sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Siku zinayoyoma kwa kasi sana kwenye huu mwaka wa kufosi au hii hali ni kwangu tu?

    Habari wakuu, nianze kwa kuwapa pole kwa janga la kariakoo ni janga zito sana Mungu awatie nguvu wahanga wote katika kipindi hiki kigumu. Nirudi kwenye mada, wakuu siku zinakwenda spidi sana nadhani nanyi mnalipitia hilo, kuna jambo nilipanga kufanya november nna utaratibu wa kuweka reminder...
  2. JamiiForums Tanzania Wakati mwingine tunakutana na watu wakiwa wameumizwa sana na mahusiano ya nyuma.

    Wakati mwingine tunakutana na watu wakiwa wameumizwa sana na mahusiano ya nyuma Tunalazimika kuzinyanyua nafsi na mioyo yao iliyojiinamia ndipo tuwapandikize upendo wetu Huwezi kuupata upendo mkubwa toka kwa mtu mwenye mapito mazito kama hujamponya na maumivu yake ya nyuma ili awe mpya kwanza...
  3. JamiiForums Tanzania BoT yakataza rasmi kampuni za mikopo mitandaoni kuchukua mawasiliano ya wateja ili kuwadhalilisha. Yatoa mwongozo mpya!

    Wakuu, Kwa muda mrefu sasa, wakopaji wengi wa mitandaoni wamekuwa wakilalamika kuhusu kitendo cha baadhi ya apps za mikopo ku-access list ya mawasiliano ya wateja na kisha kuwatumia message baadhi ya contacts iwapo mteja ameshindwa kulipa. Soma pia: Serikali ipitie upya Sheria ya 'Mikopo ya...
  4. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Chadema uitishe kikao cha dharura, nchi imekuwa na matukio mengi sana mpaka tunashindwa kufanya siasa kuelekea uchaguzi wa mitaa

    Nashauri vikao vifanyike, kila siku tukijiandaa kupiga propaganda zetu, tukio linatokea mpaka tunakata tamaa. Hatuwezi kuyazuia, sasa sijui tufanyeje. Wiki hii yote tutajadili mambo ya Morroco 2025, mpaka kumaliza mjadala, uchaguzi wa mitaa umekwisha. Tunaingia kwenye michango ya Niffer na...
  5. JamiiForums Tanzania Kariakoo Kuna ushirikina mwingi sana, huenda kafara limehusika

    Kwa ushirikina uliokithiri kariakoo huenda sadaka ya damu imehusika ukizingatia tunaelekea mwisho wa mwaka ,maagano au makubaliano ya kisheitwani lazima yatimie.
  6. JamiiForums Tanzania Ni hatari sana kwenda au kuishi Kariakoo

    Kwa ujumla mimi siendagi Kariakoo Siyo sehemu salama, watu ni wengi sana, hakuna parking and kuna high level of noise pollution Ukiacha hayo matatizo madogo madogo, magorofa mengi yaliyojengwa ni ya mchongo, huwa wanaweka load kubwa sana huko magorofani. Kuna uwezekano mkubwa sana magorofa...
  7. JamiiForums Tanzania Ajali ya Kariakoo imenifanya niwaze sana wanayopitia Wapalestina Gaza

    Imagine on daily basis, magorofa yanaangushwa tena intentionally at the same time hakuna maji hakuna umeme hakuna na chakula pia shida. So much suffering in this world.
  8. E

    JamiiForums Tanzania Tukiwa wakweli UKIMWI ni Overrated sana

    Muathirika wa UKIMWI akikubali hali na kufuata masharti tu anaishi miaka mingi sana hata ya maisha ambayo ingebidi aishi .kikubwa kuhakikisha kinga yako iko vizuri iwe kwa dawa -ARV plus lishe ..nk Watu wengi wakufa kwa magonjwa kama Presha ,stroke ,Moyo , Sukari,kansa Ajali na Majanga..nk...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Watu 13 wamefariki kwenye jengo lililoporomoka Kariakoo. Serikali kugharamia matibabu ya majeruhi na kuhakikisha waliofariki wanasitiriwa

    Rais Samia ambaye amesafiri kwenda Jijini Rio de Janeiro nchini Brazil 16 Novemba, 2024 kwa mwaliko wa Rais wa Brazil, Luiz Inácio Lula da Silva kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa nchi Wanachama wa Kundi la G20, amezungumza na Wananchi kufuatia kuporomoka kwa ghorofa...
  10. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Serikali tunaomba muitazame upya PSSSF Branch ya Arusha, huduma ziboreshwe

    Hapo vip!! Uongozi wa kipindi hiki tunaomba iongeze makali kwasababu Wananchi wanateseka na wengi wamekuwa waonyonge wanavyoanza kufuatilia haki zao au huduma katika Ofisi za Serikali. Wafanyakazi wengi wanaofanya kazi kwenye Taasisi za Serikali wamekuwa na kiburi, wanajiona Miungu watu na...
  11. JamiiForums Tanzania Utakapo sifiwa kung'oa mademu kwa wingi, Siku ukiyavagaa Huwa hawatoi sifa tena ni utani mbaya na unafki wa "Pole sana Mwanetu"

    Utakapo sifiwa kung'oa mademu kwa wingi, Siku ukiyavagaa Huwa hawatoi sifa tena ni utani mbaya na unafki wa "Pole sana Mwanetu" Kataa uzinzi mwanangu, Usije Ukasifiwa kwa Kumaliza Kikombe Kimoja cha Uji.
  12. JamiiForums Tanzania Watu wengi hawafanikiwi Kimaombi kwa Mwenyezi Mungu kutokana na kukosea hii sehemu ndogo sana ila muhimu mno

    Unajua kabisa hadi sasa (2024) idadi ya Watu wote tuliopo Duniani ni Bilioni 8 na Milioni 200 halafu bado ukiwa Unasali ama Chumbani Kwako au Kanisani au Msikitini unamuorodheshea Mwenyezi Mungu lundo la mahitaji ukidhani atakuwa na muda wa Kukujibu yote. Kuanzia sasa GENTAMYCINE nakufundisha...
  13. JamiiForums Tanzania Biblia Takatifu: Mathayo 7:22-23 ni angalizo linalohitaji maarifa (Wakristo tupo kwenye mtego mkali sana)

    Matt 7:22-23 "Wengi wataniambia siku ile, Bwana, Bwana, hatukufanya unabii kwa jina lako? na kwa jina lako kutoa pepo?, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi?. Ndipo nitawaambia dhahiri, Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu." Andiko tajwa hapo juu ni zito sana, na...
  14. JamiiForums Tanzania Paul Makonda mbali na mapungufu yote ya kibinadamu huyu ni kiongozi mbunifu sana, anatufaa 2030 awe Rais

    Jinsi nchi ilipofika, imekuwa shamba la bibi kila mahali, watu wana ina pesa,sana , ufisadi, uvivu,uzembe, namwona Paul makonda angetufaa sana kama angeshika nchi 20230. Ili aweze kurudisha uzalendo ndani ya nchi yetu. Ukimsikiliza speech yake ya leo ya arusha utajua kuwa ni kiongozi bora. Leo...
  15. JamiiForums Tanzania Nikifanya mapenzi na huyu mchepuko napata sana wateja siku hiyo

    NIKIFANYA MAPENZI NAHUYU MCHEPUKO NAPATA SANA WATEJA SIKUHIYO. Habar Mr magical power! Mimi nimwanauume mwenye umri wamiaka 37 naishi tanga.Naomba unifikishie kwa members wako wanishauri jambo fulani linaloniumiza kichwa.Mimi nimfanyabiashara wa samaki hapa soko la samaki tanga ninamke nawatoto...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna wanawake ni MALI SAFI sana wana umri fulani, wana misimamo fulani ambayo wanaume WAGALATIA huchukia ila ile misimamo yao ina faida kuliko hasara

    Kuna wanawake ni MALI SAFI sana wana umri fulani, wana misimamo fulani ambayo wanaume WAGALATIA huchukia ila ile misimamo yao ina faida kuliko hasara
  17. JamiiForums Tanzania Picha: Pongeze zenu Mawaziri mmefika Kariakoo kufanya kazi. Hongereni sana

    Mawaziri wakiwa eneo la tukio kuendelea kuokoa wahanga
  18. JamiiForums Tanzania Waafrika kujikuta tunaishi Afrika Wala si Bahati mbaya,ni sahihi kabisa na tena tushukuru

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Kuna wakati huwa nalaumu sana lakini kwakuwa nina IQ kubwa,nimekuja kugundua sisi waafrika kujikuta tupo kwenye hili Bara la Afrika,ni jambo ambalo inapaswa Tushukuru usiku na mchana! Bara la Afrika ni bara ambalo linaendana sawia na akili ya...
  19. JamiiForums Tanzania Hii video inasikitisha sana

    Imagine na hili joto hapa daslam,unajikuta kwenye situation hii🧟‍♀️ Kuzaliwa Africa ni laana.
  20. JamiiForums Tanzania Wewe mwenyewe unapenda makalio makubwa, alafu bint akitanguliza pesa kama priority unaanza kulalamika "ooh mademu wa siku hizi wanapenda hela sana"

    Hii inaitwa ngoma draw, Mi nafikiri kila mtu ashinde mechi zake huku tukila kwa urefu wa kamba zetu maana hata solomon alijaribu kila kitu na akaishia kusema hii dunia na maisha kiujumla ni batili tu. Kama mwanaume priority yako ni kupenda makalio makubwa. Na mwanamke priority yake ni kupenda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…