sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Njia ya haraka sana ya kufa ukiwa mdogo ni kuendelea kufanya mambo haya

    Watu wanapoteza maisha, na kila siku tunawalilia. Hata hivyo tusichojua ni kwamba baadhi yao, hasa vijana, wanaweza kuwa wamechangia vifo vyao kabla ya wakati wao kwa kujihusisha na tabia fulani ambazo ni hatari kwa maisha yao ya kibinadamu. Baadhi yao hata hawatambui kwamba vitendo au tabia...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa haya Malengo yetu Yanga 2022-2023. Simba mtavurugana sana. Kuanzia tarehe 13/08/22 ni kilio mpaka tarehe x/08/23.Natoa tamko Rasmi

    Simba mtalia sana mwaka huu.. Mtalia kinyama .. Mtalia ndani mtalia nje. Mtalia ofisini mtalia nyumbani. Kifupi mwaka huu hadi ujao mtakuwa wakiwa sana. Mtakuwa wanyonge shambani mtakuwa wanyonge sokoni.. Mtakuwa wanyonge nyumbani mtakuwa wanyonge kazini.. Mtakuwa wanyonge barabarani mtakuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Wanawake, hata kama mmetofautiana na waume zenu msiwaseme mbele za watu

    Peace be with you all, Weekend ya majuzi nilikua kiwanja flani ndani ya kitovu cha mji wa utalii Tanzania, nikiwa peke yangu katika kujipumzisha mwisho wa week. Ndani ya lounge ya hotel hii kilitokea kihoja kilichowastaajabisha wengi pale hotelini ila mimi sikushangaa maana nawajua wanamake na...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Uchaguzi wa Kenya leo matatizo Ni prana. Raila amechoshwa sana na kampeni

    Prana ni neno la Kihindi,maana yake 'pumzi'. Raila amefanya kampeni kwa bidii na anechoka sana. Hatujawahi kumuona Raila anechoka namna Ile. Lakini sasa kampeni imekwisha nadhani he will get his breath back. Siyo rahisi kutabiri nani atashinda. Hata Wainjilisti wanaopenda kutabiri wameshindwa...
  5. JamiiForums Tanzania Nipo njiapanda sana

    Hii Ni story ya kweli ya jamaa yangu na jirani yangu huku nilipo. Anasema mwaka 2019 alipewa taarifa na ndugu yake kwamba Kuna mradi unaanza wakati wowote na atalipwa pesa nzuri Sana. Jamaa anasema alikuwa mkoa tofauti na huyo ndugu yake akaambiwa aandae vitu vifuatavyo Kama sehemu ya kazi...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Priva atoa boko la Kizz Daniel afuta tweet haraka sana

    Pole sana bwana Shayo najua utakuwa umepigwa mkwara mzito na maboss wako ukafuta tweet ndani ya dk chache, kwani hukujua jamaa jana hakutokea kwenye show iliyoandaliwa na kampuni yenu na vurugu zilizotokea? Ndiyo madhara ya kurukiarukia kila kitu kukifanyia uchambuzi
  7. JamiiForums Tanzania Tiketi za simba zinauzwa buku mbili?

    Nimepita Buguruni nimekuta jamaal wanauza tiketi huku mbili. Timu tunayoambiwa ni timu kubwa afrika inashindwa kushawishi watu waje uwanjani kwa pesa za maana wanauza tiketi buku mbili kweli? Thamani ya Simba iko wapi wakuu nina mashaka Sana na uongozi wa simba kuanzia kwa CEO. Kuna shida...
  8. JamiiForums Tanzania Unapo-deal na Yanga au Simba kuwa makini Sana

    Unapo deal na simba na yanga kuwa makini uwe Afsa wa serikali au uwe sijui rais wa TFF mwisho wako hautakuwa mzuri. Angalia historia ya yanga ilipotoka fatilia vizuri upatikanaji wa uhuru wa Tanganyika ulipatikana fatilia mchango wa Yanga na historia yake katika taifa hili. Yanga is next after...
  9. JamiiForums Tanzania Bingwa wa mchongo wa NBC Tanzania azalilishwa akiwa nyumban na Tim ndogo sana

    Aibu ya Jana inadhihirisha kuwa lig yetu imeshuka kiwanga na pia inatawaliwa na rushwa,kitendo Cha waamuz wetu kupewa hongo ili waipe Yanga ushindi ndio kimefanya watanzania tuzalilike hapo Jana. Maana haiwezekan bingwa halali apgwe na Tim ndogo namna hyo!!! NDUGu WADAU Wa Soka la Tanzania...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Msaada ::Rafiki yangu akiwa Home anapiga show mbovu ila akiwa Away anapiga show kali sana

    Habari ! Ni rafiki yangu na Ni classmate wangu amenishirikisha hili Jambo la kupiga show mbovu home ila akitoka akienda sehemu yoyote anapiga show kali sana!, Mimi kwa upande wangu nimeshindwa kumpa jibu la kueleweka maana sijui , hivyo humu ndani kuna watu wanaelewa Sana hivyo ningeomba kupata...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni kiongozi mwenye maono sana

    Ndugu zangu Jana katika ziara ya Mh Rais wetu inayo endelea huko mkoani Mbeya tumemsikia Rais wetu akisema kuwa serikali unakwenda kujenga vyumba vya madarasa Zaidi ya elfu nane. Kwa ajiri ya wanafunzi wa kidato Cha kwanza hapo mwakani mwezi wa kwanza. Ndugu zangu huko nyuma tulizoea kuona...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa Lomalisa na Bigirimana Pesa ya Tajiri imepotea, na nilichokiona kwa Aziz Ki ni 'Domo Kubwa Kuvimba' lake tu na Kukosea Kwingi

    Yassin Mustafa ana uwezo mkubwa kuliko Joyce Lomalisa Mutambala kwa Beki ( Mbavu ) ya Kushoto. Zawadi Mauya ana uwezo mara 100 kuliko Mchezaji wa Newcastle United ya katika Photoshop ya Mitandaoni Bigirimana. Saido Ntibanzokinza na Yacouba Sogne ni Wazuri mara Milioni kuliko Domo Kubwa Kuvimba...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Hongeraaa Sana mama Samia kwa mafuriko ya watalii

    Kwanza nianze kumpongeza mh Rais kwa ziara yake anayoendelea nayo mkoani mbeya, Baada ya utangulizi huo naomba Sasa nianze kwa kusema hongera Sanaa mh Rais kwa kuikuza secta ya utalii, kiukweli kwa mafuriko ya watalii yanavyoendelea kushuhudia hapa nchini Nina kila sababu ya kumpongeza mh Rais...
  14. JamiiForums Tanzania Morrison katukosea sana, yaani sisi Wana-Yanga hatujasoma! Kweli hatuelewi anachoongea?

    Kwa kweli tumehuzunishwa sana na kauli ya Morrison tena mbele ya Jukwaa la Wiki ya Mwananchi. Kutuumbua kwa kusema hatuelewi anachoogea
  15. JamiiForums Tanzania Hongera sana Mama J kwa kutimiza mwaka

    Napenda kuchukua nafasi hii kumtakia Kila la kheri Mama J kwa kutimiza mwaka mmoja, ilikua Yanga Day kama Leo.....
  16. JamiiForums Tanzania Mzee Lowassa yuko wapi?

    Wakuu Salaam; Mzee wetu wa siku nyingi katika Nchi yetu hasa katika tasnia ya Siasa kawa kimya sana. Nimeona nimuulizie sababu ni muhimu kujua hawa Viongozi wamepotelea wapi, wana mchango mkubwa sana nchini. Wengine wanasikika mara kwa mara hata kama Covid-19 ipo hewani. Anayejua yuko wapi...
  17. M

    JamiiForums Tanzania MAMVI tumemmiss sana kwenye siasa za Tanzania. Yuko wapi mbona kimya?

    Siyo siri mzee mamvi tumemmiss sana kwenye siasa za Tanzania, kulikoni? Nani ana taarifa zake za hivi karibuni? Je ameamua kukaa kimya au ameamriwa kukaa kimya?
  18. JamiiForums Tanzania Nchi ngumu sana hii. Watu hatupo serious na maisha yetu

    Yaani watz tunavyoishi ni kama vile bado tunajifunza kuishi. Ni kama vile tupo mafunzoni yaani hata ukikosea mara mia kwa kufanya makosa yale yale utajirekebisha kwenye maisha yenyewe haya yakipita. Hatupo sirias kabisa. Kila kitu kimepanda bei kasoro mazao ya mkulima tu yaliyo shambani. Yaani...
  19. JamiiForums Tanzania Nyumba za kulala wageni Dar imekuwa kero sana, wahusika fuatilieni hili ni hatari

    Wadau hili suala limekuwa kero sana na imekuwa kasumba kwamba unapoenda kutafuta chumba unaulizwa kwanza kama unalala au ni fasta. Sasa ukisema unalala unaambiwa hatupangishi vyumba vya kulala mpaka Saa nne usiku. Kwa maana hiyo Sasa hivi gesti zimebadilisha matumizi badala ya nyumba za...
  20. JamiiForums Tanzania Ni msanii gani ulizikubali nyimbo zake sana wa US!

    Binafsi huwa namkubali sana mwanamama Alicia keys nakibao chake cha fallin. Moja kati ya vibao vikali mno kuwahi kutoka kwake. Je wewe unamkubali msanii gani na kibao chako pendwa?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…