sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania M23 Wateka mji mwingine DRC, wanajichukulia kizembe sana

    Licha ya majeshi ya maitaifa ya SADC kupambana pale DRC, hao madogo wa M23 wanaendelea kujichukulia miji. Sijui hawa madogo wana nguvu gani ukizingatia sio hata magaidi wa dini ile ya kigaidi gaidi. _------------- The M23 militia group has seized another town in the war-torn east of DR Congo...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Wale mnaopenda kununua vitu used muwe makini sana, epuukeni zaidi kununua hizi bidhaa zinaweza kuwatia ndani ama kutoboka mifuko.

    1. Simu - Ni biashara iliyoshamiri sana kwenye vitu used lakini wengi zimewingiza kwenye matatizo, mtu kanunua simu laki 4 au zaidi haoni shida kutoa elf 50 polisi waifatilie, yani ukinunua simu iliyoibiwa ukipachika tu laini yako tayari ushadakwa kwa taarifa zako ulizosajilia laini na makadirio...
  3. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC tafadhali upesi sana amueni moja katika hili kwani Msimu ukianza haya Mapungufu yaliyotuponza hatuyataki tena na tumeyachoka

    Uongozi wa klabu ya Simba umempa mkataba wa miaka miwili aliyekuwa kocha msaidizi wa Raja Casablanca, Fadlu David ambaye inaelezwa atatua nchini Ijumaa sambamba na wasaidizi wake. Kocha huyo ambaye amethibitisha ujio wake Tanzania baada ya kutumia ukurasa wake mtandao wa kijamii ‘Instagram’...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini ukiwa na tabia ya Kusaidia sana Watoto Kipesa au hata Kuwasaidia chochote cha Umuhimu unafunguliwa na unabarikiwa sana?

    Nina Ushuhuda wa hili kwa 100% hivyo nakuomba nawe ukipata chochote penda kuwapa Watoto utakuja Kunishukuru. Asante sana Mwenyezi Mungu kwa BARAKA zako na nakumbuka hata katika Maandiko pia umetuasa tupende Watoto.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Je, kuna wimbo ulikuwa unaupenda sana lakini kulingana na tukio fulani maisha mwako ukatokea kuuchukua wimbo?

    Wakuu habari za muda huu, natumai mnaendelea vema na majukumu ya kujenga Taifa. Kama uzi unavyojieleza hapo juu, kuna wakati inatokea tuu kuna wimbo wowote ule uwe wa dini, qaswida, au nyimbo za kizazi kipya au hata cha zamani unatokea kuupenda sana wimbo huo na pengine wimbo huo...
  6. JamiiForums Tanzania Vijana wenzangu acheni kiwewe cha simu, iPhone 15 Pro Max ni simu ya kawaida sana, Kampuni ya Apple inauzia jina

    Vijana wenzangu acheni kiwewe cha simu, iPhone 15 Pro Max ni simu ya kawaida sana, kampuni ya Apple inauzia jina Punguzeni tamaa za dunia tumieni fedha mnazopata kufanya maendeleo iPhone 15 Pro Max Original ni zaidi ya 4,000,000/= kwenye Apple Store. Je hamuoni fedha hizo mnaweza kufanyia...
  7. JamiiForums Tanzania Hii safisha-safisha inayoendelea ndani ya Simba inapendeza sana

    Kabla ya kuisha mwa msimu wa 2022-2023 nilikuja na mkeka ulioelezea jinsi Simba inavyotakiwa kubadilisha kikosi chake kwa mtiririko fulani wa kuacha wachezaji ili ndani ya misimu 3 ijayo iwe na kikosi kipya kabisa. Lilipokuja dirisha kubwa la usajili, mkeka wangu ulionekana kufuatwa kwa 95%...
  8. JamiiForums Tanzania Kauli ya mkuu wa mkoa Chalamila, kwenye mgomo wa wafanyabiashara ilimrudishia Yusuf Manji maumivu makubwa sana

    Juzi wakati wa mgomo wa wafanyabiashara mkuu wa mkoa wa dar es salaam ambayo ilizua maswali mengi sana kama tutawashughulikia kama serekali ilivyomshughulikia manji ni kauli ya hovyo sana kutolewa na mtu kama yeye Nauhakika manji alivyosikia ile kauli ni kama iliyonesha kidonda ambacho kilikua...
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Wakenya watu wa ajabu sana aisee .unaharibu nchi yako kwa sababu ya Kodi?

    https://youtu.be/MJapGEmItUY?si=-VeOmElPPZE7ppPd Yani unaharibu mali za watu ,unachoma ndege ,unachoma ofisi za bunge ,nk Kwa sababu Kodi? Kwa namna navyo waona si Dhani kama ni afya kuwa nao kama nchi Moja huko mbele kwenye maswala ya EAC
  10. JamiiForums Tanzania Ligi ya Egypt ni ligi ya ovyo na ya kihuni sana pamoja na CAF

    Wakuu Ligi ya Egypt inasifika kuwa namba moja Africa lakini kwa upuuzi wao na uhuni kila mwaka wanaofanya, Kwanini isiitwe ya kihuni na kisela? Si afadhali hata ya huku Bongo wajameni? Hebu tuone Zamalek waligoma kucheza Derby yao na ahly ahly mpaka pale ahly ahly watakapomaliza viporo vyao...
  11. JamiiForums Tanzania Vyombo vya ulinzi na usalama barabarani , lichunguzeni haraka sana suala hili na kama ni kweli basi mfanye ufumbuzi ili kunusuru Maisha ya Watanzania

    Naandika kama mzalendo na mwenye upendo wa dhati na taifa langu Tanzania. kuna mazunumzo niliyasikia yanayohusu Teknolojia kutoka kwa watu nisiowafahamu maana nilikutana nao stendi ya basi wote tukiwa kama wasafiri tu wao walikua wawili walikua wakipiga story za hapa na pale kutokana na...
  12. JamiiForums Tanzania Aisee kuna member anakuwaga makini sana kufuatilia thread,haruki thread wala comment

    Member mwenyewe ndio huyu hapa sijui ni nani huyu
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ni aibu sana serikali kushidwa kusafisha maji!

    Yaani inasikitusha mpaka leo hatuwezi kupata maji safi na salama. Lakini serikali kila siku kujigamba!. Leo maji ya bomba ni kama tope!
  14. JamiiForums Tanzania Wale tunaoangalia Mpira kupitia Dstv nadhani tunaona tofauti Kubwa sana kati ya Mechi ya maana Ujerumani Euro na Takataka nyingine mahala fulani

    Halafu bado utakuta kuna Mijitu kabisa inaacha Kuangalia Mechi ya Euro inayoendelea inatizama Takataka moja hivi.
  15. JamiiForums Tanzania Mnavimba sana humu mitandaoni ila wazazi wenu wanatumia simu za ajabu sana

    •itel kiswaswadu •Tecno kiswaswadu •bontel kiswaswadu •O king kiswaswadu Na misimu yote ya kichina isiyofahamika ndio wazazi wetu wanatumia tena huku tukijinadi ooh mimi mzazi wangu yupo fresh kumbe dakika mbili tu simu yake chaji imeisha na hapatikani hewani
  16. JamiiForums Tanzania Kijijini watu ni wakatili chunga sana wake za watu

    Usije ukaenda kijijini ukapata mwanamke kumbe ni mke wa mtu. Watu wa kijijini sio wastaarabu ndugu zangu watakuangalia wanakusomea nyendo zako usije kushangaa unatenganishwa kichwa kama kumbikumbi. Chunga sana unapoenda vijijini usijione wa mjini ukadhani wanawake watakaokushobokea ni kutaka...
  17. JamiiForums Tanzania Bado Una Swali: Kwa Nini Bei za Magari Kutoka Ulaya Ziko Juu Sana Tanzania?

    Katika makala hii, tutachunguza sababu kuu zinazosababisha ongezeko kubwa la bei za magari yanayoagizwa kutoka Ulaya hadi Tanzania. Tutajadili kodi, ushuru, gharama za usafirishaji, na athari zake kwa wateja, huku tukitoa mifano halisi na mapendekezo ya jinsi ya kupunguza mzigo huu wa kifedha...
  18. JamiiForums Tanzania HONGERA SANA AFISA MTENDAJI WA MTAA WA NYERERE HALMASHAURI YA MJI WA BUNDA

    Sasa unaingia mkoa wa Mara!Utakutana na maandishi yakiwa kwenye hiki kibao mara tu unapoiacha Simiyu na kuingia mkoa wa Mara.Jina la mkoa halijulikani sana ukilinganisha na jina la makao makuu ya mkoa,Musoma.Ndio maana wengi wanajua jina la mkoa ni Musoma!Huu ni mkoa ambao mfumo dume ni mahali...
  19. JamiiForums Tanzania India na dawa nzuri sana za mitishamba

    India ni moja ya mataifa yanayo amini sana kwenye Tiba asilia na ndio sababu wana idadi kubwa sana ya dawa za asili. Kampuni kama Himalaya ina dawa nyingi sana za asili za magonjwa tofauti tofauti. Kwa Dawa za Himalaya welness kama kuna dawa ya asili ya ugonjwa wowote unaitafuta kwa nuda...
  20. JamiiForums Tanzania KMC wanapaswa kupongezwa sana kwa kujenga KIWANJA kizuri Cha mpira

    Ukiangalia uwanja wa kmc unaona kabisa ni KIWANJA kizuri na chenye standard nzuri ukuta na hata majukwaa na vyumba Hii Inanipa sababu kabisa ya kuwaomba bodi ya ligi na tff mwakani kuwa team za ligi kuu zitumie 1.Uwanja wa Mkapa. 2.uwanja wa uhuru. 3.uwanja wa Azam 4.uwanja wa Mkwakwani(maana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…