samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. GE2025 Yaani Uchaguzi wa mwaka huu hata wadhamini wa wagombea hawatafutwi? Mbona Samia sijaona popote akitafuta wadhamini

    Hili ni swali kwa wajuvi wa sheria je takwa hili la wagombea kuhakikisha kwamba wana wazunguka na kupata wadhamini kwa nafasi za urais kutoka mikoa yote ya Tanzania bara na visiwani halipo tena? Au wadhamini wanaweza kupigiwa simu na kusaini kwa mfumo wa kidijitali?
  2. Rais Samia alivyowaapisha Viongozi wateule, Ikulu Chamwino, Dodoma, leo Agosti 26, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=b3GTpUdBkQs Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma, tarehe 26 Agosti, 2025. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  3. Picha rasmi ya kampeni ya Mama Samia hii hapa, lakini kwa nini mtu wa makeup umuwekee miwanja mingi hivi?

    Makeup imezidi mpaka mama amepoteza uhalisia wake. Siyo sahihi kwa mgombea Urais kujibandika ma makeup mengi hivi mpaka apoteze uhalisia.
  4. K

    Khamis Mgeja ashauri hukumu ya Malisa aliyofungua kupinga Rais Samia kugombea iwe fundisho kwa CCM

    SIKU chache baada ya Mahakama Kuu Masjala Kuu Dodoma kuifuta kesi ya Kikatiba ya Kupinga uteuzi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan kugombea urais Oktoba 29 2025, mmoja wa makada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ameibuka na kutaka kesi hiyo iwe fundisho kwa wana CCM wengine. Kada huyo wa CCM, Khamis Mgeja...
  5. J

    GE2025 Kurudisha fomu kwa Samia bado kitendawili

    Kwa muda sasa Watanzania wameshuhudia wagombea mbalimbali wakichukua na hata kurudisha fomu zao za kugombea urais kupitia vyama vyao. Lakini jambo la kushangaza ni ukimya mzito ndani ya CCM kuhusu lini Mwenyekiti wao na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, atarudisha...
  6. GE2025 Picha rasmi ya Kampeni: Mgombea urais wa CCM Dkt. Samia na mgombea mwenza Dkt. Nchimbi

    Kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao wa Oktoba 29, Hii ndio picha rasmi ya Mgombea Urais Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan. Picha ya pili ni Mgombea mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi
  7. Kweli Samia kajitahidi sana

    Jana kuna mahali kijiji kidogo cha ruvuma watu wanadai wameunganishiwa maji tokea uhuru hawakuwahi kuwa na maji wanachota kwenye vidimbwi. Nawamedai tokea wapate uhuru hawakuwa na vitu muhimu kama maji,umeme,hospitali , Sasa kama kweli maji yamewafikia na umeme na hospitali , tokea enzi za...
  8. P

    Dkt.samia Samia Suluhu, Tanzania Nishati safi vijiji

    Mafanikio Makubwa ya serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dr. Samia Suluhu Hassan katika mageuzi bora ya nishati safi ya kupikia kwa wananchi kuanzia mwaka 2021 hadi 2025: Mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita (2021-2025) katika Sekta ya Nishati Safi ya Kupikia Chini ya Rais Dr Samia suluhu...
  9. GE2025 2020 wajumbe wa CCM hawakuheshimiwa kwa maamuzi yao wakakaa kimya. Leo Samia ameiga ya 2020 kwanini imekuwa nongwa?

    Ndio maana Mimi kila siku nasema kuwa Watanzania wana mtindio wa ubongo. Mtu mwenye mtindio wa ubongo akili yake haiko straight. Mtu mwenye mtindio wa ubongo hapaswi kuaminika, anasahau hovyo. Brother wangu 2015 kwenye kura za maoni CCM kwa ngazi ya udiwani alikuwa nafasi ya tatu lakini kwa...
  10. Ikiwa kaka yake John Heche wa damu ni Mwanasheria anayefanya kazi na Rais Samia Suluhu Hassan , je mnafikiri kipi kinaendelea!?

    Watanzania mnatumika na mtaendelea kutumika Sana. Hawa wote sijui Heche , Sijui Lissu, Sijui Polepole , sijui Ccm . Ni kupoteza Muda . John Heche Kaka yake wa Damu ni Mwanasheria ambaye yupo Ikulu , hiyo Pekee inaonesha wazi kuwa hawa watu hawapo kwa ajili yenu.
  11. F

    Mererani wamejazwa polisi wa kutoka Zanzibar, wengi wanaochimba Tanzanite wanatoka ZNZ. Madini hayawanufaishi watu wa Manyara. Samia atamaliza madini.

    Sasa hivi tumeona wimbi la wachimbaji wadogo na wa kati kutoka Zanzibar, siyo wachimbaji tu, hata polisi waliopo sasa hivi hapo Mererani ni wazanzibari, Samia na familia yake wanahusika kwa kiasi kikubwa na uchimbaji wa Tanzanite hapo Mererani, siyo hapo tu, hata huko kwingine kwenye migodi...
  12. Polepole anazungumza usiku huu Rais Samia asigombee anatakiwa apumzike

    Ndugu Humphrey Polepole ameibuka usiku huu wa tarehe 24, agasti amefunguka wazi sababu za kwanini Rais Samia hatakiwi kugombea na kumtaka apumzike. Katika maelezo yake ameweka wazi namna ambavyo Rostam Azizi anazidi kujizolea utajiri mwingi kwa kutumia maliasili za nchi hasa migodi ambayo ya...
  13. Rais Samia anasemaje kuhusu mapandikizi ya uongozi kwa uwezeshaji wa watu wa Mtandao?

    Tumemsikia rais Samia akionya kuhusu mapandikizi ya uongozi kwa uwezeshaji wa watu wa nje. Kauli hii ni pana na kubwa mno katika diplomasia ya kisiasa. Rais Samia anajibu gani kuhusu mapandikizi ya uongozi kwa uwezeshaji wa Wanamtandao? Tunawaona Tunawajua Hawajifichi. Atupe majibu maana...
  14. U

    Rais Samia: Kuna migogoro mingi misikitini, Maimamu wanagongana kwa sababu ya sadaka, vifurushi vinavyoletwa, vijinyama vinavyotoka Makkah

    “Kwenye stahiki za Maimamu mioyo huwa inatuharibika kidogo kuna migogoro mingi misikitini Maimamu wanagongana ukiangalia ni nini ni sadaka, vifurushi vinavyoletwa, vijinyama vinavyotoka Makkah vile vilivyochinjwa yaani ni ugomvi" "Hatuna amani za mioyo yetu, kwahiyo wanasema mkubwa humwambia...
  15. U

    Shehe Kundecha aishukuru serikali kuruhusu masomo ya dini shuleni itasaidia walimu bora wanaoweza kufundisha lugha ya kiarabuni

    “Katika eneo la elimu kumekuwa na utata mkubwa wa uelewa nchi yetu imekuwa ikihangaishwa sana na tatizo la maadili lakini iko nyuma sana kwenye mafunzo ya dini, tulikuwa tunasema sasa nchi yetu inataka maadili gani ambayo hayatokani na dini?" "Lakini kupitia uongozi wako (Rais Samia Suluhu)...
  16. Njoo na hoja nani unaona anamzidi Rais Samia

    Habari Wakuu. Kwasasa kumekuwa na malalamiko mengi sana kuhusu nani/namna/hali/uelekeo wa nchi yetu ya Tanzania. Mimi Fact Only nauliza kwa uzuri kabisa ni nani Watanzania mnaamini/mnaona akipewa nchi hii anaweza kuiongoza vyema kumzidi Mh Rais Samia. Sio kwa majaribio bali kuiongoza nchi hii...
  17. Maskini Dk. Ummy Mwalim amemkosea nini Samia

    Alianza kumuondoa katika Baraza la mawaziri. Licha ya kushika nafasi ya kwaza katika kura za wajumbe pale Tanga mjini jina lake limekatwa huku Halmashauri Kuu ya CCM NEC
  18. Rais Samia akishiriki Kongamano la Amani, leo Agosti 24, 2025

    https://www.youtube.com/live/YJTPFaK3cVM?si=iZMZR7wQq3I2HsEA
  19. Uwanja wa Samia Arusha

    https://vm.tiktok.com/ZMAFMLYqh/
  20. B

    Hatimaye Mange Kimambi afurahishwa hadharani na uamuzi wa Samia Kumuengua Ummy Mwalimu mbio za Ubunge Tanga

    Mange Kimambi aelezea jinsi alive furahishwa na uamuzi wa Samia kumuengua Ummy Mwalimu mbio za Ubunge jijini Tanga. My take : Msishangae Mange akabadilisha gia angani akaikacha " Timu" Yake ya sasa hivi, akahamia Timu Samia.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…