Hakuna mtu mwenye akili timamu ambae hajui kwamba TFF na Bodi ya ligi wana upogo kwenye kupanga ratiba za mechi, waamuzi na adhabu mbalimbali. Upogo wao huu haupangui matokeo ya ligi badala yake unazidi kuidhoofisha timu yao.
Siku hizi naona heshima ya madaktari kama inakwenda kushuka na kuchukuliwa poa poa tu.
Hawa watu kiukweli inabidi tuwaheshimu na kuheshimu sana taaluma yao na inabidi pawe na mipaka maana siku hizi imekuwa too much.
Siku hizi unakuta mpaka kuna ma dancer nao utambulisho wao wanavaa makoti ya...
Waziri Mkuu, Dk.Lameck Nchemba ameagiza kubadilishwa matumizi ya fedha za vinywaji, kalenda, sherehe na zawadi kisha zielekezwe kwenye miradi iliyokwama ili kuongeza mapato ya wananchi.
My observation; Ufisadi uliokithiri kwa was kubwa serikalini anauacha anakuja kikimbizana na bidagaa!
Habari za Usiku?
Natafuta fundi mzuri wa kushona sare za shule ya msingi na chekechea aliyopo Tanga mjini.
Fundi awe anajua kushona na pia kuleta machine yake/zake na kushonea sare ilipo shule.
Kwa anayemjua fundi mzuri,tuwasiliane PM.
Msiwe wajinga hao ni wauwaji kamwe msikubali wawaingize kingi
Wamepewa bunduki mpyaaaaaa
Msidanganywe wanajeshi wapo pamoja na nyie nyie jipambanianeni tofauti yenu na wao ni bunduki tu hayo waliovaa ni mavazi tu usitegemee binadamu mwenzio akupambanie fellas
Wale ni wauwaji na wamepewa...
Tokea kuanza wa Kampeni za Uchaguzi,waandishi wengi wamekuwa wakivaa sare za wagombea wa vyama hususan CCM na Bodi ya waandishi wa Habari wala haisemi kitu Juu yao.
Waandishi ndiyo tumaini la wananchi kupata taarifa isiyo na upendeleo wowote naamini Bodi itatekeleza wajibu wake kushughulika nao hao
Nilidhani zama hizi za Magufuli watu sote watakuwa wamenyooka na hasa ndani ya CCM
Lakini wapi!
Je tunaweza kujua who is behind this project (Angela Kizigha)?
Na hao ma Godfathers wake wataendelea kumlinda mpaka lini? Sitaki kuamini kuwa Mheshimiwa Rais ata vumilia mafisadi kama huyu mama...
Inatafaarisha ila itakafakari hivyo hivyo.
Inakuaje Jeshi la POLISI Tanzania kiwe kichaka Cha kujibia nchi?
Kuna kipindi bwana Mmoja alimuooa mtoto wa IGP, akapewa tenda ya kufunga camera vituo vyote polisi Sasa sijui Binti alidoda?
Sasa inakuaje sale za polisi zishonwe na raia mkiwekewa sumu...
Leo tarehe 3 Agosti 2025 nimepita kwenye Ofisi za CCM Wanging'ombe hapa Mkoani Njombe, nimekuta baadhi ya Wanafunzi wakiwa nje ya Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Wanging'ombe.
Sijajua nini hasa ambacho kinaendelea lakini imenishangaza kidogo kuona Wanafunzi wakiwa nje ofisi hiyo...
Kesho utapigwa mtanange mzito wa Derby ambapo Yanga wanaikaribisha Simba. Katika michezo mitatu Simba ameangukia pua Dhidi ya Yanga. Huku katika misimu 9 iliyopita yanga akishinda mara 6 sare mara 5 na simba akishinda mara 3.
Utabiri wangu kuelekea mchezo nimchezo usiotarajiwa na magoli mengi...
Tukumbushane Mheshimiwa Rais alisema hatukopi ili kununua sare za harusi, badala yake tunakopa kujenga Mashule nk. Usisahau kua deni limefika 107t
Na leo tumeambiwa uchumi wetu unafanya vizuri kuliko ulaya na Marekani.
Shule zetu ndo hizo wajameni baada ya miaka 63 ya uhuru
Katika kusimamia mavazi rasmi ya wabunge, Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kanuni za Bunge imebaini kuwa baadhi ya wanaoingia maeneo ya Bunge huvaa sare zinazoashiria au kuzoeleka kuvaliwa na wafuasi au mashabiki wa vyama vya siasa kwa alama, nembo, maandishi ambavyo hutafsiriwa kwa jina, alama...
Mo Dewji atulie na asajili Wachezaji wa maana wa Kamaifa na wenye Uzoefu wa Mechi za Kimataifa ili wakusaidie katika Mechi za Kimataifa na vile vile katika Ligi ya Ndani (NBC Premier League) ambayo Kwao (hawa Wachezaji wa Kimataifa na wenye Uzoefu) itakuwa ni kama tu kufanya Mazoezi.
Wala...
Kazi ya jeshi la polisi ni usalama wa raia na mali zao. Sasa hii kuwakamata mawakala wa forodha wasiovaa sare inahusikaje kwenye majukumu yao? Mbaya zaidi ni raia wa nchi jirani ambayo hiyo sheria ya clearing agents kuvaa sare eneo la forodha haiwahusu. Hawa wazambia walikuwa na vitambulisho cha...
Simiyu – Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimewaelekeza wanachama wake kutovaa sare za chama katika mkutano wa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa chama hicho, Amos Makala, unaotarajiwa kufanyika leo mjini Bariadi.
Taarifa ya chama hicho iliyosambazwa kwa wanachama imeeleza kuwa walioalikwa...
Hawa matapeli wapo sana maeneo ya kariakoo na kinondoni!
Wanatumia bajaji au boda na wakati mwingine wanavaa na sare feki!
Popote ukikutana nao piga Kelele za mwano ni wezi hao!
Kila siku watu wanabuni mbinu mpya za wizi.
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Times of Israel
Advertisement
Live Update arrow right icon From the Liveblog of Wednesday,
April 9, 2025
IDF set to approve slew of dress code changes, will now allow soldiers to grow beards
By Emanuel Fabian Follow
Today, 9:05...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Times of Israel
Advertisement
Live Update arrow right icon From the Liveblog of Wednesday,
April 9, 2025
IDF set to approve slew of dress code changes, will now allow soldiers to grow beards
By Emanuel Fabian Follow
Today, 9:05...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.