sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Kristo Yesu hakuleta Dini ya Ukristo ila alileta Imani hii ambayo ni ngumu sana

    Mathayo 6:1______________ Angalieni msifanye wema wenu machoni pa watu, kusudi mtazamwe na wao; kwa maana mkifanya kama hayo, hampati thawabu kwa Baba yenu aliye mbinguni. 2 Basi wewe utoapo sadaka, usipige panda mbele yako, kama wanafiki wafanyavyo katika masinagogi na njiani, ili watukuzwe na...
  2. Nchi inapigwa sana hii, maghorofa ya Jeshi Mwenge, yanapangishwa kwa raia

    Haya magholofa ya jeshi yaliyoko Mwenge Kijijini, Dar es Salaam, yamekuwa yakipangishwa kwa raia. Wajanja wachache wamekuwa wakijinufaisha na majengo hayo ambayo yamefanyiwa ukarabati mkubwa na jeshi. Gharama ya kupanga nyumba hizo ni kuanzia laki tano na kuendelea, namna utakavyojiingiza...
  3. L

    Rais Samia: Taasisi Zenye Idadi Kubwa ya Wanawake Zinafanya Vizuri sana na Kufanikiwa.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge. Amesema ya Kuwa...
  4. shule nyingi za msingi zinachaji ada milioni kazaa ila zinazidiwa ubora wa miundombinu na ufundishaji na shule za msingi za serikali kama MiKONGENI

    huu ni ukweli mchungu. tazama mwenyewe video uone ubora wa shule hii ya msingi ya serikali wanaiita kayumba english medium. inayoitwa Mikongeni primary school iliyopo gongo la mboto dar kisha linganisha na private primary school iliyo jirani na unapoishi ilivyo ama shule ya private...
  5. Nimeamini upendo wa baba una nguvu ya ajabu, nimekuwa nikionyeshwa chuki ya ajabu sana kwa sababu nina wapenda watoto wangu

    Kwa sababu nawaonyesha upendo. I take care of them etc, wa Swahili wamekuwa wakinionyesha chuki ya ajabu sana. Plus kuwachukia wanangu pia. Kuna muda niliwahi kuiacha nyumba niliyo Jenga ( uswahilini nje ya jiji) nikarudi kupanga town ili nikae mbali na wa Swahili. Kwa sababu ambacho kilikuwa...
  6. Jumapili ya hivi raha sana

    Umeamka alfajiri umeingia kwenye nyumba ya ibada hasa ibada ya kwanza kabla ya joto. Halafu mfukoni una kiasi kidogo cha fedha angalau kununua nyama..kwa maisha yetu nyama tunakula jumapili tu. Baada ya kununua nyama unarejea nyumbani msosi unaandaliwa. Nachukua kiradio changu pamoja na mkeka...
  7. Huko Marekani ni rahisi sana kuwatimua watumishi wa umma kazini!

    Musk, DOGE yake na Trump wanatimua kazi wafanyakazi wa umma mpaka wanasahau wanapitiliza inabidi wawatafute kurudi kazini tena🤣!
  8. Hawa watangazaji huwa wanalipwa mishahara? Maana wanafaidi sana

    Kuna huyu Mwamba anaitqa Sunday Temba kipindi cha mapishi ITV, Mwamba anafuatilia mapishi yakikamilika tu anasogeza pembeni anapiga 😀 Alianza kutangaza akiwa mwembamba sasa hivi ana kitambi. 2.Margareth Geddy Huyu dada anatangaza kipindi cha Hoteli zetu Safari channel, Kazi yake ni kutembelea...
  9. Makala mengi kuhusu Freemason yanatofautiana sana. Naamini hakuna mwenye concrete info juu yao. Hii ni ishara jinsi gani FM walivyo na weledi mkubwa.

    Tena unaweza kuta hata hawajiiti Freemason 😂 Yani sisi tuendelee na wale freemason wetu wa "kujiunga freemason 5000" 😂 Anyway, Kujua info ya mtu ni kummudu, namaanisha kama hawa jamaa wangejulikana kwa kina kuhusu utendaji wao basi ingekuwa rahisi wao kuwa infiltrated na kuwa dis-organized...
  10. A

    PreGE2025 CHADEMA kutoshiriki uchaguzi mkuu 2025 litakuwa ni pigo kubwa sana kwa Rais Samia Suluhu Hassan na serikali ya CCM kidiplomasia na kiutawala

    No reforms, no election ni mfupa mgumu sana kwa CCM kuelekea uchaguzi mkuu wa kitaifa October 2025. Kama serikali ya CCM italazimisha kufanya uchaguzi pasipo ushiriki wa chama kikuu cha upinzani Tanzania yaani CHADEMA basi litakuwa ni pigo kubwa sana kwa Rais Samia Suluhu Hassan kidiplomasia...
  11. Kuna raha sana kumuimbia kiongozi wa nchi yako hasa akiwa amekufanyia mambo makubwa

    Kuna raha sana kumuimbia kiongozi wa nchi yako hasa akiwa amekufanyia mambo makubwa. Watoto hawa wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Tanga wana haki ya kumuimbia Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuhakikisha na wao watoto wa kike wa Tanga wanajengewa shule ya bweni ya wasichana ili...
  12. Mazungumzo ya amani vita vya Ukraine yanaonyesha jinsi gani dunia imejaa unafiki sana

    Kituko cha kwanza mazungumzo yanafanyika pasipo wahusika wakuu Ukraine kuwepo katika hayo mazungumzo! Yani ni sawa na umemkamata mgoni anamtafuna mke wako ukazua ugomvi halafu wapatanishi wanakuja wanamchukua mgoni wako wanaenda kukaa naye kikao peke yao wanamuuliza anataka nini kumaliza kesi...
  13. HUYU MWL MBWAWA LUTHERAN SCHOOL UPENDO MSIENDELEE KUONYESHA HILI TANGAZO N AIBU SANA

    HABARI WANA NDUGU NINEANDIKA HUKU BAADA YA KUSHAURI HII TV WAONDOE HILO TANGAZO TANGAZO LIKO HIVI ANATOKEA MWL WAO ANASEMA INAKUPA NN MWANAO KUFAULU KWENDA FORM FIVE BILA KUWA NA NIDHAMU INAKUPA NN MWANAO KUPATA DIV ONE BILA KUWA NA NIDHAMU NILIPOCHOKA WANAONYESHA MATOKEO YAO HAHA WANA DIV...
  14. L

    Ziara Ya Rais Samia Mkoani Tanga Itakuwa Ya Hisia Kali Sana na Nchi Itasimama. Kwa sababu ndio Mkoa aliotangazia Kifo cha Hayati Magufuli

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge anatarajiwa kufanya...
  15. K

    KERO Kero: Kuna shida kubwa sana ya maji jiji la Mwanza (Nyamagana)mitaa ya Igoma, Machinjioni, kwa Kibeshi, Mhandu

    Sijui ni viongozi wa MWAUWASA wanataka kumgombanisha mama na wananchi kwa makusudi au ni vipi.Yaani maji yanaweza kukosa mwezi mzima na viongozi wapo tu ofsini. Wizara ya Maji chini ya AWESO em fatilia hili limekuwa kero inayojirudia mara kwa mara.Mama anamwaga fedha nyingi sana kwenye MAJI ila...
  16. Chuki ya Museveni kwa Besigye ya nini wakati ni familia? Amekuwa daktari wake na amelelewa familia moja na Winnie mke wa Besigye!

    Museveni rais wa Uganda alikuwa mtoto wa kuasiliwa(adopted) katika familia ya Byanyima wakiishi pamoja na Winnie Byanyima mke wa kiongozi wa upinzani Kizza Besigye aliyetiwa kizuizini na serikali ya Museveni kwa sasa. Amesomeshwa na kukuzwa na hiyo familia mpaka alipoweza kujitegemea. Maisha...
  17. Pi Network, imebaki siku Moja watanzania tujifunze kuhusu crypto scam, litakuwa ni funzo muhimu sana ili kuepusha wakurupukaji kwenye crypto

    Kuna Uzi nilifungua kuhusu scam aliyotufanyia Mo Dewji, Kwa kujifanya account yake ilikuwa hacked, na wengi tulifahamu baada ya Kanye west kutufumbua macho. McAfee aliwahi kusema alikuwa na uwezo wa kutengeneza pesa nyingi kuliko Mungu, akiwa na Lockheed Martin kwasabu ya kutengeneza black...
  18. Single mothers wapambanaji sana

    Miongoni mwa Aina ya wanawake wapambanaji katika hii Dunia ni Hawa single mothers. Big up sana💪 NB: unaweza kuwa mwanamke mpambanaji Kama ukiamua kuwa hivyo, "siyo mpaka upigwe tukio"
  19. M

    Siri ya kuwa Tajiri na watu wengi sana hawaijui leo sasa nakuambia hii siri

    Kuna maandiko mengi sana hapa yanaelezea namna mtu ya kuwa tajiri ila wanasahau jambo kubwa mno. Watakuambia 1.Fanya kazi kwa bidii 2.Tumia kidogo ya zaidi unachokipata yaani ukipata elfu 10 tumia elfu 3 au 5 nyingine weka 3.Omba Mungu sana Hizi pia ni njia za kuwa tajiri ila kuna kitu...
  20. Shamba la mitiki linauzwa lina zaidi ya miti elfu 1700 karibu ununue karibu uwekeze kwa uwaminifu sana lipo tanga korogwe

    Habari za wakati huu ndugu zangu najua wengi mmesikia kuhusu kilimo cha miti ya mitiki hekari moja inaweza kukuingizia zaidi ya milion 300 kwa hekari moja kwa miti iliyokomaa. sasa basi lipo shamba lenye hekari 6 lenye miti zaidi ya 1700 lililopo tanga korogwe lenye miti ya miaka 12 mpka 14...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…