samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    RC Kanali Evans Mtambi: Chini ya Rais Samia Hati Miliki mpya 4,400, Hati za Kimila 7,400 zilitolewa na migogoro 840 ilitatuliwa kwa haki na uwazi

    == Chini ya Rais Samia, Serikali ya Awamu ya Sita imetoa mkopo wa shilingi bilioni 2.8 kwa Halmashauri mbalimbali kwa ajili ya kupanga, kupima na kumilikisha ardhi, hatua iliyosaidia kupunguza migogoro ya ardhi kutoka 964 mwaka 2020 hadi 125 mwaka 2025. Aidha, utoaji wa hati miliki umeongezeka...
  2. J

    RC TABORA: Mkoa umepokea kiasi cha TZS226bn kwa ajili ya barabara tayari kilometa mpya 100 za lami zimejenjwa ndani ya miaka minne ya Rais Samia

    Katika ripoti yake kwa waandishi wa habari Mkuu wa Mkoa wa Tabora amesema yafuatayo namnukuu Katika kipindi cha 2021|25 Serikali ya Rais Samia imetumia TZS225.993bn kwa mchanganuo ufuatao TANROADS TZS124.277bilioni, TARURA TZS101.716bilioni kuimarisha mtandao wa barabara wa kilometa 10,592...
  3. J

    RC Paul Matiko: Uzalishaji wa Maziwa Mkoa wa Tabora umeongezeka kwa 200%

    Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe Paul Matiko Chacha anasema Chini ya Rais Samia sekta ya Mifugo Mkoa wa Tabora imeimarika kupitia ujenzi wa majosho 16 mapya na kufikisha jumla ya 95 yenye uwezo wa kuhudumia ng’ombe 889,183. Ananendelea kwa kusema Serikali pia imetoa pikipiki 44 kwa maafisa mifugo...
  4. J

    Uzalishaji wa Tumbaku umeongezeka mara mbili kwa kipindi cha miaka minne

    Akiongea na waandishi wa Habari Mkuu wa Mkoa wa Tabora anasema Serikali ya Awamu ya Sita imetoa TZS 52.8 bilioni kwa ruzuku ya mbolea, mbegu na miradi ya umwagiliaji ili kuongeza tija na usalama wa chakula. Skimu za umwagiliaji nazo zimeongezeka kutoka 25 mwaka 2020 hadi 46 mwaka 2025 na eneo...
  5. J

    TISS na wasaidizi wengine wa Rais Samia, chukueni hili

    Rais anao wasaidizi waliosomea fani za Idara au Kitengo husika. Katika kipindi hiki kuelekea Uchaguzi Mkuu japo Kampeni hazijaanza rasmi kwa ratiba ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi, lakini ukweli ni kwamba tupo busy na Kampeni. Ukizunguka huku na kule utaona mapikipiki, khanga, baiskeli nk. Hivi...
  6. J

    Wazazi pelekeni watoto shule wasome

    Katika hotuba yake kwa wanahabari anasema Chini ya uongozi wa Rais Samia utoaji wa huduma za elimu mkoani umeimarika kwa kiasi kikubwa kupitia ujenzi na ukarabati wa miundombinu pamoja na ongezeko la walimu. Serikali imetoa jumla ya TZS 146.69 bilioni kuanzia mwaka 2021 hadi mwaka 2025 kwa...
  7. Tazama matukio muhimu aliyoyafanya Rais Samia Suluhu 04 - 10 Agosti 2025

    #IkuluWikiHii Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika wiki hii. 📆 Tarehe 04 - 10 Agosti, 2025
  8. L

    WanaSongwe watembea na kusafiri kumdhamini Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Wana songwe kutoka wilaya mbalimbali na maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Songwe wapo wanasafiri na kuapa kukesha wana safiri kwa ajili ya kuwahi asubuhi na Mapema katika Ofisi za CCM Mkoa wa Songwe. Kwa Lengo la kumdhamini Mwenyekiti wetu wa CCM Taifa na Mgombea Urais wetu...
  9. Nitaichangia CCM $40k kama Samia atapata kura za ukweli 3m

    Jana Samia kachukua fomu, ukiangalia tukio Zima, mchukua fomu na Mgombea mwenza walikuwa wabaridi mno. Uchaguzi wa mwaka huu umepoa aswaa, hauna hamasa ata kidogo. Wananchi hawataki kabisa kumsikia Mgombea wa CCM. Matukio ya utekaji, mauaji, ubakaji,kubambikizia wapinzani kesi za uongo ndo...
  10. K

    GE2025 Oktoba tiki kwa samia ili kujenga tanzania bora

    Siku ya Jana tarehe 09.08.2025 ilikuwa ni mwanzo mpya wa mabadiliko makubwa yaliyo mbeleni kwa Taifa baada ya mgombea bora wa urais kwa tiketi ya CCM Dkt. Samia Suluhu kuchukua fomu ya uteuzi. Kilichofanya ubora wa mgombea huyu ni vipaumbele vyake vilivyobeba matarajio makubwa ya wapigakura na...
  11. Rais Samia Msibani kwa Ndugai

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waombolezaji kabla ya kuaga mwili wa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Job Yustino Ndugai katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma tarehe 10 Agosti, 2025.
  12. K

    Chuki za Polepole kwa Samia kuwa rais zilianza zamani baada ya Magufuli kufariki

    Chuki ya Pole pole na genge lake inadhihirika zaidi leo hii kwa kuwa hakuna jinsi. Lakini niwakumbushe tu kulikuwa na mvutano kuhusu kuapishwa kwa Samia aliyekuwa Makamo wa Raisi kuwa Raisi baada ya kifo cha Raisi Magufuli. Cha kushangaza huyu anayejitambulisha kuwa ni mtetezi wa Katiba hakuwa...
  13. Rais Samia aongoza waombolezaji kuaga mwili wa spika mstaafu wa bunge hayati Job Ndugai

    Wakuu, https://www.youtube.com/live/909l2HQbu64?si=zVs8a4iuk4a2mUUM
  14. Kulikoni Mbona rais Samia, ameanza kujitenga Kimataifa?

    Hali si nzuri Kwa mama Samia, Alipoingia madarakani Samia alikuja na kauli ya kuifungua nchi, alijaribu kurejesha taswira ya Tanzania kwenye mstari. Alisafiri nchi za ulaya kama zote na Marekani. Alikalibishwa ikulu ya white house na kupokelewa na Kamala. Vice president Kalama alimtembelea...
  15. K

    GE2025 Maelfu ya generation Samia wamhakikishia Samia kimbunga cha ushindi

    MAELFU YA GENERATION SAMIA WAMHAKIKISHIA SAMIA KIMBUNGA CHA USHINDI Mandhari ya Dodoma leo yamewaka moto wa shangwe na hamasa baada ya maelfu ya vijana wa Generation Samia kujitokeza kumsindikiza Rais Samia Suluhu Hassan kuchukua fomu ya kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa...
  16. GE2025 Kwa maandalizi ambayo Mama Samia amefanya kwa ajili ya huu Uchaguzi Polepole na agenda zake anahitaji muujiza

    Kuna kitu kinaitwa point of no return it is either you win or loose in the battle field. Live or die hard Mama Samia amesha invest sana kwa ajili ya kampeni za mwaka huu. Asipogombea kwa mfano nani atamfidia gharama zake? It's obvious hawezi kukubali hasara kubwa namna hii. Leo katika kuchukua...
  17. GE2025 Kishindo cha DR. Samia Urais 2025

    Kama kuna mtu anamashaka, basi Samia anamuhakikishia yeye ndiye Rais wa JMT. https://vm.tiktok.com/ZMA1uXWfh/
  18. Sioni Rais Samia akiongoza miaka 5 ijayo.

    Atashindwa vibaya mno kwenye uchaguzi, ndiyo kwenye uchaguzi. Rais ajaye katulia tu.
  19. GE2025 Rais Samia apewa Mbuzi wa Supu na Madereva Bodaboda na Bajaji baada ya kuchukua Fomu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye ni mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi amepewa Mbuzi kwa ajili ya supu atakayotumia baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea urais. Mbuzi hiyo iliyotolewa na Madereva Pikipiki za miguu mitatu (bajaji)na miwili...
  20. GE2025 Rais Samia: CCM tuko tayari kudemka kadri Ngoma itakavyopigwa

    Rais Samia amesema Mbio za kuelekea Oktoba zimeanza rasmi, CCM tuko tayari kudemka kadri Ngoma itakavyopigwa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…