scholarship

  1. Higher Education Scholarship Officer at the School of St Jude

    Higher Education Scholarship Officer Position: Higher Education Scholarship Officer School of St Jude The School of St Jude is a pioneering leader in charitable education within Africa. We are giving 1,800 students free, quality education and 100’s of graduates access to higher education each...
  2. Je, una ndoto za kusoma nje ya nchi hususan Sweden? Niulize swali nitakujibu ninachokifahamu

    Amani iwe nanyi Wakuu, Maisha ya sasa imekuwa adimu binadamu kumtendea wema binadamu mwingine. Imekuwa ni nadra sana kumsaidia mtu mwingine hata tu kwa mawazo. Yaani wivu, utapeli, chuki na mambo mengine mabaya yanayofanana na hayo imekuwa ndio sehemu ya walio wengi. Imekuwa ngumu zaidi kupeana...
  3. Nina elimu ya Kidato cha nne naweza kupata scholarship nchini Canada?

    Habari zenu wadau wa jamii forum, samahani, kiu yangu ni kufanya kazi nje hasa nchi ya Kanada na elimu yangu ni kidato cha nne kwa ufaulu wa division 3 nimemaliza mwaka 2015 masomo ya sanaa,kulingana na tafiti yangu ndogo nimeona wengi hupitia kwa njia ya masomo ili kufika huko Je, kulingana na...
  4. C

    Msaada wa ufadhili kusomea urubani

    Ndugu ktk forum hii, mwanangu wa like kamaliza kidato cha NNE, na kupata division one point 12, anapenda tokea utoto wake kusomea u-pilot Kutokana na changamoto ya kukosa ada familia tunaelekea kufeli kumfikisha ktk malengo, je naweza kupata scholarship? kwa namna yoyote, na huku mm am blind...
  5. Waziri wa Elimu akipongeza Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa kuanza kutoa Scholarship kwa vipanga wanaofanya vizuri Mitihani ya Sayansi Kidato cha Sita

    Students who perform well in Science subjects in their Form Six national examinations are eligible for the scholarship at the University of Dar es Salaam You may be among those who have applied for university scholarships for international students - but were never lucky. Although there are...
  6. M

    Ni ipi Scholarship Nzuri Kwa Aliyesoma Degree Ya Human Resource Management.ili kujiendeleza na Masters?

    Naomba kujua taratibu za Scholarship kwa aliyemaliza degree ya HRM. njia za kupata scholarship
  7. E

    Hatua za kufuata wakati wa kufanya maombi ya full funded scholarship ya kusoma nje ya nchi

    Habari za Leo ndugu na marafiki. Leo nitaelezea hatua za kufuata wakati wa kufanya maombi ya full funded scholarship ya kusoma nje ya nchi. Basi ili walau kupata mwanga wapi pa kuanzia fuatana na mimi katika hii video fupi.
  8. Scholarship Opportunities fully funded by EAC

    CALL FOR SCHOLARSHIP APPLICATIONS FROM NATIONALS OF EAST AFRICAN COMMUNITY PARTNER STATES TO PURSUE KFW- FUNDED MASTER’S STUDIES (COHORT 2) IN AN EAC PARTNER STATE OTHER THAN THEIR OWN Opening date: 2nd October 2020 Closing date: 22nd October 2020, 17:00 hours, East African Time Thematic...
  9. Tuition scholarship

    Hi for every one and I wish God is able for every one my name is mr Derrick Deo have a problem concern about education issue come there to search a sponsor you help me to pair tuition fee for university in diploma program. Am form six leaver graduate last year but failed to join university...
  10. Developers na wenye nia ya kujifunza changamkieni hii kitu (google Africa Developer Scholarship 2020)

    Grow with Google, Andela and Pluralsight have partnered to provide a new program to support software developers in Africa on Android, Google Cloud and Mobile Web skills development tracks. The aim of this program is to continuously engage with aspiring and existing developers to help them become...
  11. PASET (RSIF)PhD Scholarship in Applied Science, Engeering and Technolgy

    Kama kichwa kinavyojieleza,wenye vigezo changamkieni hii fursa. Kwa maelezo zaidi wasiliana na; RSIF Regional Coordination Unit (RCU) Administered by the International Centre of Insect Physiology and Ecology (icipe) P.O. Box 30772 – 00100, Nairobi, Kenya Tel +254 (20) 8632000 Email...
  12. Fredrick Mchauru - Mtanzania wa kwanza kupata scholarship atimiza miaka 100. Alikuwa Katibu Mkuu katika Serikali ya Awamu ya Kwanza ya Tanganyika

    Mzee Fredrick Mchauru ambae ni mtanzania wa kwanza kuwai kupata scholarship nchini Tanzania ametimiza miaka 100 leo April 25. Mzee Mchauru alizaliwa tarehe 25 April mwaka 1920 huko Newala Mtwara na alisoma Sekondari ya Chidya na Minaki. Mzee huyu alikua katibu mkuu katika serikali ya kwanza...
  13. Scholarship internet links

    Na nyinyi jaribuni bahati zenu kwa kuomba scholarships nje.. Tanzania (Chevening Scholarship) | Chevening Tanzania - University of Liverpool Tanzania | University of South Wales Your country International Scholarships for Students from Developing Countries Tanzania Embassy Site | EDUCATION...
  14. DAAD PhD Scholarship Mathematics in Industry and Commerce in Germany 2019/2020

    DAAD in Germany is offering scholarships for DAAD PhD scholarship in Mathematics in Industry and Commerce (MIC) at the Technical University of Kaiserslautern in 2020. The MIC programme was launched in 2006. Like the predecessor programmes MSc Industrial Mathematics and the Sandwich PhD...
  15. E4D Continuing Education PhD Scholarship in Switzerland 2019/2020

    Eidgenössische Technische Hochschule Zürich University in Switzerland is inviting applications for the E4D Continuing Education PhD Scholarship Programme in 2020. The Engineering for Development (E4D) Continuing Education Scholarship Programme awards scholarships for travel and living expenses...
  16. PhD Scholarship Opportuinity at Sokoine University of Agriculture 2019/ 2020

    College of Agriculture Department of Crop Science and Horticulture The project on “Agroecology methodology on vegetable crops” invites qualified Tanzanians to apply for a four years PhD scholarship at Sokoine University of Agriculture, Morogoro, Tanzania, starting early 2020. This project...
  17. Jinsi ya kupata fully funded Scholarship ya kusoma ndani na nje ya Tanzania

    Wakubwa naomba kuwasilisha hii inisaidie mimi na wadau wengine wanaopenda kujua juu ya habari ya Scholarship haswa zinazotolewa nje ya nchi yetu. 1. Vigezo vyake vimekaaje? 2. Jinsi ya kuapply
  18. New Scholarship Opportunities at The University of Dar es Salaam ( UDSM ) 2019/20 | Deadline: 31st October, 2019

    New Scholarship Opportunities The University of Dar es Salaam ( UDSM ) 2019/2020 NAFASI ZA UDHAMINI WA MASOMO 2019 Overview: The University of Dar es Salaam is the oldest and biggest public university in Tanzania. It is situated on the western side of the city of Dar es Salaam, occupying...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…