sekta

Sekta is a village in the Imphal East district of Manipur, India. Sekta Archaeological Living Museum is situated in the village.

View More On Wikipedia.org
  1. X

    JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali iwekeze katika elimu ili kuandaa nguvukazi yenye ujuzi na maarifa

    Utangulizi Tanzania tuna umuhimu wa kufanya mageuzi ya kina katika sekta ya elimu ili kuandaa nguvukazi yenye ujuzi na maarifa kwa ajili ya maendeleo endelevu ya taifa. Ninatoa maono ya kibunifu yanayolenga kuboresha mfumo wa elimu kwa miaka 5 hadi 15 ijayo, yakizingatia mabadiliko ya...
  2. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Sekta ya elimu ikiwa hivi naiona Tanzania mpya baada ya miaka kumi na tano(15)

    Utangulizi, Sekta ya elimu Tanzania ndio inaandaa wadau wote wa maendeleo, Kila mmoja katika nafasi yake akijengwa kujua kitaaluma kuino nafasi yake katika maendeleo ya taifa kuna uhakika wa mabadiliko chanya katika katika sekta zote za kiuchumi Tanzania. Mapungufu ya sekta: Kwa bahati mbaya...
  3. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Katika miaka mitano ijayo Tanzania kufanye mabadiliko katika sekta

    STORY OF CHANGE MSIMU WA NNE (4) Andiko linahusu Tanzania tuitakayo Tanzania tuitakayo iwe bora katika mambo yafuatayo ni lazima tuifanyie mabadiliko katika sehemu zifuatazo ambazo ni; Afya: Tanzania kma nchi ni lazima tufanye mabadiliko katika sekta hii ya afya hili tumpunguze adui mkubwa...
  4. JamiiForums Tanzania Bajeti ya Wizara ya Madini Imegusa Kila Sekta Hasa Wachimbaji Wadogo wa Madini Nchini

    MHE. MASACHE KASAKA: Bajeti ya Wizara ya Madini Imegusa Kila Sekta Hasa Wachimbaji Wadogo wa Madini Nchini "Serikali imewasilisha bajeti nzuri ya Wizara ya Madini maana imegusa kila sekta hasa kwa wachimbaji wadogo. Mimi natokea Wilaya ya Chunya palipo na Wachimbaji wadogo nimeona Serikali...
  5. JamiiForums Tanzania Sekta Binafsi tukatwe kodi kidogo. Tusifananishwe na Watumishi wa Umma

    Wasaaalam wana jukwaa, leo katika pita pita zangu za mjini nilienda ofisi moja ya muhimu sana, nikakuta watumishi wako muda wa mapumziko, nilifanikiwa kuchangamana nao na kujadili mawili matatu. Nilimsikia mmoja akisema kwamba amemaliza kusoma na hataki tena (training) ya aina yoyote kwa maana...
  6. JamiiForums Tanzania Arusha: Prof. Kitila na Angela Kairuki kuongoza Kongamano la Uwekezaji katika Sekta ya Utalii na Ukarimu

    Kufuatia agizo la Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alilolitoa Aprili 4, 2024 akiwaapisha viongozi mbalimbali alitoa maelekezo mahususi kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, kuhusu kuhamasisha uwekezaji katika sekta ya utalii kwa kushughulikia changamoto ya upatikanaji wa...
  7. JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yasitisha kufadhili mradi wa REGROW. Mradi huo unahusishwa na ukiukaji wa Haki za Binadamu nchini Tanzania

    Mnamo Aprili 18, 2024, Benki ya Dunia imesitisha mara moja utoaji wa fedha kutekeleza mradi wa REGROW nchini Tanzania kuanzia mara moja. Hatua hii ni baada ya taasisi ya Oakland Institute kufanya advocacy kwa niaba ya niaba ya wakazi wa maeneo ambayo wataathiriwa na mradi huo. Mradi huo wa dola...
  8. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi serikalini vaeni mpendeze kama sekta binafsi

    Huwa nawaza hawa watumishi wa umma wanapatikanaje aisee ukienda ofisi za umma licha ya kuwa na majibu ya hovyo bado unakuta mtu amevaa sijui nini msabato siyo msabato tabu tupu angalia mabenki ya binafsi jinsi wadada wanawaka angalia hospitali binafsi mpaka unatamani uumwe nenda sasa hizo...
  9. JamiiForums Tanzania Jokate Mwegelo Aainisha Mapinduzi Makubwa Katika Sekta ya Elimu Zanzibar

    📌📌KOMREDI JOKATE MWEGELO (MNEC) AAINISHA MAPINDUZI MAKUBWA KATIKA SEKTA YA ELIMU ZANZIBAR Asema Vijana wanayo kila Sababu ya Kumuunga Mkono Dkt. Mwinyi Mambo Mengi makubwa Dkt. Mwinyi ameyafanya kwa Kipindi Kifupi Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Konresi Jokate...
  10. JamiiForums Tanzania Sekta 10 bora duniani zinazoendesha uchumi.

    unahitaji kufahamu sekta kubwa zaidi duniani. Itakusaidia kufanya maamuzi sahihi kuhusu mahali pa kuwekeza pesa zako. Inasaidia pia kujua ni viwanda gani vinakua na ambavyo vinatatizika. 1. Sekta ya Utengenezaji(manufacturing industry) Sekta ya utengenezaji ni moja ya tasnia kongwe zaidi...
  11. JamiiForums Tanzania Maboresho ya sekta ya elimu yanaendelea kwenye shule za kata

    Mnamo Oktoba 2023, Nilifanikiwa Kuhudhuria Mahafali Ya Kidato Cha Nne, Ya Shule Ya Upili, Zavara. Katika Mahafali Haya, Mgeni Rasmi Alikuwa Mbunge wa Viti Maalumu Anayewakilisha Wafanyakazi, Mhe. Janejelly James Ntate, Ambaye Alihusia na Kuwatia Moyo Wanafunzi Waliohitimu Kidato Cha Nne...
  12. JamiiForums Tanzania Denmark yatoa zaidi ya Tsh. Bilioni 103 zilizotumika kwa ajili ya kusaidia Sekta ya Afya kupitia Mfuko wa Afya

    Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akizungumza wakati wa Mkutano na Waziri wa Ushirikiano wa Maendeleo na Sera za Mabadiliko ya Tabianchi wa Serikali ya Denmark, Mhe. Dan Jørgesen (hayupo pichani) aliyeambatana na ujumbe wake, ambapo wamefanya mazungumzo kuhusu ushirikiano wa nchi...
  13. JamiiForums Tanzania Miaka Mitatu ya Rais Samia Sekta ya Ujenzi

    MIAKA MITATU YA RAIS SAMIA KATIKA SEKTA YA UJENZI. Serikali imesema imekamilisha ujenzi kwa kiwango cha lami wenye jumla ya kilometa 1, 198.50 katika kipindi cha miaka mitatu cha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan tangu aingie madarakani mwezi Machi, 2021. Hayo yamesemwa Aprili 5, 2024...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa azungumza na Vyombo vya Habari

    Mkutano wa Mawaziri na Vyombo vya Habari Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. 🕰️ 7:00 Mchana. 📆 3 Aprili, 2024. 📍 Dodoma, Tanzania.
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO NSSF iingilie kuhakikisha Malipo kwa wafanyakazi sekta Binafsi yanafanywa

    Sekta Binafsi, Makampuni binafsi baadhi hawaweki pesa za Wafanyakazi katika mifuko yao ya mafao na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) lipo tu halichukui hatua zozote. Sijui Maafisa wanafanya kazi gani kama sio kufuatilia malipo ya Wafanyakazi, Je wanataka Watu wakihitaji mafao waanze...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Rais Samia alivyowezesha mageuzi katika sekta ya afya ndani ya muda mfupi

    Afya bora au Afya dhaifu ni kigezo cha kutambua uhai wa Taifa lolote, Afya bora ni matokeo ya mambo mengi na moja wapo likiwa ni huduma bora katika nyanja mbalimbali. Miaka kadhaa iliyopita mgonjwa kufanyiwa CT SCAN ilikuwa nadra na kwa hospitali chache. Kwa kutambua umuhimu wa huduma bora za...
  17. I

    JamiiForums Tanzania Mambo makubwa aliyofanya Rais Samia kwenye sekta ya kilimo

    Kwenye Sekta ya Kilimo Serikali ya Rais Samia imeongeza bajeti ya Kilimo kutoka Tsh. 751 mwaka 2022 hadi Tsh. bilioni 970. Kuongezeka kwa uzalishaji wa chakula Tani 17,148,290 hadi kufikia Tani 20,402,014 na kufikisha asilimia 124 ya kiwango cha utoshelevu wa chakula. Ameipatia wakala wa...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Ufaransa yatambua jitihada za Rais Samia sekta ya maji, yampongeza na kumuunga mkono zaidi

    UFARANSA YATAMBUA JITIHADA ZA RAIS SAMIA SEKTA YA MAJI, YAMPONGEZA NA KUMUUNGA MKONO ZAIDI Waziri wa Maji Mheshimiwa Jumaa Aweso amekutana na kufanya mazungumzo na Mheshimiwa Chrysoula Zacharopoulou, Waziri wa Nchi-Maendeleo ya Uchumi (Secretary of State for Economic Development) wa Ufaransa...
  19. JamiiForums Tanzania Mkutano wa kisekta wa ushirikiano katika Sekta ya Ulinzi

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) ameshiriki pamoja na mawaziri wenzake wa Ulinzi toka nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki katika mkutano wa Kisekta wa Ushirikiano katika sekta ya Ulinzi, tarehe 8 Machi, 2024.
  20. J

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Miundombinu yawasili Singida kukagua miradi ya Sekta ya Ujenzi

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu ikiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe.Selemani Kakoso (Mb) imewasili wilayani Itigi Mkoani Singida na kupokelewa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, leo tarehe 12 Machi 2024. Kamati hiyo ikiwa Wilayani hapo itakagua na kutembelea miradi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…