samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Watu wengine huko wanalalamika kwanini Watanzania Mnajaza Viwanja vya CCM

    Mgombea Urais Jamuhuri ya Muungano wa Tanzannia Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan akiendelea kunadi sera kwa wananchi wa Iramba Mkoani Tabora, amewashukuru kwa muitikio wao Mkubwa katika Kampeni hizo " Wananchi wa Mkoa wa Singida, kila Wilaya nilipoingia wananchi ni...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Wananchi: "Tutaacha yote, Tutakesha kumsubiri kipenzi chetu Samia

    "Tutaacha yote, Tutakesha kumsubiri kipenzi chetu Samia Suluhu Hassan utumishi wake umeyagusa maisha yetu kwa namna ya kipekee kwa hakika OktobaTunatiki" sauti hizi za makundi mbalimbali zinazisikika Singida.
  3. JamiiForums Tanzania Kumfunga, kumzushia, kumshitaki na kuzuia Lissu asigombee Samia anaogopa kilichowapata hawa?

    Joyce Banda (Malawi) kama Samia, aliangukia urais baada ya kufa rais naye akiwa makamu wake akatawazwa. Banda aligombea urais na kubwagwa na Profesa Peter Mutharika mdogo wake marehemu Bingu wa Mutharika mwaka 2014. Nchi ya jirani ya Zambia, Banda mwingine, yaani makamu wa rais Rupia Banda...
  4. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Mkituchagua kila mtu Tanzania atakuwa na umeme

    "Vijiji vyote vya Wilaya hii 101 vina umeme na tunaendelea na kazi ya kuunganisha Vitongoji. Mbele tunakokwenda mkitupa ridhaa tunakwenda kumaliza kazi yote Tanzania nzima kila mtu awe na umeme…kwa upande wa elimu, mbali na yaliyofanyika tutaendelea na sera yetu ya elimu bila malipo pamoja na...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Msipopiga kura ahadi tunazotoa zitakuwa bure

    Wito wangu kwa viongozi wa maeneo mbalimbali, na hasa viongozi wa matawi na mashina, kuhakikisha kila mtu kwenye eneo lake ametoka kwenda kupiga kura. Tukifanya hivyo, tutasema ahadi tunazozitoa zote zitafanya kazi. Tukilala majumbani, wengine wakatoa watu wao kwenda kupiga kura, ahadi zetu...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Wasira aliyetumikia toka enzi za Mwl. Nyerere Hadi Samia anamshangaa Mpina wa miaka 20

    Hii ni maajabu. Wakati Mzee wasira anayasema haya kwamba anamshangaa Mpina kulalamika kukatwa wakati ametumikia Jimbo la kisesa kwa miaka 20 hivyo muda ulifika aachie wengine. Na Cha kushangaza waliokuwepo kwenye huo mkutano walipiga makofi. Niliwashangaa ni vipi walishindwa kujiuliza kwamba...
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Samia aahidi ujenzi wa mabweni shule za sekondari Bahi

    Akiwa wilayani Bahi mkoani Dodoma leo Jumanne Septemba 09, 2025 kwenye muendelezo wa kampeni zake kuelekea uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan amesisitiza kuwa wanafikiria kujenga mabweni kwa shule za Sekondari...
  8. JamiiForums Tanzania Walisema Musa tuvushe walivyo fika jangwani wakasema tungebaki kwa farao , ni zamu ya Rais Samia

    Zamani za kale za Bibilia wana wa Israel walimwambia Musa awavushe bahari ya Shamu watokane na mateso ya farao walipovuka wakakutana na jangwa waka zingua wakisema bora wangekufa mikononi mwa Pharao wanadamu hawana jema . Lisu alikuwa ulaya kwenye kambi za wakimbizi baada ya kukoswa kifo na...
  9. JamiiForums Tanzania Video: Gari lapata ajali likiwa kwenye msafara wa kiongozi

    Kuna video moja a Ambulance ikiwa imezuiwa isiingilie msafara imetrend sana mtandaoni. Ile ambulance 🚑 kila mtu anasema lake, mwingine ina mgonjwa na mwingine haina mgonjwa. Ila mwishoni tukaona inaondoka kama imefukuzwa ma king'ora juu. Ni juzi tu hapo, wkt mgombea urais kwa tiketi ya ccm...
  10. JamiiForums Tanzania Proffesa Kabudi na siasa za maji ya kihaya, unamfananisha Samia na Nyerere, Hayati Magufuli na Mungu aise

    Ukinzisha biashara ya kuuza maji na kuyaita uhayani water utauza sana Najiuliza Proffesa Kabudi alirogwa na nani? Yaani anamfananisha Samia na Nyerere kama ulivyomfananisha Magu na Mungu na baadae Mungu kukuonesha hafananishwi akamtwaa.
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Ulega: Ni Samia pekee anayeweza kuleta Katiba mpya

    Waziri wa Ujenzi na mgombea ubunge wa Jimbo la Mkuranga kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdallah Ulega amesema kuwa Watanzania wanapaswa kumchagua Samia Suluhu Hassan kama kiongozi wao wa Taifa ili kufanikisha ndoto ya kupata Katiba mpya. Akizungumza leo Jumamosi Septemba 6, 2025...
  12. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: Siongozi Wanyonge, Naongoza Watanzania Naotaka Kuwajengea Tanzania Tunayoihitaji

    Ndugu zangu Watanzania, Hiyo ni Kauli nzito ,kauli ya Matumaini,kauli ya kijasiri ,kauli iliyoleta matumaini,furaha ,tabasamu kwa watanzania. Ni kauli ya kiuongozi yenye kuonyesha umadhubuti ,uimara na ushupavu wa kiuongozi wa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa...
  13. JamiiForums Tanzania Kufungiwa kwa JF ila utashangaa wale chawa nao wakaja wanatumia VPN kueleza mama kaachia uhuru

    Hii nchi kuna watu akili hawana hawa chiembe ChoiceVariable Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa usije shangaa baada ya mda wanakuja na nyuzi zao kusifu CCm. Kama mnabisha subiri mjionee na wao wanatumia VPN
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais kupitia CCM, Dkt. Samia akiwa katika Kampeni - Makambako Mkoani Njombe, Septemba 6, 2025

    https://www.youtube.com/live/ir1LWQnv3m0?si=YhzAuPVswyg_nq9Z Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiendelea na Kampeni ya Uchaguzi Makambako Mkoani Njombe leo tarehe 06 Septemba, 2025. Wananchi waliojitokeza...
  15. JamiiForums Tanzania Natafuta mganga wa kienyeji konki

    Poleni na majukumu ya kila siku, nimekuja na ID yangu hii sina haja ya kujificha. Moja kwa moja kwenye mada, nahitaji msaada kama kuna mtu anamjua mganga wa uhakika anifanyie kazi yangu, kuna waganga huwa nasikia wanatoa watu mabusha, wanatuma majini au kumpa mtu ugonjwa nahitaji mganga wa...
  16. JamiiForums Tanzania Miaka minne na nusu ya Utawala wa Rais, Samia Suluhu Hassan: Wilaya ya Mbogwe imepiga hatua gani?

    Leseni 41 za utafiti wa madini zimetolewa Leseni 548 za wachimbaji zimetolewa Leseni 147 za maeneo tengefu Vituo vya afya vimeongezeka mara mbili zaidi kutoka 14 wakati anaingia madarakani na kufikia 28 vilivyopo sasa. Ongezeko la wataalamu wa afya kutoka 181 kufikia 283 Ongezeko la Shule za...
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia aendelea kuthibitisha kwamba anawajali wakulima, atoa onyo kwa wawekezaji wa zao la chai Rungwe

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiwa wilayani Rungwe mkoani Mbeya, amesisitiza dhamira ya serikali yake kulinda maslahi ya wakulima kwa kuhakikisha rasilimali muhimu kama ardhi na mazao ya kimkakati yanabaki kwa manufaa ya wananchi. Akizungumzia uwekezaji katika...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Sio shida wala aibu kwa chama kuwasafirisha wanachama wake

    Akizungumza leo Septemba 5, 2025 mgombea urais kupitia CCM Samia Suluhu Hassan akiwa, Tukuyu (Rungwe) mkoani mbeya katika mwendelezo wa kampeni za chama hicho amesema ''Ni hakika lakini hatutoi kutoka Wilaya moja kwenda nyingine, tunatoa ndani ya Wilaya hiyo hiyo,,,siyo aibu kwa Chama...
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Chief Masoko: Tutumie mambo yetu yale Wajinga wanaombeza Rais Samia mtandaoni walaaniwe

    Chief Soja Masoko amewaagiza machifu wote nchini kutumie mambo yao yale kuhakikisha wale wote wanaombeza rais Samia walaaniwe
  20. K

    JamiiForums Tanzania Mada ya mkuu Stuxnet kuhusu nyomi za Samia Suluhu Hassan

    Hiyo mada siioni tena hapa, pengine imeunganishwa na ile kuu ihusuyo Kampeni za CCM. Mimi nawaomba wahusika mada hii wasiiunganishe huko; kwa sababu ile mada ya mkuu Stuxnet ilihitaji mjadala makini sana kujuwa ni sababu zipi hasa zinawavuta waTanzania kwenye mikutano hiyo ya kampeni. Ingawa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…