nyuma Serikali ilikuwa ikipambana kuzuia maandamano ya baadhi ya vyama vya siasa vya upinzani. Polisi wake walikuwa na kazi ya kuvamia venue wanazokutaniana wanasiasa kufanya shughuli za kisiasa na kuwasweka mahabusu na hata kuwafungulia kesi. Walikuwa na uwezo wa kukamata kamata...
  10. PostGE2025 Serikali na Polisi Wanakemea maandamano yasiyo na ukomo lakini mauwaji na utekaji usio na kikomo - aah! Tukutane Ikulu

    Serikali na polisi Wanakemea maandamano yasiyo na ukomo lakini mauwaji na utekaji usio na kikoma aah, tukutane ikulu
  11. PostGE2025 Wenje Hakuna Serikali Inayotaka Kuua Watu Wake

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ezekiah Wenje, amesema Serikali ya Tanzania ina wajibu na nafasi ya kikatiba kulinda maisha ya wananchi wake na mali zao, hasa wakati wa matukio yenye viashiria vya uvunjifu wa amani. Akizungumza katika mahojiano na Citizen TV ya Kenya siku ya Alhamisi, Wenje...
  12. Sweden kusitisha Ushirikiano wa Kimaendeleo na Tanzania ifikapo Agosti 31, 2026

    Serikali ya Sweden imetangaza kusitisha ushirikiano wake na Tanzania. Taarifa iliyotolewa na Ubalozi wa Sweden nchini inasema Sweden itasitisha ushirikiano wa maendeleo na Tanzania kufikia tarehe 31 Agosti 2026. Kwa sasa ushirikiano utaendelea hadi wakati huo. Sweden imesema uamuzi huu...
  13. Ukweli ni kwamba Serikali ina hofu na D9 Kuliko raia

    GT Sikilizeni watawala huko waliko wana bet hawajui kesho itakuwaje. Siri kubwa ni kwamba you can't defeat the mass. Nguvu ya umma ni hatari sana. Ikumbukwe M029 waliua na kuuwawa sana. Swali ni je wataua tena? Jibu ni Hapana wamechanyikiwa mkandamizo ni mkubwa sana. . Kwa sasa wamebaki...
  14. Q

    PostGE2025 Serikali ya Tanzania yajibu matamko EU, Marekani na mashirika ya kimataifa

    Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika taarifa kwa vyombo vya habari imesema Serikali imepokea taarifa na matamko kwa umma yaliyotolewa kwa nyakati tofauti na washirika wa maendeleo na Serikali za mataifa mbalimbali kuhusu matukio ya Oktoba 29, 2025. Wakati na baada ya...
  15. PostGE2025 Baada ya serikali kupinga maandamano haramu vijana vichwa ngumu mkaandamane UN itawsaidia kulea wake na watoto wenu

    Tanzania inaendeshwa kwa mujibu wa Sheria na kanuni . Kuandamana ni haki ya kila Mtanzania ila ni haki ya serikali kupinga au kukataa maandamano kwa sababu za kiusalama na kijamii. Hakuna serikali itakayotoa kibali cha maandamano ya kuiondoa serikali husika. Mngetaka kuiondoa mngepiga kura na...
  16. PostGE2025 Ni Serikali haramu pekee tangu uhuru baada ya uchaguzi yenye ipo kwenye mgogoro na wananchi na dunia ni kwasababu ni wasaliti wa nchi na haramu

    Ni Serikali haramu pekee tangu uhuru baada ya uchaguzi yenyewe ipo kwenye mgogoro mkali na wananchi na dunia ni kwasababu ni wasaliti wa nchi na haramu. Mgogoro hatimae unazaa maandamano makubwa sana africa nzima ni kwa kile kinachoitwa jaribio la kuiteka nchi na kuwa ya kikoloni na utumwa...
  17. Kweli Inaumiza. Baada ya Taarifa za nchi wanachama wa EU, Serikali Yatepeta, ona Hii Sasa!.

    Na sidhani kama hizi picha ni za jana au leo. Uenda zina wiki kadhaa baada ya mkongwe kuwa kuwa spika. Leo ni Jumaa karim ila sijui kina msiguer wanakosea wapi hapa 😆 😂 😂...
  18. Balozi za China, Saudi Arabia, Russia, Korea Kaskazini na UAE bado twangojea tamko lenu juu ya mauaji na madhila yanofanywa na serikali ya Tanzania.

    Balozi hizi zimekuwa kimya mno na juu ya kinoendelea nchini. Twangojea balozi hizi zitoe matamko au tamko moja kama tamko lilotolewa na balozi 17 zilizopo hapa nchini. Balozi hizi 17 zina makazi yake hapa nchini na bila shaka wala chembechembe za ushahidi wowote ule maofisa wake wameona...
  19. Kama kweli serikali imedhamiria pasiwe na maandamano D9 njia bora ni kupiga marufuku ya kutoka Siku hiyo kwa masaa muhimu

    Hamjambo Wakuu. 1. Ni vizuri kama kweli inania watu wasiandamane Siku ya tarehe 9 basi ni muhimu kutangaza mapema kabisa; 2. Kwamba Tarehe 9 watu wakae ndani. Kuanzia saa 12 asubuhi mpaka saa 6 mchana. 3. Kisha waingie ndani majumbani kuanzia saa 11 jioni wasitoke kabisa 4. Viongozi wa...
  20. Kama Meta inaweza kusikiliza Serikali ya Tanzania, hawa wafuasi siku wakipata mtandao wa kijamii mwengine wamekwisha

    Kufungia account za wanaosema ukweli na wanaharakati kwenye mitandao ya kijamii kupitia Meta kunaonesha kujipoteza. Mi navyo wafahamu warusi na nchi nyengine ambazo social media zao zijaweza kuwa watu wengi na hii ndio itakuwa njia yao sahihi kutembelea kitonga. Kama wanaharakati wakipata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…