sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    SoC04 Giza lenye Mwanga

    Nashiba nikionja ni Kila natapika!! Namshukuru aliye asili yangu Kwa pumzi na uweza wangu wa kupata na Kutoa taarifa Kwa jamii ya watanzania. Nyumba yangu imejengwa msingi tu,Haina Kuta,haija pauliwa ,natafuta mafundi,nawapata wananiambia wao hufanya kazi kwenye Giza.Je! mnaonaje!! Wananiambia...
  2. Kwa sasa mwanasiasa mwenye nguvu hapa Tanzania ni Job Yustin Ndugai ukimya wake unakishindo kikubwa sana tusubiri!

    Huyu ni mtu kweli kweli ! Ameamua kufunika kombe ,haongei chochote na hachangii chochote ,amefumba kinywa ! Fisi wanajua wamemkomoa na Kuna wengine wanaona kama amekuwa failed! Huyu mtu hata wabunge wanamwita baba ! Kokote alipo asikubali 2025 kukaa kimya tutampeleka ikulu saa 2 asubuhi
  3. Yanga tuachane na wachezaji wa Ghana kwa sasa ligi yetu imekua sana ...

    Wakuu. Nikiwa kama mwanayanga mbobevu ambapo ndugu zangu wote humu wananifahamu akiwemo comrade wa muda sana Tate Mkuu Binafsi natoa ushauri wa rais wetu Hersi . Ukichunguza kwa makini utagundua kuwa ligi yetu imekua sana ushindani na ubora kuliko ligi nyingi sana hasa za West Africa. ⛏️⛏️...
  4. L

    Prof.Kitila Mkumbo atabadilisha sana mipango ya nchi hii, msikilizeni TBC akieleza mipango ya nchi

    Nasikia burudani sana jinsi msomi huyu anavyowasilisha hoja mbalimbali za mipango ya wizara yake. Nna uhakika mkubwa sana nchi inakwenda kubadilika kutokana na mipango mizuri iliyowekwa na serikali ikitokana na ubunifu wake mkubwa. Amejikita sana kwenye kuinua uchumi hasa maeneo ya kilimo...
  5. Umri wa miaka 30 hadi 35 ni wakati hofu kubwa sana na changamoto nyingi maishani

    Kipindi cha umri wa miaka 30 hadi 35 ni wakati wa changamoto nyingi maishani. Watu wanapitia hali ya kujuta na mawazo mengi kuhusu jinsi walivyotumia miaka yao ya 20's. Baadhi ya majuto ya kawaida kwa watu wenye umri huu yanaweza kujumuisha: Kutokuwekeza mapema: Kutokujitunza kiafya...
  6. L

    Spika Dkt.Tulia Ackson ana uelewa mkubwa sana wa masuala ya kisheria

    Kama ni uchawa basi mm niko tayari kuwa chawa wake, ni kama Maria Sarungi alivyo chawa wa Tundu Lissu au God bless Lema alivyo chawa kwa Mbowe, mimi ni chawa wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwanini, nimekuwa nafatilia sana shughuli za bunge na leo asbh naangalia kipindi...
  7. K

    KERO Rushwa kwa bodaboda idhibitiwe, imekuwa kali sana

    Usafiri wa pikipiki umekuwa msaada mkubwa sana kwa watu wa kada zote kwa ajili ya kuharakisha safari nyingi za kuingia na kutoka maeneo ya mjini na unasaidia sana kurahisisha shughuli za kiuchumi, pia kazi ya bodaboda imeajiri kundi kubwa la vijana kuanzia wasomi na watu mbalimbali wanaooendelea...
  8. Nchi inapigwa, kutwa nzima ni Mada za Yanga na Simba

    Tanzania ni nchi ya Kipuuzi sana fikiria kutwa nzima,vituo vya Radio na Television maada ni Mpira yaani hata Brazili sio hivyo, Brazili wanao penda mpira bado hatujawafikia. Hakuna Maada nyingine utaisikia kwenye hivi vituo zaidi ya Yanga na Simba kutwa nzima, wanaanza kujadili mpira kuanzia...
  9. Je,Wanyama huhisi Kama kuna kufa?

    Tembo na jamii ya nyani wanaonekana kuomboleza wanapompoteza mwenzao pengine na dolphin kwa jinsi alivyo na akili huenda akawa anajua japo sina uhakika.vipi kwa wanyama wengine Kama Fisi,simba,ngamia,punda,kuku na wengineo huwa wana kaa na kufikiria kwamba kila nafsi itaonja mauti?yaani ukute...
  10. Saido Kanoute anasubiria nini kupewa 'THANK YOU' Simba Sports Club? Aachwe upesi sana tafadhali.

    Nimecheza mpira na naujua mpira na nauchambua mpira pia Saido Kanoute si Mchezaji wa Hadhi ya Simba SC yetu. ANGALIZO TUKUKA NA TAKATIFU Hunipendi na hunikubali kabisa GENTAMYCINE kwa CHUKI BINAFSI zako, USHAMBA wako, WIVU wako kwa UMAARUFU wangu mkubwa hapa Jamiiforums, kwa ROHO MBAYA yako ya...
  11. Wanaume wanaofanya kazi hizi huufurahia sana uumbaji wa mola. Wanafaidi mema ya nchi

    Nimefanya utafiti wa kutosha. Hivyo nina 100% na kile ninachokizungumza (a) Fundi Simu (b) Chipser (Mkaanga Chips) (c) Bodaboda (Afisa Usafirishaji) (d) Wasusi wa kiume na wapaka rangi kucha (e) ?
  12. Kuna Somo Kubwa sana la Kujifunza hapa hasa kwa Washamba na Malimbukeni wa Mafanikio ya Ukubwani na ya Dharula ya Kiuchumi

    Samuel Eto'o kasema kabla hajawa staa mke wake alikua dada wa salun huko Ufaransa na alikua akimpa ela ya kujikimu mpenzi wake Eto'o wakati Eto'o akienda kwenye majaribio ya mpira kwenye vilabu mbalimbali vya soka Eto'o anasema baada ya kupata timu na kuanza kupata mshahara mkubwa aliamua...
  13. L

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam umenikosha sana leo sakata la wafanyabiashara Kariakoo

    Umeongea kwa mamlaka dhidi ya wafanyabiashara, na umenikuna sana kiongozi. Umeonyesha ujasiri mkubwa kwa wananchi unaowaongoza Dar es Salaam. Umenigusa sana pale uliposema kama nchi inapeleka jeshi kupigana Congo, vipi ishindwe kulinda Kariakoo. Dawa yao hao wafanyabiashara wanaotumwa na...
  14. Kwanini tunasifu sana

    Tupo kwenye mfumo wa maisha ambao ili upate kitu nilazima usifu, jambo linalopoteza dira na muelekeo ya maisha yetu Tupo kwasasa kwenye dunia inayofahamika kwa uchawa, vijana mpaka wazee wanaonekana kama chawa kutokana na kusifu kila jambo hata kama halina manufaa kwa lengo la kupata chochote...
  15. Nyakati hizi, wadada wanatongoza sana wanaume

    Siku moja niliamua kutembelea akaunti yangu moja ya mtandao wa kijamii, baada ya kuingia 'inbox' nikakutana na sms (jumbe) nyingi za wadada na wamama mbalimbali kutoka sehemu mbalimbali za Afrika; nyingi zilikuwa zinasema, 'mambo', 'hallow' n.k Wengine wakiomba urafiki n.k; nikawa najiuliza kwa...
  16. Ukiamka alfajiri sana mambo yanaenda vizuri

    Kuna faida kubwa sana kulala saa 3 kuamka saa tisa kupiga mazoezi na kufua muda huo na kufanya kazi zako tu nyingine. Tomorrow huanza bila kuchoka
  17. Huwa naenjoy sana kuna mtu akimtambulisha mkewe tena kwa kiswanglish "huyu ndiyo wife wazee" hahahah

    Wanaumeeeee... Tuache kujizima data aisee hawa jinsia pinzani ni hovyo tu. Don't be too blind. This is for the lovers in the house, ndani ya nyumba tafuta penzi lako, mshike kwa mikono ha...... Mwangalie ndani ya macho mmh, aah, mpeleke kando, na umwambie (na umwambie)....... Commit a crime...
  18. Wabongo tunazingua sana eti mtu anampeleka mwenzake police kosa ni kuvunja meza.

    Sidhani kama nchi za nje mtu anaweza kushtaki police kesi ya umemvunjia meza pengine kwenye ulevi hukujitambua au bahati mbaya tu mashauri ya kumalizana ila unakuta mtu anaandaa mazingira iwe case.
  19. Upatikanaji wa Sukari na utulivu wa Bei ya sukari umeimarika sana Chini ya Bashe!

    Wakuu wote salaam! Kwa wanaonisomaga humu watashangaa Sana nikisimama na Bashe leo kwenye sakata la sukari! Ila Leo ntasimama nae tena kwa hoja na sio vihoja! Kwanza kabisa Bashe ni moja ya mawaziri vijana ambaye utendaji wake unapaswa kutufariji vijana na kutupa motisha kuwa tunaweza kugeuza...
  20. N

    GEN Z kizazi kilichobarikiwa sana

    1996-2010. Hichi kizazi kimebarikiwa sana,hakisubiri sijui serikali itoe ajira wanazama front wenyewe ni wapambanahi sana Wengi wao wanajitegemea sio kama sisi kizazi cha millennium bado tupo kwa wazazi jitu lina miaka 36 bado lipo kwa mama. Wengi wao wanapiga pesa simple sana sio mpaka watoe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…