Chumba kimoja cha kulala pamoja na sebule.
Eneo: Mbezi Beach
Bei Tshs 100,000/Mwezi
Maji ya dawasa yapo masaa 24, Usalama Upo wa kutosha, Ipo umbali wa dakika 2 kutembea kwa mguu.
Tuwasiliana: 0686648630
Chumba na sebule, Choo cha nje.
Maji ya dawasa, Umeme Luku wawili, Maegesho ya gari ipo, Uzio na usalama Upo.
Bei Tshs 100,000 Kwa Mwezi
Kodi ya Miezi 6
Wasiliana nasi: 0686648630 | 0716442950