sequip

SEQUIP
Secondary Education Quality Improvement Project

The development objective of Secondary Education Quality Improvement Project for Tanzania is to increase access to secondary education, provide responsive learning environments for girls, and improve completion of quality secondary education for girls and boys. This project has four components.

1) The first component, Empowering Girls through Secondary Education and Life Skills, aims to support a set of results and DLIs that aim to improve access to safe secondary education opportunities in schools and alternative education centers and support girls to continue and complete their secondary schooling.

It has the following two sub-components:
(i) creating a safe learning environment for students in schools; and
(ii) promoting girls’ completion of secondary education through quality alternative education pathways.

2) The second component, Digitally-Enabled Effective Teaching and Learning, aims to support a set of results and DLIs that aim to improve teaching and learning in secondary education.

It has the following two sub-components:
(i) Digitally-Enabled Effective Teaching and Learning; and
(ii) Adoption of digitally-enabled teaching of Mathematics and Science.

3) The third component, Reducing Barriers to Girls’ Education through Facilitating Access to Secondary Schools, aims to support a set of results and DLIs focused on enhancing infrastructure standards in secondary schools and to ensure adequate funding of key inputs as secondary schooling expands.

4) The fourth component, Project Coordination, Monitoring and Evaluation, aims to provide support to reinforce existing capacity, inform education planning and policy decision making and implementation of key project activities.
  1. Nipe Maji

    GE2025 Serikali kupitia Mradi wa SEQUIP yakamilisha ujenzi wa miundombinu katika shule za Sekondari za wasichana Dar es salaam na Ruvuma

    Serikali kupitia Mradi wa kuboresha elimu ya sekondari-SEQUIP imekamilisha ujenzi wa miundombinu mbalimbali katika shule mpya za Sekondari za wasichana Dar es salaam na Ruvuma. Pamoja na dhamira hiyo ya serikali ya kuboresha sekta ya elimu kwa kuwekeza na kufanya ujenzi na ukarabati wa...
  2. R

    Mradi wa SEQUIP Kuongeza ufaulu Singida

    Wananchi wametakiwa kushirikiana na serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan kulinda miundombinu ya shule iliyojengwa ili kuongeza ufaulu wa wanafunzi mkoani Singida Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Mkoa wa Singida, Mhe. Halima Dendego wakati akizungumzia...
  3. Nipe Maji

    GE2025 Bilioni 36.596 za mradi wa sequip zilivyo inufaisha dodoma kwenye sekta ya elimu

    Mkoa wa Dodoma ni miongoni mwa maeneo ambayo yamepata fedha nyingi kupitia mradi wa kuimarisha ubora wa Elimu ya sekondari nchini SEQUIP ambapo umepokea zaidi ya Bilioni 36.596 Fedha hizo ambazo zimetolewa na serikali zimetumika kujenga shule mpya 41 za Sekondari ambazo miongoni mwake ni pamoja...
  4. Nipe Maji

    GE2025 Kigoma: Serikali kupitia mradi wa SEQUIP yatoa Shilingi Bilioni 5.7 kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya shule mpya mbili za sekondari

    Serikali Kupitia Mradi wa kuboresha Ubora wa Elimu Sekondari (SEQUIP) imetoa kiasi cha zaidi ya Shilingi Bilioni 5.7 kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya ujenzi wa shule mpya mbili za sekondari zitakazorahisisha upatikanaji wa huduma za elimu mkoani Kigoma. Shule hizo ni pamoja na Shule ya...
  5. A

    KERO Taasisi ya Elimu ya watu wazima haijalipa wawezeshaji wa mradi wa SEQUIP kwa miezi miwili mfululizo bila taarifa yoyote

    Mradi wa SEQUIP - AEP unafadhiliwa na Benki ya Dunia na unatekelezwa na Ofisi ya Rais TAMISEMI. Mradi huu unalenga kuwarudisha watoto wa kike waliokatisha masomo kwa sababu mbalimbali kupitia elimu mbadala (Alternative Education Pathway). Mpaka sasa umepita muda wa miezi miwili mfululizo...
  6. A

    Mradi wa elimu mbadala kwa wanafunzi waliokatisha masomo SEQUIP - AEP haujafanya malipo kwa muda wa miezi mitatu mfululizo bila taarifa yoyote

    Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (IAE) inatekeleza mradi wa kuwarudisha watoto wa kike waliokatisha masomo kupata elimu kwa njia mbadala (SEQUIP) chini ya programu ya Altenative Education Pathway (AEP). Mradi huu unafadhiliwa na Benki Kuu ya Dunia na unatekelezwa na Ofisi ya Rais TAMISEMI. Mpaka...
  7. Roving Journalist

    Serikali yasema imejenga Shule 760 za Kata, kati ya 1000 zilizopangwa kujengwa nchi nzima kupitia SEQUIP

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amezindua Shule mpya ya Sekondari ya Yombo iliyojengwa katika Kata ya Ikuna Wilaya Njombe, Mkoani Njombe Akizungumza Oktoba 03,2024 katika Kata ya Ikuna baada ya kuzindua shule hiyo Prof. Mkenda amesema kuwa Serikali inaendelea kuwekeza...
  8. A

    KERO Wasimamizi Mradi wa SEQUIP, tusaidieni. Kuna kitu hakiko sawa

    Wadau habarini, Mimi ni mwalimu katika moja ya vituo binafsi vya mitihani kwa private candidates (Mufindi DC). Tuna wanafunzi wa kike waliokuja kwa programu maalumu ya serikali (SEQUIP) ambao wanalipiwa gharama zote na serikali kwa makubaliano yetu na serikali, lakini tunaenda kumaliza muhula...
Back
Top Bottom