Wakuu
Inadaiwa mawakili wa Jamhuri hawajaonekana na hawajarudi Mahakamani mpaka muda huu.
Karani amesimama na kuseeleza kuwa kuna jambo limejitokeza anaenda kutafuta ufafanuzi kwa msajili wa mahakama na atarudi kuleta mrejesho.
Mwenendo wa Kesi > Kesi ya Lissu: Mahakama yatupilia mbali ombi...
My Take
Samia ataendelea kusalia kama Rais aliyefanikiwa sana kwenye nyanja ya Uchumi na biashara hapa Tanzania.
Mageuzi aliyoyafanya kwenye mashirika haya ya Umma yamefaulu ,hatutegemei tena hasara huko tuendko.
Bado mashirika machache sana mfano Air Tanzania na TTCL.
Pia soma Ojambi...
Aliyewahi kuwa kada wa CHADEMA na mtu wa karibu wa siku nyingi na Waziri Mkuu mpya (Mwigulu Nchemba) ndugu Ludovick Rwezaura ameibuka leo na kulishambulia vikali Kanisa Katoliki kwa kuikosoa Serikali ya Rais Samia...
Amejitambulisha kama muumini wa kanisa katoliki, aliyebatizwa na anayepokea...
Mtu mmoja aliyejitambulisha kama mmiliki wa magari ya Esther Joseph Didas Ngelewiya akiongea na wanahabari hivi karibuni alisema:
“Mimi ndiye mmiliki wa mabasi ya Esther Luxury Coach, hivi karibuni kampuni yangu imehusishwa kimakosa na baadhi ya viongozi wakuu wa kisiasa hapa nchini kwa madai...
Nimemsikiliza Mheshimiwa Warioba, amesema kuwa vijana wetu waliouawa na Iddi Amin ni wachache kuliko watanzania waliouawa na utawala wa samia kwa kutumia majeshi yetu.
Taarifa ya jambo hili imenitafakarisha sana, kunihuzunisha sana na kushangazwa sana kuona kuwa majeshi yetu yanaweza kufanya...
Wako tayari wakuue wanapokusikia unataka haki. Wao wanaamini Amani ndio kila kitu lakini si kukupa HAKI.
Wanalinda AMANI kwa kuua hata raia ambao hawataki viongozi wabaya. Wanalinda AMANI kwa kufukuza au kuhamisha wafanyakazi wanaopinga upigaji ndani ya miradi ya maendeleo. Wako radhi WAUE mji...
Duniani kila miaka inavyokwenda fursa zinapotea zaidi kwasababu ya kukua kwa teknolojia na ongezeko la watu. miaka ya 70-80 fresh form 4 leaver alikuwa anaajiriwa kama muhasibu. Vipi sasa hivi?
Miaka ya 2000 Niliona Darasa la saba wenye angalau leseni ya udereva hata bila cheti au wenye cheti...
Watanzania wote waishio UK kuandamana D9 kushinikisha serikali ya Samia iachie nchi yetu.
Aidha tunataka watanzania duniani kote kuandamana pamoja kusimamisha dunia.
Kwenu kilaza mkuu AG na vilaza wengine mliojazana kwenye Serikali isiyo halali ya Samia na CCM.
Nyaraka zilizowasilishwa ICC zimeeleza wazi Serikali ya Samia na CCM inafanya enforced dissaperance na extra judicial killings kwa activists na dissents. Zimeonesha jinsi mlivyowanajisi Wanaharakati...
Umoja wa Afrika (AU) umeisimamisha nchi ya Guinea Bissau kushiriki katika shughuli zake zote, siku mbili baada ya jeshi kumpindua Rais Umaro Sissoco Embaló.
Mwenyekiti wa Kamisheni ya AU, Mahmoud Ali Youssouf, amethibitisha kusimamishwa huko, akisema hatua hiyo inachukuliwa kufuatia ukiukaji wa...
Gen Z waombe msaada wa pesa hizo billion zilizo zuiwa kwa serikali ya Samia kwa kupitia mashirika ya haki za binadamu katika kipindi hiki cha misiba.
Kuna fedha nyingi sana takribani billion 200 zimezuiwa kutolewa kwa serikali ya Tanzania kwa mauwaji waliyofanya.
Hii ni nafasi ya gen Z kutumia...
TAARIFA YA TAASISI YA THABO MBEKI KUHUSU UCHAGUZI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OKTOBA 2025
Ni wakati wa kufungua haraka Sura Mpya!
Taasisi ya Thabo Mbeki inatoa taarifa hii kufuatia tafakari ya kina na yenye maumivu kuhusu Uchaguzi Mkuu uliofanyika Tanzania mnamo tarehe 29 Oktoba...
afrika kusini
mauaji ya uchaguzi tanzania
samia suluhu hassan
serikali batili
serikaliyasamia
taasisi ya thabo mbeki
thabo mbeki
trt afrika
uchaguzi haramu wa tanzania
Unajua hata kwenye kupima mizani kuna mambo hayaaingii akilini.
Machawa na Wajinga wanaotumwa na Samia kujaribu kutuliza upepo wanaleta propaganda mfu eti Wanaonewa na CNN
Wanasahau jambo lililosemwa na CNN kitaalam zaidi lilishasemwa na vyombo vinavyoaminika vya kimataifa vya habari wakiwemo...
Wakuu
Hivi ndo kusema kwamba tunaenda kutengwa kimataifa?
Maseneta wawili wa Kamati ya Mahusiano ya Kigeni ya Seneti ya Marekani wameitaka Marekani kutathmini upya uhusiano wake na Tanzania kufuatia ukatili uliofanyika wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29.
Chanxo; Risch, Shaheen...
Ushauri tu wangu binafsi, nimefikiria kwanini Jumuia ya Madola imetuma Mwakilishi/Kiongozi atakayesimamia au kuongoza maridhiano, naona hapo kama pana kamtego furani hivi
Wananchi tukikataa maridhiano, vyama vya upinzani vikikataa maridhiano, hamuoni kama tunampa Samia credit na serikali yake...
Msigwaaa Kiko wapi 🤣🤣
Msigwa Hilo Bichwa lako tunajua Lina Elimu ya hapa na pale tu kama mashahidi wako wa kesi ya LISSU .
Mnatanguliza Ufisadi mbele na Matumizi mabaya ya Fedha za Umma .
.
“Katika eneo la elimu kumekuwa na utata mkubwa wa uelewa nchi yetu imekuwa ikihangaishwa sana na tatizo la maadili lakini iko nyuma sana kwenye mafunzo ya dini, tulikuwa tunasema sasa nchi yetu inataka maadili gani ambayo hayatokani na dini?"
"Lakini kupitia uongozi wako (Rais Samia Suluhu)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.