sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. X

    JamiiForums Tanzania Kwanini Marekani wana economic cooperation with China? Dunia ina unafiki sana

    Moja ya jambo limeniacha na peace of mind ni kuwa neutral sana kwenye siasa za Tanzania zisizoeleweka. Nimeona mahali JF mleta mada ameleta document ya Desemba 2025 ambapo bunge la senate la Marekani limepanga kupitisha muswada unaagiza kutathmini ushirikiano wa Tanzania na China kijeshi...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Kuna ongezeko kubwa sana la chuki kutoka kwa wananchi kwenda kwa viongozi wao

    Nimekuwa nafuatilia vyombo vya habari hususan mitandao ya kijamii na mazungumzo ya watu mitaani. Siku za hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa sana la chuki kwa viongozi wakuu wa nchi. Chuki hizi zaweza kuipeleka nchi pabaya, je nini kifanyike.
  3. JamiiForums Tanzania Niliroga sana

    Niliroga mchana nikaroga usiku, niliroga kushoto nikaroga kulia, niliroga mashariki nikaroga magharibi, niliroga kaskazini nikaroga kusini. Niliroga chini nikaroga juu, niliroga mbele nikaroga nyuma, niliroga jua nikaroga mwezi, niliroga nyota nikaroga mawingu. Niliroga milima nikaroga...
  4. JamiiForums Tanzania Kijana Usithubutu kuzaa nje ya Ndoa! Tafadhari sana! Uliza wakongwe

    Tafadhari tafadhari sana. Mtoto wa nje ya ndoa ni shida sanaaa! Hii hesabu haijawahi kukaa vizuri. Mimi ni muhanga
  5. JamiiForums Tanzania KERO DAWASA ovyo sana. Siku ya nne Maji hamna Mitaa ya Mbezi!

    Management ya DAWASA na wafanyakazi wake wote mna roho za ajabu sana. Sijui mnataka tuishije bila maji. Mnatuchukulia poa sana. Mkijisikia njooni mrudishe Maji Mitaa ya Mbezi.
  6. JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa sana na serikali kutompa ushirikiano Terence Crawford na badala yake wakampa Ferdinand.

    Jamaa Terence Crawford ni bondia bora zaidi kwa kipindi hiki akiwa na mafanikio tele kwenye mchezo wa boxing na ni bondia anayetazamwa sana kwa kifupi ni bondia mwenye heshima tele kwenye mchezo wa boxing hivyo ana nguvu kubwa sana ya ushawishi. Jamaa yupo peace sana kwanza alileta taarifa ya...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Ili kuitetea Serikali ya CCM ya sasa unahitaji kuwa muongo sana na usie na hata chembe ya aibu!

    Serikali yetu chini ya CCM imegeuka kuwa kituko cha Karne yaani wanadiriki kudanganya kusema uongo na kupiga propaganda ambazo nadhani hata shetani anakaa kuwashangaa.!
  8. JamiiForums Tanzania Omar Mahita: Nilikuwa IGP katili sana

    Unamkumbuka IGP Omar Mahita? moja IGP aliyesifika kuwa katili vibaya sana na yeye mwenye amethibitisha hiyo kwa kusema alikuwa acheki na mtu anakwambia "Ukicheza na bwa utaingia naye msikitini" IGP mstaafu Omar Mahita ameyasema hayo kwenye M&S Podcast
  9. JamiiForums Tanzania Elimu rasmi sio kigezo pekee au cha mtu kuwa tajiri kihalali, lakini ni nyenzo thabiti sana inayoweza kurahisisha kukuza utajiri

    Unaweza kumfundisha mtoto wako kutafuta na kutumia pesa kwa kuanza kumjengea tabia ya kuweka akiba, kuelewa thamani ya kazi kupitia shughuli ndogo za nyumbani, na kumshirikisha katika maamuzi ya kifamilia ili kueleza tofauti kati ya matakwa na mahitaji ya msingi Kujenga akili ya kifedha...
  10. JamiiForums Tanzania Nimekutana na kitu cha ajabu sana

    Miaka ya sitini katikati kulikuwa na mzee mmoja anauza genge pahala, alikuwa ni maarufu sana, Hivi majuzi nimekutana nae na cha jabu alikuwa amevaa shati lile lile maarufu, nikadhani labda ninaota...nikamuita fulani?? akaitika naam....nikamuuliza siku hizi upo wapi, akanijuza yu sehemu...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Aliyepewa ukiranja Mkuu amejitahidi sana kuficha uhalisia wake lakini hatimae ameonyesha rangi yake halisi Kuna ushahidi wake aliahidi kutoa miaka ile

    Narudia kusema siasa sio mpira wa miguu na hivyo hutuhitaji kushabikia kama Simba na Yanga Siasa inagusa Maisha ya watu Moja Kwa Moja Siasa inahitaji watu serious na wenye misimimamo ya kweli sio kuingiza igiza TU ilomradi Maisha yaendelee na KUPATA vyeo Hivyo hata ukificha ficha Kuna siku...
  12. JamiiForums Tanzania Best option yangu kwenye odds 1.3+ ni First Goal Scoring By Kicking, hainiangushi sana , Je wewe ni special option gani imekuchomesha sana.

    Watu wengi kwenye betting wanaogopa odds kubwa lakini ukweli ni kwamba kuna baadhi ya special options zina odds ndogo kabisa kama 1.2–1.4 ila ndio zina mitego ya ajabu sana Zinaonekana rahisi mbele ya macho lakini football ni mchezo wa matukio yasiyotabirika. Unaweza ukaona option “hii lazima...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Iran yaonesha miundombinu ya kijeshi 228 ya Marekani ilipigwa vibaya sana mashariki ya kati. Marekani ilificha

    Picha za satellite za Iran zilionesha uharibifu mkubwa na hasara kubwa sana Marekani ilipata kutokana na kipigo Cha Iran kilichofanywa katka makambi (bases) za Supapawa Marekani huko mashariki ya kati. Makambi mengi yalipigwa, na ndani ya makambi hayo yalikua ni Kambi za ndege,meli,rada...
  14. JamiiForums Tanzania Kula vizuri ndio kilevi changu, kwa hili nashukuru sana Mungu

    Situmii pombe, Situmii sigara. Situmii kitimoto Sio mtu wa wanawake Kilevi changu ni kula vizuri sana, mfano Leo weekend Nimepika nyaama ya mbuzi kilo Moja na ndizi za kukaanga nakupa taratibu. Hakika Sina kilevi zaidi ya kula vizuri
  15. JamiiForums Tanzania Kwa nyomi hii naona kama umasikini ni mkubwa sana kwetu

    Binafsi nimekuwa mteja mara kadhaa kwa bidhaa za huyu jamaa ila kwa aina hii ya lundo la watu kukimbilia vitu vya bei rahisi na vilivyo tumika naona kama umaskini bado sana kwetu. Upande wapili huju mr anatengeneza hela nyingi sana sana sana tena hela ambazo sidhani kama serikali inapata hata...
  16. JamiiForums Tanzania Wanaume wengi mshukuru mfumo umewabeba. Wanawake wangewatesa Sana kwa sababu wanawake wengi wanaakili na wanajitambua kuliko wanaume wengi

    WANAUME WENGI MSHUKURU MFUMO UMEWABEBA. WANAWAKE WANGEWATESA SANA KWA SABABU WANAWAKE WENGI WANAAKILI NA WANAJITAMBUA KULIKO WANAUME WENGI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Zamani nilikuwa nakataa kwamba wanawake wanaakili kuliko wanaume. Kwa sababu sisi Watibeli Wanaume hatuwezi zidiwa...
  17. JamiiForums Tanzania Mimi ni kijana natamani mtu anipe muongozo wa maisha kwa kifupi ili nifanikiwe..ntamshukuru sana.

    Iwe kazi Biashara Ajira Mahusiano na ndoa Yani naomba ushauri wowote ili niweze kufanikiwa Ahsante
  18. JamiiForums Tanzania Karibu sana Peter Msigwa, Roho yako ni Hai kwa CHADEMA, ila Mwili ndio Ulikua Dhaifu! Akili, Uwezo, Ubunifu, Busara zako sio za kukaa CCM, Pole sana!!

    Kwa Peter Msigwa, Akili, Uwezo, Ubunifu wake ndani ya CCM Ulikua ni 'Umefungwa'. Peter Msigwa nayemfaham yeye hawezi kaa kuvumilia Watu watekwe, Kuuwawa, Kusumbua Kanisa, Kufunga wapinzani Kufungia Chama , Maisha ya Mtanzania kua Juu, Gharama kupanda ,huku Mafisadi wachache wakijineemesha ...
  19. JamiiForums Tanzania Je, kuuza ni kuongea sana… au ni sayansi ya kumshawishi mtu afanye uamuzi?

    Watu wengi huamini sales ni talent ya kuzaliwa nayo. Lakini ukweli ni kwamba watu wengi wanaofanikiwa kwenye biashara, freelancing, marketing, au online business wanajua namna ya kuongea, kushawishi, kusikiliza, na kufanya negotiation vizuri. Sales na negotiation ni skills zinazoweza kujifunzwa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini harrier anaconda used hapa bongo zinauzwa sana

    Habari za weekend Team, Nimegundua harrier anaconda zinauzwa sana yani ile mtu ananunua anakaa nayo miaka miwili mitatu anaiuza kwani zina changamoto gani pia hata mitandaon kwenye zile page wanazouza magari lazima utazikuta anaconda zinauzwa ambazo zimetumika hapa bongo miaka miwili,tatu mtu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…