saudi

Saudi Arabia, officially the Kingdom of Saudi Arabia (KSA), is a country in West Asia. Located in the centre of the Middle East, it covers the bulk of the Arabian Peninsula and has a land area of about 2,150,000 km2 (830,000 sq mi), making it the fifth-largest country in Asia, the largest in the Middle East, and the 12th-largest in the world. It is bordered by the Red Sea to the west; Jordan, Iraq, and Kuwait to the north; the Persian Gulf, Bahrain, Qatar and the United Arab Emirates to the east; Oman to the southeast; and Yemen to the south. The Gulf of Aqaba in the northwest separates Saudi Arabia from Egypt and Israel. Saudi Arabia is the only country with a coastline along both the Red Sea and the Persian Gulf, and most of its terrain consists of arid desert, lowland, steppe, and mountains. The capital and largest city is Riyadh; other major cities include Jeddah and the two holiest cities in Islam, Mecca and Medina. With a population of almost 32.2 million, Saudi Arabia is the fourth most populous country in the Arab world.
Pre-Islamic Arabia, the territory that constitutes modern-day Saudi Arabia, was the site of several ancient cultures and civilizations; the prehistory of Saudi Arabia shows some of the earliest traces of human activity outside Africa. Islam, the world's second-largest religion, emerged in what is now Saudi Arabia in the early seventh century. Islamic prophet Muhammad united the population of the Arabian Peninsula and created a single Islamic religious polity. Following his death in 632, his followers expanded Muslim rule beyond Arabia, conquering territories in North Africa, Central, South Asia and Iberia within decades. Arab dynasties originating from modern-day Saudi Arabia founded the Rashidun (632–661), Umayyad (661–750), Abbasid (750–1517), and Fatimid (909–1171) caliphates, as well as numerous other dynasties in Asia, Africa, and Europe.
Saudi Arabia was founded in 1932 by King Abdulaziz (also known as Ibn Saud), who united the regions of Hejaz, Najd, parts of Eastern Arabia (Al-Ahsa) and South Arabia (Aseer) into a single state through a series of conquests, beginning in 1902 with the capture of Riyadh. Saudi Arabia has since been an absolute monarchy governed by an authoritarian regime without public input. In its Basic Law, Saudi Arabia defines itself as a sovereign Arab Islamic state with Islam as its official religion and Arabic as its official language. The ultraconservative Wahhabi religious movement within Sunni Islam was the prevailing political and cultural force in the country until the 2000s. The Saudi government has attracted criticism for various policies such as its intervention in the Yemeni Civil War, alleged sponsorship of terrorism, and widespread human rights abuses.
Saudi Arabia is considered both a regional and middle power. Since petroleum was discovered in the country in 1938, the kingdom has become the world's third-largest oil producer and leading oil exporter, controlling the world's second-largest oil reserves and the sixth-largest gas reserves. Saudi Arabia is categorized as a World Bank high-income economy and is the only Arab country among the G20 major economies. The Saudi economy is the largest in the Middle East and the world's nineteenth largest by nominal GDP and seventeenth largest by PPP. Ranking very high in the Human Development Index, Saudi Arabia offers free university tuition, no personal income tax, and free universal health care. With its dependency on foreign labour, Saudi Arabia has the world's third-largest immigrant population. Saudi Arabians are among the world's youngest people, with approximately half being under 25 years old. Saudi Arabia is a member of the Gulf Cooperation Council, United Nations, Organisation of Islamic Cooperation, Arab League, and OPEC, as well as a dialogue partner of the Shanghai Cooperation Organisation.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Mimi Muislam, najiuliza, Waislam tuwaunge mkono Saudi Arabia ama Houthis?

    Kwenye hii vita ya Mashariki ya Kati, imepamba moto, Houthis Jana wameshambulia uwanja wa ndege wa Saudi Arabia na kuua watu 12 na kujeruhi wengine 309 ni shambulio kubwa zaidi kwa Saudi Arabia, Houthis pia walishawahi kujaribu kushambulia mji mtakatifu wa Medina ila makombora yao yakadunguliwa...
  2. JamiiForums Tanzania Bad News: Kijana wa Sri Lanka kunyongwa Saudi Arabia kwa kumkashifu Muhammad.

    Mfanyakazi mhamiaji Mtamil kutoka Sri Lanka, Sivarasa Anojan, amehukumiwa kifo nchini Saudi Arabia kwa sababu ya maoni aliyoyaandika kwenye Facebook ambayo yalionekana kuwa ya kumdhalilisha Uislamu na Mtume Muhammad. Kesi hiyo ilianza baada ya video kusambaa nchini Sri Lanka ikimuonyesha...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Iran wanatuangusha, wanashindwaje kuwajibu Marekani kwa kuishambulia nchi ndogo Israel kama wanavyofanya kwa Saudi, Kuwait, Jordan, Bahrain, n.k.

    Ni miezi inapita Iran ikipigwa na Marekani, inajibu kwa kulenga Saudi Arabia, Bahrain, Kuwait na Jordan kwa sababu tu kuna kambi za Marekani huko. Lakini kuna swali moja lina viulizo vingi, Israel ikiwa hapo jirani kabisa na Jordan, kwanini hairushiwi makombora ya wastani kwa idadi kama wenzake...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rubani alipiga ukunga “ALLAH AKBAR!” kabla ya kumchoma kisu nahodha aliyemzuia asidonoshe ndege Israel, Madaktari wa Saudi Arabia watoa msaada

    Mods naombeni msiunganishe uzi, nyuzi nyingi vichwa havijagusia lengo la rubani pamoja na uhusika wa Saudi Arabia kupeleka madaktari kusaidia abiria. Rubani msaidizi kutoka Oman anadaiwa kujaribu kuchukua udhibiti wa ndege ya Flydubai iliyokuwa ikielekea Tel Aviv, ikiwa na zaidi ya watu 170...
  5. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya semeni ukweli sasa! Tanzania inawasaidia sana; Tanzania yaipiku Saudi Arabia kwa Wakenya nchini Tanzania wakituma KSh1.5 Bilioni nyumbani

    Tanzania imeipiku Saudi Arabia kwa mara ya kwanza kama chanzo cha fedha zinazotumwa Kenya na diaspora, huku Wakenya wanaoishi na kufanya kazi Tanzania wakituma nyumbani shilingi bilioni 1.52 (pesa za Kenya) kwa mwezi Agosti 2026 tu. Kwa mujibu wa takwimu za Benki Kuu ya Kenya(CBK), Wakenya...
  6. JamiiForums Tanzania Tetesi: Saudi Arabia kujiunga na Abraham Accorda kutakuwa na faida pande zote Israel na Saudia!!

    Balozi wa Marekani nchini Israel, Mike Huckabee, akizungumzia uhusiano kati ya Israel na Saudi Arabia: Waisraeli wangefurahia sana kufikia makubaliano ya kiusalama na Saudi Arabia, na wangependa kuona Saudia ikijiunga na Makubaliano ya Abraham. Hakuna kusita kwa upande wa Israel katika suala...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Hebu Kwanza: Hawa Saudi Arabia Vipi?

    Kuna nchi duniani inayowashinda waSaudi katika ununuzi wa silaha za kivita, silaha za kisasa kabisa! Sasa hawa wa Houthi wanapata wapi hata uthubutu tu wa kuzozana na Saudi Arabia kiasi kwamba makombora yanapigwa hadi ndani mwa Riadh, na nusra mengine yaende Mecca! Kwa nini Saudi walielie na...
  8. JamiiForums Tanzania Saudi Arabia ameanza kumuomba Israel msaada wa intel dhidi ya wahuthi, mnajifanyaga kukaza alafu mnaachia wenyewe😁

    Baada ya wahuthi kupiga hadi mecca , sasa saudi ameona hii ni zaidi ya dharau, lakini saudi anajua hawezi enda kichwa kichwa maana wahuthi ni proxy ya iran na labda pia ina fadhaliwa na syndicate ya muslim brotherhood. Kwa hio anataka acheze kwa tactics dhidi ya wahuthi, ndio maana amewaangukia...
  9. JamiiForums Tanzania Highway 10, Saudi Arabia, ndio barabara ndefu bila Kona Duniani. Unaenda Kilometa 240 straight! RIP in Advance!

    Hii road naona kabisa ni death trap ingekuwepo Tanzania. Hamna kilima, hamna Kona kwa Kilometa 240? Karibia Dar - Mikumi.
  10. JamiiForums Tanzania Houthis yalipua matenki mafuta ya ARAMCO, Saudia

    Jeshi la Yemen linaloungwa mkono na Iran, Houthis imejibu mapigo baada ya jeshi la Saudia (akishirikiana na jeshi la Yemen linaloungwa mkono na UN) kufanya mashambulizi anga kwenye bandari ya Hodeidah, magharibi mwa Yemen na baadhi ya miji ya kaskazini jana usiku Houthis imerusha makombora...
  11. JamiiForums Tanzania Marekani yaruhusu Saudi Arabia kurutubisha Uranium bila uangalizi Wakimataifa

    Kulingana na vyanzo na nyaraka walizoziona CNN, utawala wa Trump umekubali kimsingi kuruhusu Saudi Arabia kusafisha uranium ndani ya nchi yake. Tatizo kubwa: Hii itafanyika bila kutekeleza ulinzi wa kimataifa* unaokusudiwa kuzuia utengenezaji wa silaha za nyuklia. "Ulinzi wa kimataifa" kwa...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia yazindua majaribio ya Package Visa ya utalii ili kurahisisha usafiri

    07 Julai 2026 Saudi Arabia yazindua majaribio ya Package Visa ya Utalii ili kurahisisha usafiri Julai 7, 2026 | 12:39 AM Picha maktaba ya jiji ls Jeddah Gazeti la Saudia RIYADH — Saudi Arabia imezindua majaribio ya eVisa ya Kieletroniki kupitia watoa huduma za usafiri na utalii...
  13. JamiiForums Tanzania Waislamu wakasirika na kulaani kwa kitendo cha mashoga kufanya sherehe Saudi Arabia.

    Waislamu wakasirika na kulaan8 vikali mashoga kufanya party sherehe saudi Arabia wakati huu wa msimu wa hijja. Inasemekana sherehe hiyo iliruhusiwa na utawala wa MBS mwana wa mfalme. Video hiyo iliyosambaa kwenye Nyau de adriz
  14. JamiiForums Tanzania Trump, anatafuta pakutokea anasema Nimeombwa Qatar, Saudi Arabia, United Arab Emirates, nisiwashambulie Iran.

    Wanakumbi. 🚨Kutoka kwa Rais Trump… “Nimeombwa na Emir wa Qatar, Tamim bin Hamad Al Thani, Mkuu wa Taji la Saudi Arabia, Mohammed bin Salman Al Saud, na Rais wa Falme za Kiarabu, Mohamed bin Zayed Al Nahyan, kusimamisha shambulio letu la Kijeshi lililopangwa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia imepata njia mbadala ya Hormuz kupitishia mafuta yake kwenda sokoni

    Saudi Arabia imeongeza mauzo yake ya mafuta hadi zaidi ya nusu ya viwango vya kawaida licha ya usumbufu kutoka kwa vita vya Iran. Ufalme huo unasafirisha mafuta kupitia bomba hadi bandari ya magharibi ya Yanbu, huku usafirishaji kutoka Yanbu ukiwa na wastani wa mapipa milioni 4.19 kwa siku...
  16. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Heavy fines for agencies and employers in Saudi Arabia in regards to Kenyans working there. Will this help reduce the numbers of deaths?

    Wakati Wakenya wengi wamekuwa wakilalamika kuhusu mateso, passport kushikiliwa na contracts fake, Saudi Arabia sasa imeweka fines kali kwa employers wanaokiuka sheria. Sheria mpya iliyotolewa na Ahmed Al-Rajhi amesema kuwa SR10,000 (KSh 340K) fine for hiring bila valid permit SR200,000 (KSh...
  17. JamiiForums Tanzania Iran yatishia kuilipua Al Kaaba Endapo Saudi Arabia Itaendelea na Msimamo wake

    Kumekucha naona Iran wametishia kulipua makazi ya Allah endapo Saudi Arabia itafanya shambulizi lolote dhidi yake. Sijui Allah atapona na kama akipona sijui atahamia wapi, au iran watajenga Al Kaaba nyingine kwao?
  18. O

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia imeitoa onyo kwa Iran kufuatia mashambulizi ya makombora dhidi ya mataifa ya Ghuba ya Uarabuni.

    Saudi Arabia imeitoa onyo kwa Iran kufuatia mashambulizi ya makombora dhidi ya mataifa ya Ghuba ya Uarabuni ikiwa ni pamoja na UAE na Qatar, ikiwa inasema mashambulizi hayo ni ukiukaji mkubwa wa usalama na wa sheria za kimataifa na ikionyesha ushirikiano kamili na nchi zilizoathirika.
  19. JamiiForums Tanzania Unapotaka kuishi kama upo Saudi Arabia hakikisha una pesa ya kutosha

    Kuna bodaboda leo nmemtuma akaniletee futari yangu pendwa "kitimoto" ili niiandae mapema kabla ya mda wa kufuturu, sasa namuagiza anasema eti yeye hawezi kubeba nyama ya Nguruwe kwani amefunga nadini yake hairuhusu. Sikilizeni nyie, hao mnaowaiga wana pesa na visima vya mafuta, wewe upo huku...
  20. JamiiForums Tanzania Chanzo cha Uhasama baina ya Saudi Arabia na UAE

    Katika siku za hivi karibuni, wachambuzi na waandishi wa habari wengi wa Magharibi wamekuwa wakihangaika kueleza ufa unaokua kati ya Saudi Arabia na UAE. Maoni mengi yanayochapishwa yanakinzana au ni ya juu juu. Makala hii inalenga kueleza kwa ufupi na kwa mtazamo wa kimaudhui hatua kuu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…