Kundi la wanaharakati na watetezi wa haki za binadamu nchini Kenya limekamatwa leo Desemba 9, 2025 nje ya Ubalozi wa Tanzania jijini Nairobi wakati wakikabidhi ombi linalopinga rekodi ya Rais Samia Suluhu kuhusu ukandamizaji wenye vifo tangu mwishoni mwa Oktoba, na kutaka uwajibikaji kutoka kwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Kama kuna kiongozi anapaswa kushukuriwa ,kuungwa mkono ,kupendwa ,kulindwa ,kupiganiwa na kutetewa na vijana Wote wa Nchi hii. Basi kiongozi huyo siyo Mwingine bali ni Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri...
Ama hakika uchawa mbaya sana. Kupitia kipindi cha Jambo Tanzania Cha TBC leo Novemba 25, 2025 mkurugenzi wa shirika la utangazaji Tanzania anasema vyombo vya habari vya magharibi vilitakiwa kutusaidia kuripoti kuhusu serikali ya Rais Samia kupunguza vifo vya mama na mtoto na si yaliyotokea...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokradsi na Maendeleo (CHADEMA), John Heche akizunguma leo Novemba 19, 2025 ameituhumu Serikali iliyopo madarakani ya Rais Samia kuwa ndio iliyo ratibu na kuasisi Mauaji, utekaji na ubakaji kwa matukio yaliyotokea na yanayotokea nchini
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali za Kiislamu nchini, limelaani vikali vitendo vya uhalifu vilivyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025, na kuisihi serikali kufanya uchunguzi wa kina kubaini chanzo na vinara wa machafuko...
MSIMAMO WA ACT WAZALENDO KUHUSU MWENENDO NA MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU 2025
Chama cha ACT Wazalendo kupitia kikao cha Kamati ya Uongozi Taifa kilichoketi 7 Oktoba 2025 kimefanya tathmini ya kina kuhusu mwenendo na matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika tarehe 29 Oktoba 2025 ambao umekuwa pigo kubwa...
Chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mradi wa Maji wa Same–Mwanga–Korogwe ulianza rasmi mwaka 2014 baada ya utafiti wa awali kuanza mwaka 2006, lakini ulikwama kwa takriban miaka 20 kutokana na changamoto za kifedha, usimamizi, na mabadiliko ya mikataba.
Soma pia: Rais Samia azindua Mradi wa...
https://www.youtube.com/live/Tg4xJr-XGag?si=qkV33iiPHQZYvpad
Na. Mwandishi wetu.
Katika mjadala wa kitaifa uliofanyika kwenye Jukwaa la Wachambuzi, David Kafulila – Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia kati ya Serikali na Sekta Binafsi (PPPC) – alibainisha kuwa maendeleo ya taifa lolote hayawezi...
Balozi msitaafu Humphrey Polepole amewaomba watanzania wasimuhukumu kwa kushindwa kutoa matokeo mazuri kwenye kazi yake ya Ubalozi wa Tanzania nchini Malawi na baadae nchini Cuba kwa sababu alikuwa hapati ushirikiano wa kutosha kutoka kwa watendaji wa Serikali ya Rais Samia kwani wengi...
Heko tele ziende kwenye kituo cha Al Jazeera kwa kuendelea kuyamulika yanayoendelea Tanzania.
Jana/ leo wamerusha habari za Boniface Mwangi kutekwa na kuteswa na vyombo vya usalama vya Tanzania.
Kama bado haijatokew basi muda si mrefu itatokea.
Serikali ya Samia itakuja kukifungia kituo cha...
Akirejea kwenye ripoti ya CAG Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche asikitishwa na matumizi ya bilioni 571 kwenye mambo yasiyokuwa na tija.
Uwasilishaji wa ripoti ya CAG > Rais Samia akipokea Ripoti ya CAG kwa Mwaka 2023/2024 Ikulu Dar, Machi 27, 2025
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Munde Tambwe, ameipongeza Serikali ya awamu ya Sita kwa kusikiliza na kutekeleza maoni ya wananchi kuhusu reforms za uchaguzi kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special...
Hivi hii kalaa ya watoto kuamka ndani saa9 na kurudi nyumbani saa 4 usiku serikali haioni aibu?
Katika majiji yote makubwa hasa Dar, Mwanza, Arusha na Mbeya watoto wanateseka Sana!
Watoto wananyanyaswa San
Watoto wa kike kushikwa shikwa kwenye magari ya umma, kudharirishwa, kunyanyaswa na...
Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Albert Chalamila amewataka wananchi wa mkoa huo kuacha kuingiza siasa katika mambo yanayowahusu binafsi hasa katika Afya kwani hazitawasaidia badala yake zitawachelewesha na pia kuwa na madhara zaidi.
Akizungumza hivi karibuni na wanachi wa Temeke jijini Dar Es...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ameweka wazi sababu za kuwania nafasi ya uenyekiti wa chama hicho ngazi ya taifa na kutoa maoni yake kuhusu changamoto za kisiasa nchini.
Lissu ameyasema hayo wakati wa mahojiano ya hivi karibuni na kituo cha habari cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.