scholarship

  1. Wajuvi wa rotary scholarship naomba muongozo

    Wanajanvi habari za wakati hu, Samahani kwa yoyote mwenyewe ABC Za rotary club of osterbay scholarship, I mean when to apply, inatumia muda gani kutoa majibu na majibu yanamfikiaje applicants please share here Thanks in advance
  2. Samia Health Specialisation Scholarship program 2024/25

    SAMIA HEALTH SPECIALISATION SCHOLARSHIP PROGRAM 2024/25. ORODHA YA WATAALAM WALIOPATA UFADHILI WA MASOMO MWAKA 2024/2025. JINA LA PROGRAMU & IDADI YA NAFASI 1. Super-Specialization 44 2. Mmed (Specialization) 334 3. Mdent (Specialization) 8 4. MSc. Midwifery Specialization 14 5. MSc. Nursing...
  3. Samia Scholarship inahusu wengi, tuikimbilie, ndiye mkombozi wa wanyonge wasio na karo

    Je, Hili jina la scholarship ni sahihi? Je, Marais wengine walipewa majina kwenye mkopo ambao fedha ni za walipa kodi? Je, nani alaumiwe, kama kuna lawama, kwa kila kitu kukiita ch aRais hata kama yeye mwenyewe hajaagiza hivyo? Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia inatangaza programu ya...
  4. Ifakara Health Institute (IHI) Public Health Masters Scholarship kupitia chuo cha Nelson Mandela

    Wapendwa nimeanzisha hii thread kwa yeyote mwenye information kuhusu kuhusu hiyo scholarship inayotolewa na IHI kwa wale wenye admission za masters of public health chuo cha nelson mandela, mana mimi nina admisssion ya 2024/2025 na niliomba samia scholarship ila majibu bado na nimesikia ipo hiyo...
  5. Michongo ya elimut

    Kumekuwa na kelele kila kona namna ambavyo vyuo na Taasisi za elimu ya juu nchini vinavyosumbua wale wanaojiunga ili kujiendeleza kielimu kwa ngazi ya shahada ya uzamili (Master degree) na uzamivu (PhD). Ninaomba tuweke tupeane connections (michongo) ikiwemo scholarship links na vyuo vyenye...
  6. D

    Kwanini Wazungu ndo huwa wanatoa scholarship ya kusoma na siyo Waafrika? Mmeshawahi kujiuliza?

    Mi mara nyingi nawaombea wazungu waendelee kufaniakiwa kila wakati mana niwatoaji sana na wana utu. Ndo mana utawakuta watu au wanafinzi wako busy kuapply scholarships huko ulaya au marekani ila kinyume chake haiwezekani. Miafrika ni mibahili na ina roho mbaya sana na michawi haipendani ndo...
  7. Merit Scholarship ni nini?

    Hello JF members, Nimefanikiwa kuchaguliwa na moja ya vyuo vikubwa hapa nchini kujiunga na mwaka wa masomo 2024/2025 ngazi ya Cheti. Sasa kwenye account yangu ya maombi katika chuo hicho nimewekewa na option ya "merit scholarship" nikiaswa kuomba. Sasa nimefika hapa mbele yenu kwa wajuvi wa...
  8. Walowahi kusoma, kufanya kazi au kuishi Ulaya na viunga vyake naombe kuyafahamu mambo haya

    TAHADHARI :Kama ujawahi kufika Ulaya usicomment kwenye huu uzi. WAKUU nipo najianda kusaka full funded Scholarship Nchi za Ulaya, sasa nilikua naomba muongozo wa nchi za ya kwenda na maisha ya upambanaji yapoje huko yani kazi nje ya masomo na malipo kwa ujumla. Mambo ya kufanya na kutokufanya...
  9. Je, naweza kupata scholarship ya kusoma nje ya nchi bachelor degree?

    Habari wana JF, Mimi ni mwanachuo wa diploma mwaka wa pili nilikuwa naulizia kwa wazoefu kuwa naweza kupata scholarship ya kusoma nje ya nchi kusomea bachelor degree na kama ni ndio, vigezo vyake na sites za ku'apply ni zipi?
  10. Kuanzishwa Samia Scholarship ni ishara kwamba serikali inayosimamiwa na Samia kufeli katika Elimu hususan kusimamia HESLB

    Kisheria bodi ya mikopo ya elimu ya juu pekee ndiyo bodi rasmi ya serikali ya kutoa mikopo, kulingana na vigezo mbalimbali vilivyowekwa. Wako vijana wanaokosa mikopo wakati wanavyo vigezo vyote, kwanini fedha hizo zielekezwe kwa wengine ilihali ni fedha ya umma na inatolewa kwa mfumo na...
  11. Rais anatoa wapi fedha za kuanzisha Samia scholarship? Tuache mchezo na fedha za umma kisiasa. Fedha zirudishwe HESLB!

    Kisheria bodi ya mikopo ya elimu ya juu pekee ndiyo bodi rasmi ya serikali ya kutoa mikopo, kulingana na vigezo mbalimbali vilivyowekwa. Wako vijana wanaokosa mikopo wakati wanavyo vigezo vyote, kwanini fedha hizo zielekezwe kwa wengine ilihali ni fedha ya umma na inatolewa kwa mfumo na...
  12. Kupata music scholarship nje ya nchi

    Wakubwa habari Mwenye ujuzi na mambo ya ufadhili aje hapa Mtupeni hzi scholarship za kusoma music nje ya nchi kwasabab mim nimetafta ila sizioni
  13. Mliowahi kupata funded scholarship mtupe uzoefu

    Nipo katika mchakato wa kutuma maombi funded scholarship za ujerumani DAAD masters in international health. Hivi mwajiri anaweza kutoa cheti cha utumishi wakati bado unafanya kazi na vilevile Recommendations Letter hasa kwa private?
  14. Samia scholarship extended program(MSc Nuclear Science): 2024/2025

    Wakuu habari, poleni na majukumu. Kuna hizi scholarship zinazotolewa na Tume ya nguvu ya Atom Tanzania (TAEC) kupitia Raisi Dkt Samia Suluhu Hassan (Maelezo zaidi yapo katika tovuti ya taec.go.tz). Sababu ya kupost ni kwamba tangu siku ya Jumatatu website husika haipatikani hewani na link ya...
  15. Wizara ya Elimu acheni kuwa madalali wa Scholarship za Ubalozi

    Jana nilipata nafasi ya kukutana na Kiongozi mmoja wa Ubalozi wa New Zealand nchini Tanzania, tulipata wasaha wa kula chakula cha jioni yeye pamoja na familia yake. Tulikuwa kwenye hoteli moja maarufu sana haa Dar es Salaam, na baada ya kupata chakula tulizungumza mambo mengi na kupiga stori...
  16. Benki kuu Tanzania (BoT) yatangaza nafasi za ufadhiri wa masomo elimu ya juu

    Benki kuu ya Tanzania(B.O.T) imetangaza scholarship katika mwaka wa masomo 2024/25
  17. Anayejua namna ya kuomba scholarship anisaidie

    Binafsi nina mdogo wangu anemaliza kidato cha sita ana ufaulu wa 1.5 PCB Embu anaejua jinsi ya ku apply anielekeze
  18. Je ni mashirika gani Tanzania yanatoa scholarship for continuing students wa bachelor degree?

    Habari Nipo na interest ya kufanya scholarship application zilizopo hapa hapa Tanzania, Je ni mashirika yani ukiachana MO foundation and Samia scholarship , yanatoa scholarship kwa continuing students if you first year GPA is more than 4.0 and you are a science student Thanks in advance, any...
  19. P

    Vijana wengi tunaibiwa kwa uvivu kupitia nafasi za ufadhili wa masomo nje

    Kuna wimbi la watu wengi wanaelezwa juu ya nafasi za ufadhili wa masomo ya juu kwa ngazi tofauti na mashirika mbali mbali. Mara nyingi kwa kutumia lugha za biashara mfano "Scholarship opportunities upto 50%" Watu wamekuwa wakikimbilia fursa hizi na kupatiwa nafasi vyuo mbali mbali nje ya nchi...
  20. Nawezaje kupata scholarship ya kusoma master’s ya afya (Masters in Medicine)?

    Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Mimi ni kijana niliyehitimu masomo ya udaktari wa binadamu(MD) mwaka 2021 kutoka chuo fulani nchini Tamzania, nilifanikiwa kufanya Mafunzo ya utarajari pia katika hospital fulani mkoani, nilipomaliza nikafanikiwa kufanya mtihani wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…