Mara baada ya Mwananchi kupitia JamiiForums.com kulalamikia huduma ya Kazi za N-CARD katika kuweka fedha, inayowalazimu kupanga foleni wakati wa kuitumia katika Kivuko Kigamboni, ufaafanuzi umetolewa na Selcom.
Kama hukusoma andiko la Mdau bofya hapa ~ Kwanini N-CARD hawana App inayowezesha...
Tunawaandikia kama mawakala wenu tukitoa malalamiko yetu rasmi kuhusu huduma za umeme (LUKU) na controller number, ambapo kwa muda mrefu hakuna kamisheni inayolipwa kabisa huku makato ya miamala yakiendelea kufanyika.
Sisi kama mawakala:
Tunaweka mtaji wetu binafsi
Tunahudumia wateja na kubeba...
Anonymous
Thread
barua
barua ya wazi
huduma
huduma ya umeme
kamisheni
kuuza
kwenda
selcom
tanzania
umeme
wazi
NYUMBA INAUZWA NA BENKI
--------------------------
Benki ya Access Bank ambayo kwa sasa inafahamika kwa jina la Selcom Bank inauza nyumba ya Mteja wao kwa makubaliano maalum ili kuweza kufidia mkopo:
🇹🇿 NYUMBA IPO CHANIKA KIMWANI
📜 UMILIKI: TITLE DEED (HATI)
💼 BEI : 29m (Bei...
Selcom Pesa has emerged as a significant market disruptor in the financial services sector, particularly in Tanzania.1 Its disruptive strategy centers on providing a digital financial platform with a focus on affordability, convenience, and a wide range of services designed to serve both the...
Ni jambo la kusikitisha na linalokatisha tamaa kuona kuwa ofisi yetu imeamua kupunguza kwa kiwango kikubwa ubora wa huduma za bima ya afya kwa wafanyakazi, bila kuzingatia athari zake kwa afya na ustawi wa watu wanaoendesha shughuli za kila siku za kampuni.
Kwa sasa, wafanyakazi wameondolewa...
Kwakweli kwenye sekta ya Teknolojia hasa huduma za kifedha hizi kampuni zinatia hasira sana.
Jana nimefanya muamala kwa T-Pesa (TTCL) kwenda HaloPesa (Halotel) haukukamilika, nikawapigia simu huduma kwa wateja, masaa 24 yamepita muamala haujakamilika na pesa haijarudi kwenye akaunti.
Leo...
Ulikuwa wapi? Mbona umechelewa? Ila sio mbaya japokuwa umetukuta na makovu makubwa sana yaliyosababishwa na hawa mabepari kwa kutushushia vitu vizito pasi na huruma
Kwa sasa, vijisenti vyangu navieka mahali salama, baada ya wiki navichungulia, navikuta vikiwa vile vile. Wangekuwa hawa mabepari...
Bahati Nasibu ya Taifa ya Tanzania, leo imetangaza rasmiushirikiano na mtoa huduma kinara wa malipo kwa njia ya simu nchini Selcom Tanzania, ilikuhakikisha Watanzania wanashiriki katika michezo ya bahati nasibu kwa urahisi mara tuBahati Nasibu ya Taifa itakapozinduliwa rasmi. Ushirikiano huu...
Salamu wadau, kwema?
Nilikuwa nataka kujua hizo huduma hapo juu, Kwa anayetumia. Yupi yup ahead zaidi ya mwenzie? Wapi Kuna makato nafuu? Nasoma komenti
Nauza laini za wakala Tigopesa, Mpesa, Airtel money na Halopesa na Selcom Machine
Laini za uwakala zote nne nauza kwa 300,000
Mashine ya selcom nauza kwa 200,000.(Inafanya kazi na ia hali nzuri)
Laini zote zimesajiliwa kwa jina moja la biashara,hivyo ni rahis kwa wewe kwenda kuzibadilisha...
Miaka ya nyuma ziliibuka vi microfinance vingi ila miaka 2000 kwenda mbele zilipata faida ya mikopo wanayotumia kukopesha watu mpaka nyengine zikijiweka kama benki.
Kutokana na mdororo wa uchumi duniani na wengi kufungua makampuni ya mkopo ,vijibenki vingi vimeanza kumuuzia selcom.
Kumbuka...
Benki ya 'Access Microfinance Bank Tanzania (AMBT)' yenye makao makuu imeuzwa kwa kampuni ya kitanzania ya Selcom kama mwanahisa mkubwa zaidi na sasa itajulikana kama 'Selcom Microfinance Bank'. Uwekezaji wa Selcom unaifanya benki hiyo kufikisha mtaji wa zaidi ya Sh 8.6 bilioni.
Kampuni ya...
Wakuu Naomba mwenye uzoefu naomba anisaidie
Nimefungua ofisi ya biashara ya miamala ila napata changomoto watu wakitoa pesa kwa wingi float inajaa,
Changamoto inakuja namna ya kupunguza salio la kwenye machine ili kupata cash hasa kwa selcom ambapo tumejiunga na benki kadhaa. Tumefuatilia...
Salaam.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Naomba mwenye kujua ofisi za hawa jamaa wanaitwa Selcom malipo mtandaoni.
Mnamo tarehe 01 November nilipita kituo cha mafuta cha Puma pale posta kuweka mafuta bahati mbaya sikuwa na cash hivyo nikaona kuna njia ya kulipia kwa simu...
Habari wakuu mimi ni mjasiriamali mdogo mdogo,nilikuwa nahitaji huduma hii ya kuscan kwa kupitia seclom mastercard.msaada jinsi ya kuipata na vigezo vyake
Tunawapongeza TCRA kwa kuifungia app ya Mange Kimambi, kwa TZ mpaka uwe na VPN ndo unaipata.
Lakini Hilo halitoshi kwani Bado anaendelea kuwachangisha Watanzania kupitia Selcom. Yaan watu wanalipia upumbavu na ikiukwaji wa maadili kwenye app yake.
TCRA tunajua mna uwezo wa kumwambia Selcom...
Salam kwanza kabisa napenda kushare na nyinyi uzoefu wangu kuhusu mfumo wa malipo wa Selcom
Mimi ni Wakala wa benk na mitandao ya simu huwa ninafanya miamala mingi ya malipo kama tra ada ya vyuo vya serikali kwa kupitia mfumo wa malipo wa selcom
Sasa nachotaka kuwatahadharisha ni kwamba huu...
Tumesikia habari za wizi uliofanyika katika mfumo wa Selcom Pay, wahusika wamekamatwa na zaidi ya bilion 2
Ni ukweli usio na shaka ya kuwa mfumo uliingiliwa pamoja na kuwa Selcom hawajataka kuliweka wazi
Je ni nini kimetokea.? How did the breach happen .? Pesa zetu ziko salama.? W
Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.