samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Watu wafupi nchini 'Wajukuu wa Samia' (Mr Pimbi, Tausi) watua Bungeni, wakaribishwa kwa makofi mazito

  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia nikukumbushe tu, mtangulizi wako alianza nao vyema kama wewe, ulimponda kwa mabaya yake leo yamekukuta

    Ushauri wangu ni kwamba nchi yetu haina special person(specialized) wengi katika taaluma tofauti mfano Siasa ila ina mashabiki wengi baadhi yao wapenda udaku,mipira na wengine wapenda umbeya wa siasa(hawana taarifa ila ni waropokaji kwa taarifa wanazopatiwa). Ukitaka kutambua hili kuna mtu yupo...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Kauli Tata za Gwajima dhidi ya Kikwete zarejea kwa Samia

    Askofu Josephat Gwajima ameendelea kudhihirisha chuki zake dhidi ya Uislamu, msimamo aliokuwa nao tangu enzi za Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ambao sasa ameuhamishia kwa Rais Samia Suluhu Hassan. Si mara moja wala mara mbili ambapo Gwajima ametumia majukwaa ya dini na siasa kutoa kauli zenye...
  4. L

    JamiiForums Tanzania PICHA: Tazama Namna Walinzi Wa Rais Samia Walivyo Makini na Umakini Kumlinda

    Ndugu zangu Watanzania, Mimi ni mfuatiliaji mkubwa sana wa ziara za Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi Rais Samia ana damu ya kitanzania kweli?

    Naombeni tu kuwauliza waungwana. Mma uhakika kuwa Rais wetu Samia ana damu ya kitanzania. Hivi hizi kauli na matendo yanayoendelea dhidi ya watanzania zinaakisi kuwa yeye ni mtanzania? Naona hata kipindi Mbowe anashtakiwa kwa ugaidi ilikuwa ni hali kama hii tu sema hii ya sasa imekumba wengi...
  6. JamiiForums Tanzania Ndugu yangu Samia nchi ipo gizani

    Ndugu yangu Samia nchi asilimia 60 ipo Giza mpaka muda huu ninapoongea hakuna umeme una taarifa ?? Unajua umeme ndio usalama namba moja wa Taifa? Mafisadi ya umeme yamekushinda ndugu yangu Samia?
  7. T

    JamiiForums Tanzania Samia ukiachia madaraka kwani utapungukiwa na nini

    Eti wakuu nimejaribu tu kuwaza. Kwani bi mkubwa akiamua tu kutokugombea na kurudi kwao kizimkazi kupumzika kwani arapungukiwa na nini maana hatuna deni nae. Chini ya uongozi wake kila kitu kinakwenda halijojo, utekaji, ubabe uhamishaji masai NGORONGORO, kubinafsisha rasilimali za nchi kama...
  8. JamiiForums Tanzania Chalamila amemwambia Rais Samia Ridhiwani hamiliki vituo vya shell

    RC Chalamila leo amemwambia Rais Samia kwamba Ridhiwani hamiliki vituo vya mafuta na $750,000 oil tankers.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Si kwa Siasa, Bali kwa Moyo – Tamko kwa Rais Samia

    Mheshimiwa Mama Yetu Samia Suluhu Hassan, Wapo wanaoongoza kwa mikono, wachache kwa akili, lakini wachache sana huongoza kwa moyo. Wewe ni miongoni mwa hao wachache uliyesimama si kwa nguvu, bali kwa upendo. Katika historia ya taifa letu, jina lako limechipua kama mti wa mkaratusi wakati wa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Nikupe pole Rais Samia, wapo watu kazi yao kufitinisha Serikali na familia yako kwa maslahi binafsi

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila asema kuwa kuna watu wachache kwenye mitandao wanaacha mambo ya msingi na kuishambulia familia ya Rais, alitaka kanisa liombe ili adui ashindwe. "Wapo watu katika Taifa kazi yao ni kuzungumza uongo unaofitinisha Serikali, Unaofitinisha Familia na...
  11. JamiiForums Tanzania Nadharia mbili alizozi "prove wrong" Samia

    1. Uongozi wa nchi wa waislam huwa na utulivu na upole, kabla ya Samia, tuliaminishwa kua akikaa kiongozi muislam nchi inakua tulivu na upole. Kumbe ni uongo bwana. 2. Tanzania ni kisiwa cha amani. Kwakweli the island of peace has Submaged, and dwellers are fighting for thier lives. Sasa...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Watanzania tutamlinda, kumpigania na kumtetea Rais Samia kwa gharama yoyote ile

    Ndugu zangu Watanzania , Watanzania Tutamlinda , Kumpigania,kumsemea na kumtetea kwa gharama yoyote ile Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika...
  13. JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima aliomba Unaibu Waziri kwa Rais Samia

    Aisee waswahili husema wacha inyeshe tujue panapovuja!! Kumbe askofu Gwajima alifikia hatua ya kwenda ikulu kuomba Unaibu waziri kwa Rais Samia!! Kuna mengi sana yaliyo nyuma ya pazia juu ya hawa wahuni!!
  14. S

    JamiiForums Tanzania Sheikh amshukia aliyewaombea kiharusi wanaomsema vibaya Rais Samia, asema Masheikh wengi wanasumbuliwa na njaa

    "Pana sheikh nimesoma kwenye mitandao anasema wote wanaomsema mama wapate ugonjwa wa kiharusi, huyo ni hseikh huyo. Sasa nikiangalia huyo ni sheikh au shehena? basi hilo shehena hamna sheikh hapo. Tabia ya mtume Mohamed S.A alikuwa anampenda kila mtu"
  15. JamiiForums Tanzania Tetesi: Siku sio nyingi Askofu Gwajima atatangazwa kuwa ni MHAINI, Anatishia Usalama wa Rais Samia, Kupanga Njama Ovu!

    Katika ulimwengu wa siasa za Tanzania, jina la Askofu Josephat Gwajima, Mbunge wa Kawe na mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, limekuwa likizua mjadala mkali. Hivi karibuni, uvumi umeenea kwamba “muda sio mrefu” Gwajima atatangazwa kuwa mhaini anayetishia usalama wa Rais Samia Suluhu Hassan...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Dodoma: Mkingeni Rais Samia dhidi ya mashambulizi mitandaoni

    Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Jawadu Mohamed amewataka Watanzania na WanaCCM kumkingia kifua Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan dhidi ya mashambulizi yoyote anayoyapata kupitia mitandao ya kijamii Jawadu ameyasema hayo Jumanne Juni 3, 2025 Jijini Dodoma...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Demokrasia imara Tanzania chini ya Dkt. Samia

    DEMOKRASIA IMARA TANZANIA CHINI YA DKT. SAMIA Rais Samia Suluhu Hassan amechukua hatua kadhaa ambazo zimeonekana kuimarisha demokrasia nchini Tanzania tangu achukue madaraka mwaka 2021. Baadhi ya hatua hizi ni pamoja na👇 Kuruhusu Mikutano ya Kisiasa Tofauti na miaka ya awali ambapo kulikuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Ikitokea Rais Samia akakemea kufungwa kanisa la Gwajima na kutengua uteuzi wa Bashungwa CCM hawatamsifia?

    GTs, Hebu fikiria tu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekemea vikali hatua ya kufungiwa kwa Kanisa la Ufufuo na Uzima inayoongozwa na Askofu Josephat Gwajima, akieleza kuwa ni ukiukwaji wa haki ya kuabudu inayolindwa na Katiba. Hebu fikiria tu akizungumza haya...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashughulike na matatizo ya usalama wa wananchi na sio kushughulika na wanaofichua uovu. Sura ya Tanzania kimataifa imekuwa mbaya mno!

    Kinachoendelea ni kwa serikali na vyombo vyake kujaribu kuwaziba midomo wale wote wanaofichua vitendo viovu vya utekaji na upotevu wa wananchi. Lakini la ajabu ni kwamba badala ya serikali kutoa ushirikiano kwa watoa taarifa inaonekana serikali inajikiti zaidi kukana kuwepo kwa vitendo hivi na...
  20. I

    JamiiForums Tanzania Mnyonge mnyongeeni, haki yake mpeni- kwa mafanikio haya, Rais Samia umetutendea haki wakulima

    Katika zama ambapo kilimo kilionekana kama kazi ya kizamani isiyo na tija, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekuja na mtazamo mpya, ambao umegeuza kilimo kuwa fursa muhimu ya kibiashara. Sauti za wakulima ambazo kwa muda mrefu zilisikika kama kilio kisicho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…