samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Mada ya mkuu Stuxnet kuhusu nyomi za Samia Suluhu Hassan

    Hiyo mada siioni tena hapa, pengine imeunganishwa na ile kuu ihusuyo Kampeni za CCM. Mimi nawaomba wahusika mada hii wasiiunganishe huko; kwa sababu ile mada ya mkuu Stuxnet ilihitaji mjadala makini sana kujuwa ni sababu zipi hasa zinawavuta waTanzania kwenye mikutano hiyo ya kampeni. Ingawa...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametetea ongezeko la deni la kitaifa nchini humo, akisema deni hilo ni endelevu,

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametetea ongezeko la deni la kitaifa nchini humo, akisema deni hilo ni endelevu, haya yakijiri baada ya benki ya kitaifa kusema deni la kitaifa limefikia dola bilioni 46.5 kufikia mwishoni mwa mwezi Juni, wakati pia ripoti ya hivi punde ya benki ya Tanzania...
  3. JamiiForums Tanzania SI KWELI Nyomi mikutano ya Samia Mbeya

    Ni wazi ukipita kwenye mitandao ya jamii hasa X, JF na FB unaweza kudhania Samia hapati hata kura 100. Lakini maisha kwa ground ni tofauti kabisa. Ni wakati sasa Mange Kimambi na Polepole wajitathmini. Watanzania hawadanganyiki, kazi ya Samia wanaiona. Njooni mniue
  4. P

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya miradi iliyotekelezwa na Dr. Samia mkoani Mbeya

    Sekta ya Barabara Mkoani Mbeya, ujenzi wa barabara hii ya lami unatarajiwa kurahisisha usafiri wa bidhaa na abiria, na kuchochea uchumi wa maeneo hayo. Ukarabati wa Barabara za Mijini Mbeya, Mji wa Mbeya umenufaika na ukarabati wa barabara za ndani, ambazo zimetengenezwa kwa kiwango cha lami...
  5. JamiiForums Tanzania Kati ya Profesa Kabudi na Daktari Samia nani msomi?

    Profesa Kabudi anasiika kwa kusifia marais. Alianza na Magufuli. Alipokufa amehamia kwa Samia. Ajabu Samia hamsifii kama alivyowahi kufanya Magufuli. Je kati ya wawili nani msomibkuliko mwenzake?
  6. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia akiapishwa Urais aongoze nchi bila kuwabembeleza Watanzania wala kuwapa Uhuru Uliopitiliza

    Ndugu zangu Watanzania, Sisi watanzania ni watu wa ajabu sana ,ni watu wa kushangaza sana ,ni watu ambao tupo tofauti sana na watu wengine. Watanzania ni watu ambao ukiwapa uhuru wa jambo fulani unakuwa umeharibu kabisa. Kwa sababu watatumia uhuru huo na kukuchukulia wewe uliyewapa uhuru huo...
  7. JamiiForums Tanzania Japo kwenye uchaguzi ujao CCM inapambana na CCM B, itakuwaje kama Samia atabwagwa?

    Japo hii ni hypothesis, mambo hubadilika na visivyotegemewa hutokea. Hivi itakuwaje kama Samia atabwagwa na vibaraka wake aliowaweka ili kuhalallsha uchafuzi wa demokrasia uitwao uchaguzi?
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Prof. Kabudi: Samia ametimiza aliyoshindwa Mwalimu Nyerere

    "Dkt. Samia Suluhu Hassan ametimiza mambo makubwa ambayo Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere aliyatamani lakini hakuweza kuyafanya." - Profesa Palamagamba Kabudi kwenye kampeni za CCM mkoani Mbeya.
  9. P

    JamiiForums Tanzania MBEYA WAKO NA DKT SAMIA SULUHU HASSAN

    Kasumulu Mbeya Hiki ni Kituo cha Pamoja cha Forodha katika mpaka wa Tanzania na Malawi. Ujenzi wake ni utekelezaji wa Sera ya Diplomasia ya Uchumi ambapo kitakuza mwingiliano wa watu na biashara kati ya nchi zetu mbili kudumisha Ushirikiano. #Kurayakwanzakwasamia#haijapatakutokea
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: Serikali itaajiri wahudumu wa afya 5000 ndani ya siku 100

    Dkt. Samia Suluhu Hassan mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amesema Serikali itaajiri wahudumu wa afya 5000 ndani ya siku 100 ili kuboresha utoaji wa huduma za afya nchini. Dkt. Samia amesema hayo wakati wa uzinduzi wa kampeni za uchaguzi za CCM kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29...
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: CCM inajali utu wa watu

    Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu amesema Watanzania wanapaswa kukichagua chama hicho kwakuwa kinajali utu wa wananchi. Soma pia: Kazi na utu, elewa maana ya “utu” tanzagiza!
  12. JamiiForums Tanzania Wafahamu Watawala Wasio Rasmi "Oligarchs" walioshutumiwa kipindi cha kikwete, Wakazimwa na Magufuli, Wamerudi kwa Samia.

    Katika siasa na uchumi wa mataifa mengi, kuna kundi dogo la watu wenye utajiri mkubwa na ushawishi wa kisiasa ambao mara nyingi huitwa king makers (wazalishaji wa watawala) na wakati mwingine king dethroners (waangushaji wa watawala). Hawa watu huendesha siasa kwa kivuli, bila kuonekana moja kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Fasheni ni kila ovu kulinasibisha na abduli mtoto wa samia

    Ndio fasheni sasa,kila baya kusema kalifanya abduli.Kuna watu wala hawamjui lakini watakuambia kuwa kapita hapa abduli na kabaka ng'ombe Acheni hizo fanyeni kazi,mtakufa na kihoro
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Mbona Rais Samia anahutubia wafuasi wake akiwa anahema sana, yuko sawa kiafya kweli?

    Kwa tunaofuatilia kampeni za mgombea wa ccm,kuna kitu nadhani wengi wetu tutakua tushakiona. Mama Samia akiwa ananadi sera zake anaongea akiwa anahema sana.sina uhakika kama ndio ongea yake iko hivyo. Naomba wahusika wampumzishe kidogo.
  15. JamiiForums Tanzania Rose Mayemba: Rais Samia, umemfunga Lissu na kuzuia CHADEMA, umepoteza ushawishi

    Mjumbe Kamati Kuu ya CHADEMA Taifa, Rose Mayemba amemjibu Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu baada ya kusema kwenye kampeni zake kuwa CHADEMA wameweka mpira kwapani, yaani wamekimbia uchaguzi unaotarajiwa kufanyika...
  16. JamiiForums Tanzania Huyu MwanaCCM kama hampendi Samia angesema tu. Ni Nini hiki amechora?

    Wakuu, Huyu angekuwa hataki kuchora picha angeacha hata Haiwezekani amchore hivi Rais wetu ambaye ameleta maendeleo kwenye nchi hii kwa kiwango cha kushangaza Sijapenda na nimeumia sana. Huyu hajui kama Rais wetu kajenga SGR, kamaliza bwawa la Nyerere, katiangaza Tanzania kupitia Royal Tour...
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Tanzania namba 2 kwa uzalishaji wa mazao Afrika 2025, yazilisha Tani milioni 10 za mahindi

    Mgombea Urais kwa Tiketi ya CCM, akiwa Vwawa, Songwe, Sept 3, 2025 ameisifa Tanzania kuwa kinara wa Uzalishaji mahindi. Ndani ya nchi watanzania wanazalisha zaidi mahindi ikifuatiwa na mpunga. Wataalamu wa kilimo wanasema 60% ya mazao ya Afrika ni ngano, mahindi na mpunga, hata hivyo wanashauri...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Tangu hawa watatu waondoke, Rais Samia kapwaya sana

    Tatizo la kuondoa vipaji na kuweka machawa ndiyo kunaonyesha mapungufu ya Raisi. Yule Raisi wa 2021-2022 sio huyu
  19. J

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia, hii ahadi ya kuondoa tatizo la umeme mpaka lini?

    Moja kati ya mambo yanayokera katika nchi hii ni changamoto ya kukatika kwa umeme. Nakumbuka nikiwa kule kusini mwaka jana, nikiwa kwenye hotel Moja, umeme ukikatika ghafla. Pembe yangu kulikuwa na wazungu wanne wakipata vinywaji. Mara umeme ulipokatika walisikika wakisema, " welcome to...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 David Silinde: Samia ukipata kura chini ya 95% unipige bakora mbili

    Wakuu, Uchawa unaendelea Silinde akiwa Tunduma leo katika kampeni pamoja na Rais Samia amesema kuwa endapo Samia hatopata ushindi wa asilimia 95, basi yupo tayari kuchapwa fimbo mbili na Samia mwenyewe. Huyu si ajabu ni baba na ana familia yake.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…