samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Samia Suluhu Hassan ni Mgombea Halali Kikatiba na kihistoria

    Wanaukumbi. Mchakato wa Rais Samia kupitishwa kuwa mgombea pekee wa CCM kwa uchaguzi wa 2025 ni wa kihalali kwa mujibu wa Katiba ya CCM, na umefuata historia na utaratibu wa chama uliodumu kwa miongo kadhaa. Wanachama wa CCM, viongozi wa chama, na wananchi kwa ujumla wanapaswa kuelewa kuwa...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Rais Samia S Hassan,naomba umfree Lissu tafadhali

    Wabaya wako au wabaya chama chenu wapo humohumo chamani.Nadhani ushalijua hilo kitambo.Wakati mnaendelea kugombana,naomba mtoe tu baba wa watu,usijitafutie dhambi za nyongeza tu.
  3. JamiiForums Tanzania Ingekuwa John Pombe Magufuli anamaliza muda wake leo hii bado aliyemuamini Rais Samia

    Hakuna mwanasiasa mpya ndani ya CCM Ambaye angeweza kuaminiwa na kukabidhiwa kijiti iwapo hayati Magufuli angekuwa anamalizia muda wake leo hii. Kama yupo basi Magufuli kwa uwazi kabisa angemteua kama mgombea mwenza kipindi kile. Itakumbukwa pia Mtu wa pili aliyetajwa kuaminiwa na Magufuli ni...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia jitokeze hadharani useme lolote ama tukuone tu na roho zetu zitulie

    Maana kwa tulichojifunza mwaka 2021 kelele za mtandaoni zinaweza kugeuka na kuwa ukweli, na hatuamini tena kauli rasmi za wasemaji wa chama au serikali wanapozikanusha Baada ya kikao cha CCM kushindwa kufanyika kama ratiba ya awali ilivyopanga tunasikia kelele nyingi mtandaoni kuwa hutaweza...
  5. JamiiForums Tanzania Wazalendo wasiruhusu kabisa Uhuni wa Dodoma kua Desturi , itaangamiza Taifa , MTU mmoja' anaweza mpitisha Mwanae 2030 kugombea Urais na asihojiwé !!

    Mkutano ulikua wa kumteua Makamo!!. Wahuni na Machawa wakiwa tayari wameshajipanga, Anaibuka MTU ,kama vipi TUMPITISHE hapahapa? Makofi na kelele vikawa vingi. Wakaibuka Machawa na Vilaza na wahuni wengi wengi kufanya Fujo za makofi na vigelegele. Lini Samia alichukua Fomu? Licha ya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Anaye pambana na Samia anapambana na JPM | aliyepambana na JPM alipambana na Nyerere

    Anaye Pambana na Samia, Apambane na Kivuli cha Magufuli – Ni Kama Walivyopambana na Magufuli Walivyokuwa Wanapambana na Nyerere Na Costantine V. Magavilla Katika kuendeleza mada ya janga la upumbavu, nimesukumwa, kwa sababu ya fursa iliyo mbele yetu – fursa ya kipekee ya kuunganisha juhudi za...
  7. JamiiForums Tanzania RECORD MAJAJI WANAWAKE: Kati ya majaji 83 aliowateua Rais Samia tangu aingie madarakani mwaka 2021 Asilimia 41% au 35 ni wanawake ilikufikia 50|50

    Katika azma ya kuifanya Tanzania kinara wa kupunguza pengo la uwiano wa kijinsia kuelekea dira 2050, Rais Smia ameteua ya Majaji 35 wanawake 41%. Uwiano wa kijinsia ni moja ya shabaha ya msingi inayopewa kipaumbele mahususi na Dira2050 ambapo Tanzania inalenga kuwa kinara barani Afrika na...
  8. JamiiForums Tanzania Tunaomba kujua ni wapi aliko Rais wetu kipenzi Samia Suluhu Hassan, Rais ni mali ya umma

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU Rais ni mali ya watu wote ni mali ya raia Tunaomba kujua ni wapi alipo maana kimiya na tetesi ni nyingi sana Kwaamaana October tunataka kutic Ni wapi alipo rais wetu Asanten sana LONDON BOY
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia amejenga jumla ya VETA mpya 94 na 29 alizozikuta amezikarabati

    Rais Samia amejenga vyuo vya VETA 94 na amekarabati vyuo 29 Wanafunzi 440,000 wanaendelea na masomo kama msingi wa Dira2050. Serikali ya Rais Samia imekamilisha ujenzi wa vyuo 29 vya mafunzo ya ufundi stadi ambavyo vimeanza kutoa mafunzo, kuendelea na ujenzi wa vyuo 65 na kukarabati vyuo 29 vya...
  10. JamiiForums Tanzania Kitendawili Kisa Cha Rais Biden wa USA kuondolewa na Chama chake Cha Democrats na Sarakasi ya CCM na Samia Dodoma. Yajayo yanafurahisha.

    Muda wa kampeni ukafika. Kampeni ilianza kati ya Trump na Rais Joe Biden. Mdahalo wa kwanza ukaandaliwa kati ya Trump na Biden. Biden akafanya vibaya pamoja na kuibiwa maswali ya mdahalo kabla. Ikumbukwe Establishment ya Democrats akina Obama, Schumer na vigogo wengi hawakumtaka Biden Toka...
  11. JamiiForums Tanzania Zanzibar ilikuwa na utulivu wakati Tanzania ikiongozwa na marais wasio wazanzibari kwa miaka 26, Samia kaongoza miaka 4 tu, anaongeza mitano ya mwisho

    Tangu Muungano uanze, Zanzibar ilitoa Rais mmoja tu, Mzee Mwinyi, upande wa pili umetoa marais wanne, kwa Zanzibar, Samia ni wa pili, ni busara ya kawaida kumpa nafasi na kuipa nafasi Zanzibar. Hiyo 26 ni ya Mkapa, Kikwete na JPM, sijaweka ya Mzee Nyerere
  12. JamiiForums Tanzania KUMBUKIZI: Samia Suluhu asema hana wazo la kuwania Urais 2025

    Katika kumbukumbu za Siasa za Tanzania, Rais Samia Suluhu aliwahi kusema kwamba hana wazo la kuwania Urais 2025. Habari hiyo ikachapishwa na Gazeti la CCM linaitwa Gazeti la Uhuru. Japo Gazeti watendaji wake walipata Misukosuko kwa kuandika nukuu ya kweli. Swali langu kwa Samia leo Tarehe 19...
  13. M

    JamiiForums Tanzania H Polepole: Serikali ni kama nyumba isiyo na mwenyewe

    Balozi msitaafu Humphrey Polepole amewaomba watanzania wasimuhukumu kwa kushindwa kutoa matokeo mazuri kwenye kazi yake ya Ubalozi wa Tanzania nchini Malawi na baadae nchini Cuba kwa sababu alikuwa hapati ushirikiano wa kutosha kutoka kwa watendaji wa Serikali ya Rais Samia kwani wengi...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia asipokuwa makini CCM itamfia

    Chama cha Mapinduzi kinaenda kufa rasmi mikononi mwa Rais Samia. Rais Samia hapendwi, simpendi, hatumpendi. Ni aibu kuona chama tawala kilichodumu miaka na miaka kwenda kumfia mgombea ambaye hata wanachama wenzake ndani ya chama hawakubali uongozi wake ila kakikundi ka watu wachache wenye...
  15. JamiiForums Tanzania Mimi Ponjoro wa Kinondoni October Sitamuunga mkono Samia Suluhu Hassan. Namwomba Apumzike kama Philip Mpango na Majaliwa Majaliwa

    Kwanza napenda kuwajulisha kuwa mimi nampenda sana mama yangu Rais Samia Suluhu Hassan hivyo maoni yangu hayahusiani na chuki bali mapenzi ya kweli kwake. 1. Sikuridhishwa na mkataba wa DP World, itoshe tu kusema ule ni UTAPELI na lazima kila aliyehusika awajibishwe ili kuwa fundisho kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Kulingana na Pole pole mtu ukishakuwa makamu wa raisi hutakiwi kuwania uraisi sasa inamaana samia anawania uraisi kwa katiba gani ?

    Kulingana na Pole pole mtu ukishakuwa makamu wa raisi hutakiwi kuwania uraisi sasa inamaana samia anawania uraisi kwa katiba gani ? Unajua huyu msajiri wa wa vyama vya siasa nae simuelewi sijui hili halioni ?
  17. JamiiForums Tanzania Hatuhitaji kufanya majaribio Rais Samia ameweza kuivusha salama Tanzania hatuna budi kumuamini muda mwingine tena

    Mtihani mzito wa Kulivusha Taifa baada ya tukio la kipekee kutokea nchini ya kifo cha Rais aliopo madarakani inatufanya tuwe na imani isiyo na shaka kwamba Rais Samia anao uwezo pasipo shaka kuisimamia nchi kwa awamu nyingine tena. Ikumbukwe kuwa hakuna Rais yoyote nchini aliwahi kupokea kijiti...
  18. JamiiForums Tanzania Tusimwonee Samia, Tusimbeze Polepole - Katiba ya nchi inasemaje? SAMIA HANA KOSA!

    Team! Jana nilifuatilia kwa karibu wasilisho la Balozi Polepole na usiku huu nimerudia kusikiliza hoja yake kuhusu Rais kutogombea kwa hoja inayojengwa juu ya utamaduni. Hizi ni fikra mbovu kiasi fulani. # Wapi ilikoandikwa ktk Katiba kuwa VP, PM, Speaker hawaruhusiwi kuwa Rais miongoni mwao...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Polepole: Utaratibu wa CCM ni kuwa, Samia alitakiwa kuishia 2025 na kukabidhi kwa mwingine

    Salaam! Kuna kitu Polepole anekiongea kizito ambacho tumekuwa tukikisema humu mara nyingi. Ameenda mbali na kudai, ikiwa tuna mashaka na akisemacho, tukamuulize Mzee Mangula! 1. Ni hivi, amesema Spika wa bunge, VP,Waziri Mkuu ni marufuku kupitishwa kuwa wagombea urais ,huo ni utaratibu ,miiko...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Leo hakuna gazeti hata moja lililoandika habari kubwa ya Polepole!

    Jana balozi Polepole alizungumza na vyombo vya habari vya ndani na kimataifa. Kati ya mengi aliyoyoyazungumzia, ni kupinga ukiukwaji wa katiba na taratibu za kumpata mgombea wa urais katika uchaguzi wa mwaka huukupitia chama chao. Kichekesho ni kwamba serikali imezuia media zote zesitangaze na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…