Kwa sasa serikali imejifungamanisha na kanisa la KKKT, wanapewa mabilioni kwa kofia ya harambee, wakristo wa kweli ukataeni huu ushenzi, kanisa linapokea rushwa, kanisa limekubali serikali ijisafishie kwenye kanisa hili, hii ni dhambi kwa kanisa na ni dhihaka kwa waumini,
Kanisa halijawahi...