Hakuna jambo linauma kama kufukuzwa kazi katika kipindi ambacho hujajiandaa.
Tumaini linalobaki ni kwenye savings na pension. Lakini baadae wakati wa kufuatilia pension unajikuta katika maumivu zaidi ya ile ya kufukuzwa kazi.
Najiuliza Sheria iliyounda NSSF ilipitiswa na nani na kwa bunge...