samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Haya ndiyo mafuriko ya watu yanayoshikilia rekodi nzito ya mapokezi ya Rais Samia hapa nchini mpaka muda huu

    Ndugu zangu Watanzania, Kila anapokwenda Na kutua katika ardhi ya Nchi hii Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Amekuwa akilakiwa na kupokelewa kwa mafuriko makubwa sana ya watu ambao hujitokeza na kumiminika kwa wingi sana...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia atembelea Barabara ya Mzunguko Dodoma na kuzungumza na wananchi Juni 14, 2025

    Rais Samia akitembelea Barabara ya Mzunguko Dodoma (Km. 112.3) na Kuzungumza na Wananchi, leo tarehe 14 Juni, 2025. https://www.youtube.com/live/TgN_32Yqzlo?si=JWFkm-rF1pIErqq9 ==== Rais Samia ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa barabara ya mzunguko wa Dodoma yenye urefu wa...
  3. JamiiForums Tanzania Ulega: Rais Samia umeituliza nchi sakata la Dabi ya Kariakoo

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema hatua ya Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati na kusuluhisha mvutano uliokuwepo kati ya klabu za Yanga na Simba kuhusu ratiba ya mchezo wao, imeleta utulivu mkubwa kwa Taifa na mashabiki wa soka nchini. Akizungumza leo Jumamosi, Juni 14, 2025, wakati...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia Maswa: Maswali Yaibuka Kuhusu Kipaumbele cha Miradi

    Wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akitarajiwa kutua wilayani Maswa kwa ziara ya kihistoria, sintofahamu imeibuka miongoni mwa wananchi na wadau wa maendeleo juu ya maamuzi ya ratiba ya shughuli atakazozindua. Katika ratiba rasmi, Rais Samia amepangiwa kuzindua...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tetesi: Rais Samia kufanya ziara ya siku mbili ya kiserikali nchini Kenya

    Kuna tetesi kuwa Rais Samia ataenda kufanya ziara ya siku mbili ya kiserikali nchini Kenya. Pamoja na ziara hiyo, atahutubia Bunge la Kenya! Ngoja tusubiri ziara hiyo kama itafanyika!
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kama Rais Samia anapenda kweli Taifa, inabidi afanye hivi kwa manufaa ya taifa

    Bila kufanya haya. Mizimu ya Magufuli itakupata Mama nakupa ovyo tu. Tusije kulalama hapa tenda haki uondoke na heshima yako 1. Kutoa hotuba ya kitaifa kwa hali halisi ya taifa 2. Kuomba Msamaha kwenye hotoba hiyo kwa Kenya na Uganda kwa wanaharakati na nchi zao kwa ujumla wake 3. Kesi ya Lissu...
  7. JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa (UN) washtushwa na matukio ya utekaji na ukandamizwaji wa upinzani unaoendelea Tanzania

    Wataalamu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa wametoa wito kwa Serikali ya Tanzania kusitisha mara moja vitendo vya utekaji wa wapinzani wa kisiasa, watetezi wa haki za binadamu na waandishi wa habari, hasa katika kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu. UN imesema kwamba wameshtushwa na taarifa...
  8. JamiiForums Tanzania Huu ni MSIBA kuona deni la TAIFA linaongezeka huku uhalisia wa maisha ya mtanzania, miundombinu, huduma zikizidi kuwa duni

    Poleni Sana Watanzania. Mpo kwenye MSIBA mkubwa. Huu ni MSIBA kuona deni la TAIFA linaongezeka huku uhalisia wa maisha ya mtanzania, miundombinu, huduma zikizidi kuwa duni. Ila VIONGOZI wa CCM ni wana hela hadi wanaumwa hela, I tell you my fellow …. HELA zinapigwa kupitia miradi and all...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia una hii Taarifa muhimu ya Umoja wa Ulaya (EU) kuzuia Ndege za ATCL kutua Ulaya yote kutokana na kutokuwa salama kwa Abiria na mbovu?

    Nilidhani Msemaji wako (wa Serikali) Gerson Msigwa angekuwa busy kutueleza Watanzania kwanini EU wamezuia Ndege zako Unazozifaragua nazo kila Siku za ATCL kutua nchi zote za Ulaya kutokana na kutokuwa salama kabisa kwa Abiria na badala yake yuko busy kutishia Watanzania wanaoandika Mitandaoni NO...
  10. JamiiForums Tanzania Familia ya Juma Maganga yamlilia Rais Samia awasaidie ndugu yao atolewe Jela Sudan Kusini

    Familia ya Mtanzania Juma Maganga, aliyehukumiwa kifungo cha miaka 13 nchini Sudan Kusini kwa kosa la kumgonga mwanajeshi hadi kufariki, imeelezea hofu yao juu ya hatma ya ndugu yao huyo endapo watashindwa kulipa fidia ya milioni 30 kama ilivyoamriwa na mahakama ya huko. Licha ya adhabu hiyo...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mzee Wasira: Mitano Tena" ni kwa Samia, wengine watasubiria mchujo

    My Take Safi sana Wasira unajua sana kuwakera 😂😂👇👇 Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, leo Juni 11, akizungumza na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Wilaya ya Nyasa, mkoani Ruvuma, ametumia jukwaa hilo kuwakumbusha wanachama wa CCM nchini kuwa kwa sasa mgombea...
  12. JamiiForums Tanzania Gazeti la "The Wall Street Journal " la New York la tarehe 11/06/2025 limesema Rais Samia anatumia Madaraka yake vibaya

    Gazeti la "The Wall Street Journal " la New York la tarehe 11/06/2025 limesema Rais Samia anatumia Madaraka yake vibaya. Britanicca
  13. S

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Samia anaineemesha Zanzibar na kuiangamiza Tanganyika?

    Huyu mama ni mzalendo sana kwa nchi yake ya Zanzibar lkn hana uchungu hata chembe na Tanganyika . Anaipenda sana Zanzibar na anawapenda wazanzibari kiasi kwamba mpk anaonesha upendeleo wa wazi wazi. 1. Angalia jinsi alivyoingilia suala la Fatma Karume kupokwa uwakili. 2. Angalia alivyoingilia...
  14. D

    JamiiForums Tanzania I give u five Samia. Jpm banned all political activities in the country but your humility has cost you a lot

    Refer to the caption above Surely samia is real an icon. Imagine jpm banned all politics of the opposition claiming that ccm is the only party to dwindle politics. Jpm new that if chadema had been allowed to exercise politics that could have been the end of ccm. when samia came into power...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali isingetumia njia ya Mombasa hadi Kisumu kisha Ziwa Victoria kusafirisha boti badala ya njia ya Barabara kutoka Mtwara mpaka Mwanza??

    Anayeweza kunisaidia kufafanua bot inayosafirishwa kupita mikoa zaidi ya 4 kwa siku 30 kwanini lisingesafiri kwa maji kutoka Mtwara mpaka Mombasa Kenya kisha, wasafirishe mpaka bandari ya Kisumu kisha iingie kwenye maji yenyewe mpaka Mwanza? Wataalam walitumia tathimini gani kuona njia...
  16. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa umma hawako makini vya kutosha wanamwaibisha Rais Samia

    Ni mara nyingi kuna nyaraka zinazunguka mtandaoni za kiserikali, zingine barua zingine amri n.k unahisi kabisa wafanyakazi waliopewa nyadhifa kubwa huwa wanafanya kazi bila umakini wa kutosha na kwa sababu hiyo wanaaibisha serikali na Rais aonekane hayuko makini vya kutosha. kuna barua nyingi...
  17. JamiiForums Tanzania Mliopo Dar tafadhali tuambieni 'Mtume Mwamposa' kanisa lake sasa lipo wapi baada ya kuhama pale lilipokuwa Kawe?

    Je, kahamia pale jirani na Shule ya Feza / nyuma ya Shule ya Upili (Secondary) ya Ukwamani ambapo alipewa eneo au?
  18. JamiiForums Tanzania Kama uchaguzi Oktoba 2025 ukipelekwa 2027 , kipi bora Reforms za uchaguzi au Rais Mama Samia atupe katiba Mpya ?

    Kwa Maslahi Mapana ya Taifa kwa sasa hakuna haja ya ku tick 2025 .kiuzalendo zaidi tunahitaji mabadiliko makubwa sana katika mfumo wa uchaguzi na katiba kwa ujumla. Binafsi naamini kama Mama akikubali kwamba kwa sasa tunahitaji mabadiliko kwanini katika hii miaka miwili tukatafuta katiba Mpya...
  19. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia manung'uniko dhidi ya Jeshi la Polisi yamezidi kwa sasa tangu Tanganyika iwepo Duniani

    Nina uhakika wa Mungu unajua fika kuwa jeshi la polisi linalalamikiwa sana kuliko miaka yote tangu Tanganyika iwepo duniani. Mauji ya wananchi, kuonea wananchi and many many other atrocities committed by polisi, bado makubwa yanayotokea mikononi mwa polisi. POLICE BRUTALITY IS AT ITS PEAK...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Polisi komesheni rushwa, natumiwa ‘clip’ za Barabarani nami namrushia IGP

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki sherehe ya Kufunga Kozi ya Maafisa na Wakaguzi wa Jeshi la Polisi Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es salaam, leo tarehe 9 Juni, 2025.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…