scholarship

  1. ndege JOHN

    Vijana wa kitanzania tunazingua mtu anataka mkopo au scholarship halafu vigezo hajatimiza akikosa anaishia kulalamika

    We mtu umeona tangazo la mkopo linasema kabisa uwe na 1. biashara hata kama ni ndogo yenye TIN 2.uwe na bank account means kwa mtu mwenye akili anakuwa anajua kabisa lazima wanataka wacheki statement hivyo ilipaswa niwe nafanya miamala mara kwa mara hata kama midogo 3.uwe na NIDA means...
  2. Erick Martie

    Kwa wanaotaka Taarifa na Huduma za Scholarships mbalimbali karibu katika WhatsApp group la Education Scholarship....

    Group hili tunatoa huduma Mbalimbali za Kufanya application na taarifa zote zinazohusu Current scholarships available na namna ya kufanya Application mpaka kuweza kutimiza ndoto yako ya kusoma Abroad. Pia kuelimishana namna bora ya kujaza taarifa zako ndani ya Mifumo ya scholarship na vyuo...
  3. robbinhood

    UFADHILI WA SAMIA (SAMIA SCHOLARSHIP EXTENDED DS/AI+) KATIKA FANI ZA SAYANSI YA DATA, AKILI UNDE NA SAYANSI SHIRIKISHI

    Hellow , kuna yeyote alieomba huu ufadhili?mchakato upoje hadi Sasa?
  4. Kimbesa11

    Mataifa ya wenzetu wanakesha wanatafuta scholarship, ajira za kimataifa, network za biashara lakini huku wanakesha wanaskiliza press za Polepole

    Mtu yyte mwenye majukum hawezi akakaa eti anaangalia press ya uongo na upotoshaji ya Polepole then what next? Badala aombe michongo huko ughaibuni au aGoogle viwanja kwenye mfumo nk lakini anakesha anaangalia TV 🚮 Kama mnasikiliza ili mpate chakuongea humu jukwaani basi your mentally lost, hii...
  5. Mowwo

    Nawezaje kupata scholarship ya Masters program?

    Wakuu kwema? Mimi nina rafiki yangu ni mwalimu wa masomo ya Chemistry na Biology. Anawezaje kupata scholarship ya kusoma masters? Mwenye uzoefu, anawezaje kupambana kupata full funded scholarship? NB: Preference yake ni Nelson Mandela Institution of Science and Technology(Arusha) Asanteni^
  6. DR HAYA LAND

    Wanasiasa, hiyo Samia scholarship kwanini mnaitoa kwa wanafunzi waliosoma masomo ya Science?.

    Ukiswasikiliza wanasiasa wetu unagundua uwezo wa kuwaza mambo ni mdogo sana . Ikiwa mmeamua kutoa Scholarship kwanini mnatoa kwa wanafunzi waliosoma masomo ya science tu ? Ebu tuwe serious wakuu kwakuwa mambo mengine yanafikirisha Sana . na ni ubaguzi usio na sababu . Acheni siasa katika...
  7. HOST NOT FOUND

    Nahitaji Scholarship ya kusoma shahada ya sheria (LL.B) nje ya nchi

    Habari za wakati huu wapendwa wanajukwaa, Natumaini wote mko salama. ■Kwa heshima na unyenyekevu, naomba msaada wa ushauri, taarifa au hata fursa yoyote kuhusu scholarships (ufadhili wa masomo) zinazopatikana kwa ajili ya kusomea Shahada ya Sheria (Bachelor of Laws – LL.B) nje ya nchi. ■Nina...
  8. HOST NOT FOUND

    Nahitaji Scholarship ya kusoma SHAHADA YA SHERIA (LL.B) Nje ya Nchi -Naomba Ushauri wa Wadau

    Habari za wakati huu wapendwa wanajukwaa, Natumaini wote mko salama. Kwa heshima na unyenyekevu, naomba msaada wa ushauri, taarifa au hata fursa yoyote kuhusu scholarships (ufadhili wa masomo) zinazopatikana kwa ajili ya kusomea Shahada ya Sheria (Bachelor of Laws – LL.B) nje ya nchi. Nina...
  9. M

    Uelewa kuhusu cut off points kwa watanzania kupata MasterCard foundation scholarships inayotolewa pale UWC Afrika Kusini

    Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu naombeni mnisaidie kwa anayefahamu MasterCard foundation scholarships inayotolewa pale UWC in south Africa tafadhali maana ni ndiyo yangu kusoma huko. Nimemaliza form six mwaka 2024 nikiwa na division one of points six , A in chemistry, B in...
  10. KJ07

    Msaada wa MEXT SCHOLARSHIP APPLICATION ya JAPAN

    Habari za wakati huu wana jukwaa. Niko mbele yenu hapa kuomba kama kuna yoyote aliyewahi kuomba na kupata Scholarship za MEXT za nchini JAPAN aweze kunipa guidance ya mambo kadhaa maana dirisha ndo limegunguliwa. Natanguliza shukrani na naomba kuwasilisha. Asante.
  11. Damaso

    Aviator yampotezea Dismas Tsh Milioni 57 za kwenda kusoma Scholarship Uingereza

    Raia mmoja Mkenya amepoteza zaidi ya KSh2.8 milioni sawa Tsh Milioni 57 kwenye jukwaa la kamari la Aviator, pesa ambazo zilikusudiwa kufadhili masomo yake nchini Uingereza. Dismas Mutai, ambaye alikuwa amejiandikisha katika Chuo Kikuu cha Anglia Ruskin huko **London Uingereza**kwa kozi ya mwaka...
  12. JanguKamaJangu

    Jumuiya ya Madola yaridhia wito wa Rais Samia kuanzisha Commonwealth Julius Nyerere Scholarship

    JUMUIYA ya Madola (Commonwealth) imeridhia wito wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan wa kuanzisha mpango maalum wa ufadhili wa masomo wa Commonwealth Julius Nyerere Scholarship. Mafanikio hayo yanatokana na majadiliano ambayo Rais Dkt.Samia aliyafanya na Katibu...
  13. Mkalukungone Mwamba

    Ufadhili wa masomo kwa Raia wa Tanzania kwa Shahada ya Uhandisi katika Vyuo Vikuu vya India kwa Mwaka wa Masomo 2025-2026"

    Kwa Mwaka wa Masomo 2025-2026, Ubalozi wa India nchini Tanzania kupitia Baraza la Mahusiano ya Kitamaduni la India (ICCR) unatangaza ufadhili wa masomo kwa raia wa Tanzania wanaotaka kusoma shahada ya uhandisi kwa miaka minne katika vyuo vikuu vya India kupitia Mpango wa Quad STEM Scholarship...
  14. Meneja Wa Makampuni

    Scholarship kwa Waafrika wote angalia nchi yako

    Scholarships now open!! — Curtin University warmly welcomes students from eligible African countries to apply for the Australia Awards Africa Scholarships for our Master's degrees commencing in 2026. Curtin has a developed a holistic platform for engaging with the African continent and African...
  15. F

    Erasmus Mundus GOALS Scholarship 2025/27: A Fully-Funded Master's Degree in Sports Management: Application assistance will be given

    Navigate www.researchlinktz.com and view the "Opportunities' page to see this scholarship. If you want to apply we can give assistance. You can write to info@researchlinktz.com or see contacts in the website above.
  16. A

    DOKEZO Responded Wanufaika wa Ufadhili wa Masomo ya Masters kupitia Samia Suluhu Scholarship tumetelekezwa bila muongozo

    Licha ya kutangazwa kwa ufadhili wa masomo ngazi ya Master's Degree kupitia Samia Suluhu Scholarship na wanufaika kuorodheshwa kwenye Website ya bodi ya mikopo inayofahamika kama HESLB. Lakini takribani wiki kadhaa sasa licha ya masomo kuanza ufadhili huo unaonekana wakusuasua ambao haujatoa...
  17. C

    Fully funded scholarship for undergraduate, Masters and PhD in Turkey

    Haya ndugu zangu kama kawaida yangu ikitokea fursa nawatonya. Wengi waliniuliza kuhusu undergraduate, haya fursa ndo hiyo ya kwenda uturuki. Application ni simple sana just visit website Yao, na unaweza apply hata kama huna passport UKATUMIA national ID. Mimi kama kawaida yangu ni kuwasaidia...
  18. C

    Full funded scholarship in Taiwan

    Habari zenu, TaiwanICDF Scholarships zimefunguliwa kwa sasa. Ni full funded kwa masters na PhD Ukitaka hatua zote za application zipo kwa website Yao, nenda google alafu search TaiwanICDF scholarships, utakuta maelezo yote pale. Kama utakwama sehemu wakati wa application nitafute Whatsapp kwa...
  19. C

    Taiwan Full funded scholarship opportunity

    TaiwanICDF Scholarship is now open till 1st march. The scholarship is full funded for masters and PhD and covers flight expenses go and return. The programs are English taught. It's so easy to apply all you need is to visit TaiwanICDF website and download the guidebook there you'll find all the...
  20. S

    DOKEZO Responded Baadhi ya wanafunzi waliopata Samia scholarship UDSM wakumbana hali ngumu kufuatia kutopata fedha za kujikimu na ada ya masomo

    Changamoto za Wanafunzi Walionufaika na Samia Scholarship – Ombi la Msaada Tunapenda kuwasilisha changamoto zinazowakumba baadhi ya wanafunzi walionufaika na Samia Scholarship katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Wanafunzi hawa wanakumbana na hali ngumu kufuatia kutopata fedha za kujikimu wala...
Back
Top Bottom