Sativa, sativus, and sativum are Latin botanical adjectives meaning cultivated. It is often associated botanically with plants that promote good health and used to designate certain seed-grown domestic crops.
Mwanzo maandamano yalikuwa yanaenda vizuri watu hawakufanya uharibu lakni sativa alitoa maelekezo kuwa waanze kuchoma vituo vya mwendoksi kisha wakaandika tena mtandaoni watu watembelee vituo vya mafuta na kuchoma, kila muda kwenye account yake alikuwa akitoa taarifa za kuharibu miundombinu na...
Nimeona video fupi jamaa anatekwa na anapiga kelele kabisa kuomba msaada mchana kweupe hapo Iringa jirani na nyumba ya Asas. Midume imekaa inashangaa mmoja linasema si awe mpole tu hii inadhohirisha kila mmoja wetu Oktoba 29 atakaa ndani aangalie wenzie wanavyopigwa.
Hvyo hizi za Sasa ni...
Edgar Mwakabela maarufu Sativa anadai kutekwa Juni 2024 nchini Tanzania, baada ya kile alichodai kuwa kuikosoa serikali kuhusu masuala ya kikodi na kuunga mkono mgomo wa wafanyabiashara uliolenga kudai haki.
Sativa anadai kuwa aliteswa kisha kutelekezwa kwenye msitu baada ya kupigwa risasi...
Sativa amewakalia kooni ACT wazalendo 😂. Kupitia ukurasa wake wa X anaandika
"Kanuni zinasema ukipiga kura NENDA nyumbani. Haisemi ukae mita 200.
Kwahiyo ACT WAZALENDO watalinda kura kutokea nyumbani.🫵🏾😂
KM ADO SHAIBU ebu toa shule kwa vijana wako. Hawakuwepo Dodoma wakati una mwaga wino...
Hello JF
Kwa wale ambao washawahi kuangalia drama za Crime Scene Investigation washawahi kuona ' profiling ' wanayofanya wachunguzi kujua kama crime Imekuwa committed na mtu mmoja au tofauti..........
kina Heche/Hilda kuchukuliwa 1. Kuzungushwa kwenye gari 2. Kupigwa 3.Kuachwa msituni ni...
Kila mtu anahaki kupenda anachotaka. Wazungu wamesema
Everyone has the right to love what they want.
Lkn kitendo cha kujitosa mzima mzima tena kwa nguvu sana ktk uchaguzi wa chadema kipindi hichi ukiwa unapigania haki yako ya kutekwa sio kitendo kilicho sawa.
1. Utapoteza mwelekeo wako kabisa...
Sativa mikeka yako nahisi stale ni fake zakuedit, unashirikaiana na paripesa kuedot mwisho wa siku tunapasuliwa, mikeka yako ya nyuma yote ni lost STAKE ZAKO ZINATIA MASHAKA INAONESHA UNASHIRIKIANA NA HIYO KAMPUNI KUEDUT KIASI CHA STAKE ILI SISI WAFUASI WAKO TUJUE NI UHAKIKA MWISHO WA SIKU...
Huyu Lissu sio mtu wa mchezo mchezo, waarabu kila kukicha wanajaribu kuingia ulaya bila mafanikio pamoja na kuwa na sifa sahihi za kuwa wakimbizi.
Ndani ya muda mchache na kupitia connection zake umoja wa Ulaya, Lissu amefanikiwa kumpatia karatasi zote muhimu kumfanya kijana Sativa kuishi...
Tundu Lissu leo amechukua fomu na amedai fomu hiyo amelipiwa na Sativa.Kwanini amemtaja Sativa? amemtaja Sativa ili wanachadema waone namna anavyopendwa na wahanga wa matukio ya utekaji, hizo ni mbinu za siasa za kutafuta sympathy kutoka kwa wapiga kura, hata hiyo hoja ya kupigiwa simu na mtu...
Edgar Mwakalebela maarufu kama Sativa amelifadhili zoezi la Lissu kuchukua fomu yake ya kugombea nafasi ya mwenyekiti CHADEMA.
"Kuna wanachama wema wanaofikiri kama mimi, wanaofikiri kwamba uchaguzi huu [Uenyekiti CHADEMA] uwe mwanzo mpya kwa chama chetu, ambao wamechanga fedha ya kulipia...
Wakuu,
Inaonekana kama Sativa is here to stay.
Siku ya leo, Gazeti la The Guardian kutoka Uingeereza limetoa bandiko linalohusu masuala ya utekaji na mauaji yanayoendelea nchini
Edgar Mwakalebela maarufu alitajwa kama muhanga wa matukio ya utekaji yanayoendelea nchini ambapo pia alipata...
Tangu mwanzo wanasiasa hawa walikuwa wakiongea maneno ya hovyo, kwenye mikutano ya TCD, mikutano ya kutoa maoni ya dira ya Taifa, mikutano yoyote yenye mikusanyiko ya watu, walikuwa wakitoa kauli za kibabe sana.
Mfano Boni Yai anawaambia wana chadema msinipigie simu nataka mtu akinipigia simu...
Ndugu zangu Watanzania,
Kiwango alichofikia huyu kijana ni kibaya sana,ni kiwango ambacho hakihitaji kuvumiliwa wala kuachwa hivi hivi pasipo kudhibitiwa na kuchukuliwa hatua kali za kisheria.
Kwa sasa anatukana matusi ya nguoni mpaka mtu mwenye hekima na akili timamu unabaki unaona aibu na...
Naombeni niweke wazi, mimi sio askari wala siko upande wao!!
Najua maumivu anayoyapitia Edgar Mwalebela ( Sativa ) baada ya kutekwa na kunusurika kuuwawa mwaka huu.
Sasa jamaa yetu amekuwa akishambulia askari yoyote kwa lugha ngumu na kali.
Naomba ashauriwe apunguze kufanya hivyo, achague...
Wakuu,
Nadhani wengi tumekutana na tulio lililotrend jana, video ya inayomuonesha 'Bonge' akipambana na watu waliokuja kumteka na kufanikiwa kuwazidi nguvu, wakimuachia zawadi ya pingu. Kama mpaka sasa hujakutana na tukio hilo basi pitia hapa.
Kutokana na taarifa ya polisi, Bonge ni...
Anaandika kijana aliyetekwa na kunusrika kuliwa na mamba huko Katavi maarufu kama Sativa.
HUU NI MKOA WA MBEYA. NA MBUNGE WAKE NI SPIKA WA BUNGE.
Huyu spika yupo kwenye nafasi hiyo ya uspika na unaibu spika kwa zaidi ya miaka 7 sasa.
Hapa ndio jimboni kwake, yeye ndie anaesimamia vikao vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.