Mara nyingi Mungu anakua anazungumza na Mimi kupitia ishara ya Moto ,
Kama wanafunzi wa Yesu pia alivyo fufuka walisema,
Je ,mioyo yetu Aikuwakawaka ndani yetu alipo kuwa akisema nasi.
Sijajua Kwa wenzangu nataka kujua na nyie uwa inakuwaje
Lakini kwangu Mimi huwa hivi .
1. Nikiwa natafakari...
Amani ya Bwana ikawe kwa kila mmoja popote mlipo
Rejea mada tajwa hapo juu
Mungu anataka Lissu achiliwa haraka sana ndani ya siku 21 ni amri kuu sio ombi.
Ujumbe huu ukamfikie kila mmoja na mhusika wa kuendelea mshikilia mtu uyu.
Msipofanya hivi ndani ya siku 21 , kuanzia leo 1/5/ 2026, bila...
Mwaka 1906 mwanasayansi na mtafiti Francis Galton alishuhudia tukio la kawaida katika maonyesho ya mifugo nchini United Kingdom. Kulikuwa na shindano ambapo watu walialikwa kukadiria uzito wa ng’ombe mmoja. Mamia ya watu walishiriki—wafugaji, wachuuzi, na hata watu wa kawaida waliopita tu.
Kila...
"Siukimbilii urais kwa sababu nautamani kwa masilahi yangu, ila naisikia sauti ya Mungu, ikiniambia nenda kawasaidie watanzania wenzako na hiyo ndio inanipa ujasiri."
"Nchi hii imejaliwa kila aina ya neema, madini kila kona, bahari, mito na ardhi takatifu, nchi imejaliwa vivutio vya kila aina...
Shikamooni Wajumbe!
Mlimsikia Mke wenu mkubwa?
Kaeni mkao kuyasikia ya Ukweni!
Kama ambavyo kuna watanzania wenzetu hatunao sasa, waliotamani kuona reforms za uchaguzi zikifanyika, lakini hawakulishughudia hilo likitokea kwenye maisha yao; yawezekana pia hata kizazi hiki kisishughuhudie hilo...
Mkurugenzi wa Fedha, Mipango na Uchumi wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Catherine Ruge (Msubhati) amesema ameamua kusimama na kugombea ubunge wa Jimbo la Serengeti Mkoani Mara, kwa lengo la kupigania haki za wananchi na kurejesha matumaini kwa jamii inayokabiliwa na changamoto mbalimbali...
Ndugu zangu, Mungu yupo na amekuwa akiongea na watu wake tangu zamani hadi leo. Katika maisha ya kila siku, Mungu anatumia njia mbalimbali kuwasiliana na sisi. Lakini mara nyingi tunakosa kuisikia sauti yake kwa sababu ya 'kelele' nyingi za ulimwengu huu au mioyo isiyotulia.
Katika kitabu cha...
Kilichofanyika kwenye uchaguzi huu wa Chadema wa kumgo'a Mbowe ni ushindi na sauti ya Mungu.
Wanachama walizungumza na Lissu akawa mshindi hii ndiyo Demokrasia. Sasa mtu anasema eti ananyanyaswa na uongozi mpya ndiyo sababu ndogo kabisa ya kuhama huo ni udalali.
Chadema ni chama cha wananchi...
👉🏾Katika nadharia isiyoelezeka kisayansi napendelea kusema mapenzi au maoni ya watu wengi yana uzito mkubwa, na yanaweza kuonekana kama ishara ya mapenzi ya Mungu.
Katika mitazamo ya kidini,ikiwemo Ukristo na Uislamu, kuna mafundisho yanayosema kwamba Mungu ndiye chanzo cha mamlaka yote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.