serikali ya marekani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PostGE2025 Msijaribu kuichokoza Serikali ya Marekani tafadhali kuhusu Raia wao kupatikana na mabomu nchini

    Waoneeni size yenu Chadema Huko mnakokwenda sio Hivi mnajua nguvu ya FBI na CIA, hao sio TISS inayotumwa na Mafweli na kuendeshwa na Abduli Yaani Mwanajeshi kutoka USAF umkamate Tanzania Rorya akiwa na mabomu ya kurusha? 😃 Hivi mnaona hayo mabomu ya kurusha ni silaha kubwa na USAF? Hayo mabomu...
  2. Trump ataka idara ya sheria ya serikali ya Marekani imlipe mamilioni ya dola kwa usumbufu wa uchunguzi na kesi dhidi yake

    Donald Trump anadai idara ya ya sheria ya Marekani/Department of Justice(DoJ) imlipe $230 million kwa kadhia za uchunguzi na kesi mbalimbali zilizoendeshwa na idara hiyo dhidi yake katika miaka iliyopita, madai hayo itabidi yapitie kwa watu aliowateuwa kuongoza idara hiyo ambao wengi wao...
  3. R

    Shughuli za Serikali ya Marekani zimefungwa

    Serikali ya Marekani imefungwa rasmi baada ya Bunge la Congress kushindwa kufikia makubaliano ya ufadhili wa kuendesha shughuli za kila siku, na hali iliyobaki kuwa sintofahamu kuhusu kinachofuata Ni mara nyingine tangu 2019 Serikali kufunga shughuli zake, ambapo vyama vya Republican na...
  4. S

    Mzozo Mkali unaoendelea kati ya Marekani na Venezuela

    Mnamo Agosti 2025 Serikali ya Marekani ilitangaza ongezeko la zawadi hadi dola milioni 50 kwa yeyote atakayetoa taarifa zitakazosaidia kukamatwa kwa Rais wa Venezuela Hatua hiyo ilichukuliwa kutokana na tuhuma kwamba Maduro anaongoza mtandao mkubwa wa usafirishaji wa dawa za kulevya...
  5. Mtoto wa El Chapo Ovidio Guzman Lopez kushirikiana na serikali ya Marekani dhidi ya familia yake kesi ya dawa za kulevya

    Mtoto Wa El chapo Ovidio Guzman Lopez amekiri kosa baada ya kukutwa na hatia kesi ya kuendesha magenge ya madawa ya kulevya nchini marekani. Ameweka wazi na kukubali kushirikiana na serikali ya marekani dhidi ya familia yake kwa lengo la kupunguziwa adhabu au muda wa kukaa jela. Mtoto kaamua...
  6. Ushuhuda: Licha ya No Reforms No Elections, Serikali ya Marekani bado inaiamini sana Tanzania

    Shirika la Fedha la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (DFC) wiki hii lipo nchini Tanzania kujadili mikakati ya jinsi ya kuwavutia wawekezaji wa Kimarekani kuja Tanzania ili kushirikiana na makampuni ya Kitanzania, hasa katika sekta za miundombinu na madini muhimu. Kaimu Balozi Andrew Lentz...
  7. Serikali ya Marekani yakifungia Chuo Kikuu cha Harvard kudahili wanafunzi wa kimataifa

    Serikali ya Marekani imekifungia Chuo Kikuu cha Harvard kudahili wanafunzi wa kimataifa, na kuamuru wanafunzi wa kigeni waliopo wahamie vyuo vingine au wapoteze sifa ya kisheria ya kuishi nchini humo. Uamuzi huo umetokana na chuo hicho kuchochea vurugu na chuki dhidi ya Wayahudi, na...
  8. Serikali ya Marekani yasitisha ufadhili wa siku zijazo kwa UNFPA

    Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia afya ya uzazi na jinsia (UNFPA) limetangaza kuwa Serikali ya Marekani imeamua kukata ufadhili wake wa baadaye kwa shirika hilo. Hatua hii itasitisha msaada muhimu kwa mamilioni ya watu walioko katika mazingira ya migogoro, na kwa wakunga wanaookoa...
  9. Utawala wa Trump wapiga marufuku mapenzi kati ya wafanyakazi wa Serikali ya Marekani na Wachina nchini China!

    Serikali ya Trump imepiga marufuku mahusiano ya mapenzi kati ya wafanyakazi wake walio China na Wachina nchini humo. Wachina wanamtisha sana mwendawazimu wannabe dictator Trump.
  10. K

    Nitafutieni waziri yeyote kwenye serikali ya Marekani ambaye jina linaanza na Profesa

    Nitafutieni kiongozi yeyote wa Serikali ya Marekani na majimbo yote 50 ambaye kwenye jina lake anaanza na Professor fulani kama utapata! Hili ni jina linatumika wakati wewe bado ni mwalimu wa chuo! Ukiacha ualimu hutakiwi kuitwa Professor tena! Professor kabudi na Tibaijuka wasingetakiwa...
  11. OpenAI yaitaka serikali ya Marekani kupiga marufuku Deepseek

    Kampuni ya akili mnemba ya Kimarekani OpenAI yaitaka serikali ya Marekani kuipiga marufuku akili mnemba Deepseek kutoka China ikiita kampuni inayopata usaidizi wa serikali na kudhibitiwa na serikali. OpenAI calls on US government to ban DeepSeek, calling it ‘state-subsidized’ and...
  12. PANAMA machaguzi ni mawili tu ni akubali Panama Canal irudi chini ya usimamizi wa Marekani au avamiwe, Trump kazi kaanza

    Panama wana machaguzi mawili tu kukubali ama kukataa na kila chaguzi lina matokeo yake hasi ama chanya. Maoni ya mdau
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…