sekta

Sekta is a village in the Imphal East district of Manipur, India. Sekta Archaeological Living Museum is situated in the village.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Maono ya Kibunifu kwa Miaka 5, 10, 15, Hadi 25 Ijayo katika Sekta ya Afya

    Utangulizi Tanzania imepiga hatua kubwa katika kuboresha sekta ya afya kwa miaka kadhaa iliyopita, lakini bado kuna changamoto nyingi zinazohitaji ufumbuzi wa kibunifu ili kufikia afya bora kwa wote. Maono haya yanachora taswira ya jinsi sekta ya afya inaweza kubadilika kwa miaka 5, 10, 15, hadi...
  2. JamiiForums Tanzania SoC04 Sekta ya miundombinu

    Ili kupunguza changamoto ya foleni katika maeneo tofauti nchini Tanzania ni kuboresha miundombinu ya barabara zetu ambazo ndio chachu ya maendeleo kwa kiasi kikubwa kwani itapelekea Watu kuwahi katika maeneo yao ya kazi na shughuli zao na kuongeza kipato cha mtu mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla...
  3. 7

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania nimiongoni mwa nchi zinazo endelea kukua kwa kasi sana ili iweze kufikia lengo kati ya miaka 5 mpaka 25 ijayo inatakiwa kuboresha sekta mbali

    Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazokua kwa kasi sana barani Afrika. Ili kufikia malengo kati ya miaka 5 hadi 25 ijayo, inatakiwa kuboresha sekta mbalimbali. Elimu ni nyanja muhimu sana katika taifa letu. Ili kufikia lengo, inatakiwa mitaala yetu ya elimu iboreshwe ili kumuandaa kijana wa kesho...
  4. K

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ushirikishwaji wa sekta binafsi katika miradi ya serikali

    Tumeona serekali yetu ikitekeleza miradi mipya ya kimikakati mikubwa kama ujenzi wa reli ya kisasa mabasi ya mwendo kasi na bwawa la kufua umeme la mwalimu nyerere hii yote ikiwa ni mipango na mikakati ya kufikisha huduma bora kwa jamii. Tumeona treni ya SGR imekamilika na kuanza kazi...
  5. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo tunahitaji kutunga na kutekeleza sera na sheria zinazosimamia sekta ya ICT ili kuhakikisha usalama wa mtandao na haki za watumiaji

    UTANGULIZI Kuboresha sekta ya teknolojia ya habari na mawasiliano (ICT) ni muhimu katika kufikia Tanzania tunayoitaka kwa miaka 25 ijayo na ya sasa. Yafutayo ni maelezo ya kina kuhusu jinsi ya kuboresha sekta hii: Uwekezaji katika Miundombinu ya ICT: Tanzania y tutakayo inahitaji kuwekeza...
  6. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Nini tufanye ili kuboresha sekta ya afya miaka kumi ijayo

    Afya ndiyo mtaji wa maisha ya binaadamu,bila kuwa na afya bora huwezi kufanya shughuli za uzalishaji mali na badala yake ni kupoteza kile ulichokuwa ukikifanya kama chanzo cha mapato, sababu hiyo pia hupelekea umaskini. Kumbe basi Serikali ni watu ili nchi iwe katika hali nzuri ya kiuchumi Afya...
  7. E

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mbinu kwa ajili ya kuboresha sekta ya ufugaji, kilimo, na uvuvi

    Hii ni sekta ya muhimu katika uchumi wetu. Ikiwa usimamizi wa sekta hii utaendelea kusimamiwa vizuri uchumi wetu utapanda kwa miaka mitano (5),kumi (10) na kuendelea.katika sekta hii tunapata malighafi mbalimbali kwa ajili ya viwanda mbalimbali mfano, alizeti kwa ajili ya kutengeneza mafuta...
  8. N

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Kwa Miaka 5-25 Ijayo - Katika Sekta ya Elimu

    Katika kipindi cha miaka 5 hadi 25 ijayo, Tanzania inahitaji kuchukua hatua thabiti na bunifu ili kufanikisha malengo ya maendeleo endelevu. Miongoni mwa sekta muhimu zinazohitaji maboresho makubwa ni elimu . Kwa kuzingatia umuhimu wa sekta hii, ni muhimu kuunda mikakati inayohakikisha...
  9. N

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo kwa miaka 5 hadi 25 ijayo katika sekta ya Afya

    Tanzania Tuitakayo: Miaka 5-25 Ijayo Katika kipindi cha miaka 5 hadi 25 ijayo, Tanzania inakusudia kuwa taifa lenye ustawi mkubwa, usawa wa kijinsia, na huduma bora za afya. Ili kufanikisha malengo haya, ni muhimu kuhamasisha wanawake kushiriki kikamilifu katika mchakato wa maendeleo na...
  10. L

    JamiiForums Tanzania SoC04 Sekta ya Ujenzi na Ukuzi wa Uchumi wa Tanzania katika maendeleo endelevu

    Tanzania na nchi za afrika kwa ujumla wake tumekuwa na uduni katika kukuza SEKTA ya UJENZI kwa MAENDELEO ENDELEVU pamoja na usalama wa nnchi zetu 1. SEKTA YA UJENZI ni nyenzo muhimu katika maendeleo ya taifa lolote Tanzania ikiwemo. Kati ya sekta inayotumia pesa nyingi katika mataifa...
  11. C

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mabadailiko chanya katika Sekta ya Elimu

    Kwa miaka kadhaa sasa kumekua na wimbi kubwa la vijana wasomi mtaani wasio na ajira, jambo hili limekua likiwavunja moyo wanafunzi waliopo mashulen kwa wakati husika na kupelekea wanafunzi wengine kukatisha masomo yao kabla ya muda sahihi wa kumaliza shule na kisingizio kimekua ni “ hawaoni...
  12. E

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mbinu kwa ajili ya kuboresha Sekta ya Uchukuzi

    Moja - Itengwe bajeti ya kutosha katika sekta hii; zitolewe fedha ambazo zitakidhi mahitaji ya sekta ya (UCHUKUZI), hata kama sio kwa asiilimia mia moja. Hii itasaidia miradi mfano reli,barabara,maji n.k kukamilika tena kwa wakati na uchumi wa watu na taifa utakuwa. Mbili - Kuwapa kazi ya...
  13. L

    JamiiForums Tanzania SoC04 Elimu ni tunu na zawadi kwa vizazi vyetu mitaala ya elimu ibadilishwe

    Kwa maono yangu Tanzania tuitakayo kuna baadhi ya vitu vinahitajika kuongezwa na vingine kuondolewa kwenye sekta ya Elimu. Mfano mitaala ya Elimu ya sasa haimuandai mwanafunzi muhitimu, kupata ujuzi ambao anaweza akauhamisha kutoka kwenye maandishi kwenda kwenye vitendo ili kutatua matatizo ya...
  14. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo yenye huduma bora za mikopo ya Elimu ya juu, na kuweka utaratibu mzuri wa marejesho Kwa wote hata kwa ambao hawapo sekta rasmi

    UTANGULIZI. 👉Lengo kuu la HESLB ni kutoa msaada wa kifedha kwa wanafunzi wa elimu ya juu ili kuhakikisha kuwa wanaweza kukamilisha masomo yao bila kikwazo cha kifedha. Dhamira yake ni kuongeza upatikanaji wa elimu ya juu na kusaidia kuboresha ubora wa elimu nchini Tanzania. 👉Baada ya kumaliza...
  15. JamiiForums Tanzania SoC04 Mikopo kwa wanamichezo ili kuinua sekta ya michezo, sanaa na utamaduni

    Michezo, Sanaa na utamaduni ni ajira, burudani, biashara na utambulisho wa Taifa. Sekta ya michezo, sanaa na utamaduni ni sekta muhimu kiuchumi katika nchi zilizoendelea kwa mfano nchini Uingereza, sekta ya michezo inakadiriwa kuchangia kiasi cha Tsh. trilioni 110.9 kwa mwaka kwenye pato la...
  16. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo katika sekta ya uchumi

    Naitwa Amos maduhu magembe kutoka ubungo manicipal kata ya kibamba. Uchumi ni swala la msingi na UTI wa mgongo Katika maendeleo ya taifa letu la Tanzania Katika maswala ya kiuchumi, tunahitaji kufanya Mambo yafuatayo Ili kuifikia Tanzania tuitakayo baada ya miaka 25. 1. Viongozi kuwa wazalendo...
  17. D

    JamiiForums Tanzania SoC04 Maendeleo ya Tanzania sekta ya ujenzi na makazi (miaka 5- 15)

    Makazi ni mahitaji ya binadamu kwa lengo la kukizi huduma za maisha. Maisha ni hali au uwezo wa kuishi kwa kuzingatia kula mlo kamili wenye virutubisho. Tanzania inakumbana na changamoto nyingi kama vile watoto wa mtaani , wezi ni kwa sababu ya marafiki au malezi ya wazazi. Kero kubwa ikiwa ni...
  18. JamiiForums Tanzania Fursa na Mitaji Sekta ya Ujenzi Inakuja, Kikubwa Tuwajibike

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali inaendelea na jitihada za kutafuta fedha kupitia wahisani mbalimbali wa maendeleo ili kusaidia Makandarasi wa ndani kuwa na uwezo wa kutekeleza miradi mbalimbali ya miundombinu nchini. Akiongea kupitia kipindi cha Mizani ya Wiki cha U...
  19. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo katika sekta ya elimu

    Elimu ni Kitu cha msingi sana ili kuipata Tanzania Tuitakayo, Kuna baadhi ya mambo yakiboleshwa katika Elimu kuanzia ngazi ya msingi hadi Elimu ya juu:- 1. Ufuatiliaji wa mitaala kwa shule za msingi na serikali: wadau wa Elimu pamoja na wazazi inabidi tuwe tunafatilia,mitaala kama wanayopewa...
  20. JamiiForums Tanzania SoC04 Sekta ya Elimu

    Ili kuboresha sekta ya Elimu Tanzania na kuboresha mazingira ya ufundishaji na ujifunzaji mashuleni hususani katika kipindi hiki cha mabadiliko ya sayansi na teknolojia na matumizi ya vifaa vya TEHAMA ni vyema Serikali kuhakikisha inaboresha mazingira ya kimtandao mashuleni Uwepo wa huduma ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…