samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. GE2025 MKOLONI HANA RANGI Episode 2: Miaka 4 Ya Samia vs Miaka 4 Ya Richard Turnbull

    RICHARD TURNBULL UWEKEZAJI KWENYE MATUMIZI YA AKILI UINUAJI WA HAKI NA SIASA ZA KUJITEGEMEA KUHAKIKISHA RASILIMALI ZINANUFAISHA NCHI PIA KUIMALISHA MFUMO BORA WA ELIMU NA AFYA KUIMALISHA NA UTUNZAJI MZURI WA RELI WA BARABARA BANDARI YA TANGA NA DAR ES SALAAM ZILIBORESHWA ZAIDI KWA KUJALI UKUAJI...
  2. Ndoto za chizi natamani yafuatayo baada ya Samia kutawazwa

    Natamani yafuatayo Mohamed Nchegerwa aka mkwe awe waziri mkuu, Ridhiwan Kikwete awe naibu waziri mkuu Wanu Hafidh awe waziri wa mambo ya nchi za nje Salma Kikwete awe waziri wa ulinzi Kunje ngombale-mwilu awe waziri wa kilimo Ongeza wako. Nafikiri kimya kimya na kichokonozi japo mazwazwa...
  3. GE2025 Wanu: Hakuna sababu ya kumnyima kura Samia na Mwinyi tunasema "paka wanyumbani hafukuzwi"

    Mtoto wa Rais Samia bibie Wanu naye amuombea kura mama yake pamoja na Dkt Mwinyi huku akitanguliza na msemo ukisema "paka wanyumbani afukuzwi" Mama yake naye akauunga mkono kwa asilimia zote
  4. GE2025 Wasira: Dkt. Samia anachaguliwa kutokana na uwezo wa kazi

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema uamuzi wa kumchagua Mgombea Urais wa CCM, Dk. Samia Suluhu Hassan awanie kiti hicho siyo kumpa zawadi bali ni kutokana na uwezo aliouonesha kuiongoza nchi kwa mafanikio katika kipindi cha miaka minne na nusu. Amesema...
  5. M

    GE2025 Kwa kuifungia JF, Urais wa Samia kukosa fursa muhimu ya kuhifadhiwa katika kumbukumbu za kisiasa nchini

    Laiti serikali ingejua umuhimu wa Taarifa zilizomo JF, bila shaka ingewapa nishani ya juu kabisa vijana walioanzisha mtandao huu. Jamiiforums, Imeudocument vizuri utawala karibia wote wa Jakaya Kikwete, Imeudocoment vizuri utawala wote wa John Pombe Magufuli. Hii maana yake ni kwamba Taarifa...
  6. GE2025 Inakuwaje kati ya wagombea wote wa urais ni mabango ya Samia tu ndiyo yametapakaa mitaani?

    KUlikuwa na haja gani ya kuwa na huu uchaguzi ikiwa ni maigizo matupu. Nimezunguka Dar yote sijaona picha wala bango la mgombea mwingine yeyote wa Uraisi mbali ya Samia. Ikija kwa wabunge na madiwani ni wa CCM tu ndio wametanda. Kwa picha chache za upinzani zilizopo ni vikaratasi vya A4...
  7. GE2025 Baba Levo awaapisha watu kwa Mungu kumchagua Samia

    Mgombea ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (#CCM) Clayton Revocatus Chipando maarufu kama Baba Levo awaapisha wananchi wa Kigoma mjini kumchagua Samia mgombea urais kupitia Chama hicho
  8. Wakili Mwabukusi akataa kuvuruga amani ya nchi, asema Rais hafokewi

    Rais wa Chama cha wanasheria Nchini (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi amesema hayupo tayari kuwa mmoja wa watanzania watakaohamasisha vurugu au kulazimisha wananchi kutojitokezakupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa Rais,Wabunge na Madiwani kwani yeye hawezi kutumika wakati Maisha yake na familia...
  9. P

    Ili kuongeza fursa za kusoma Post Graduate, Je wagombea urais mtairudisha AIMS?

    Ili kuboresha elimu Africa washirika mbalimbali wanatoa hela zao kufadhili masomo ya wanafunzi wa post graduate wa hesabu kwa taasisi inayojulikana kama African Institute of Mathematical Sciences (AIMS). Chuo hiki kiko nchi mbalimbali kikichukua wanafunzi wa hesabu na engineering na kuwasomesha...
  10. Ukimsikiliza Samia hizi sehemu mbili tofauti utagundua kuna Shida. Ni Aibu

    Huwa anapiga vijembe halafu kichwa chake hakina kumbukumbu. Ni kama sometimes.... Unaelewa eeeeh? Basi ndo hivyo sometimes unamwona anaongea na kujipinga mwenyewe ni kama haiielewi.
  11. GE2025 Baada ya Uchaguzi Samia Suluhu anataka kuridhiana na nani?

    Tanzania Kuna vituko hatari. Samia na Nchimbi walisikika wakisema ndani ya siku 100 baada ya kuchaguliwa wataunda tume ya upatanishi na maridhiano. Ninavyoelewa maridhiano ufanyika kipindi ambacho pande zote mbili zimeumia. Sasa Samia na CCM wameumia Nini Hadi watangaze maridhiano? Na je...
  12. GE2025 Deo Sanga: Miradi aliyokamilisha Samia imemchanganya Polepole

    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Makambako, Mkoa wa Njombe, Deo Sanga maarufu kama Jah People, amemtupia lawama aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, akisema kauli zake za kuipinga serikali na Chama Cha Mapinduzi (CCM) zinachochewa na mabadiliko ya mazingira ya kisiasa...
  13. GE2025 Mzee Mbembe: Rais Samia alitupeleka Korea kujifunza, Oktoba tuka Tiki tu!

    Mwigizaji maarufu kama Mzee Mbembe amesema, Serikali ya Awamu ya Sita ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, imewafanyia makubwa wasanii nchini ikiwemo kuwapa fursa ya kusafiri nchini Korea Kusini kujifunza zaidi kuhusu teknolojia mpya za uandaaji filamu na tamthilia pia kuhusu masoko na mbinu mpya...
  14. GE2025 A Cordial Letter to Cardinal Protase Rugambwa enroute to President Samia of Tanzania: An Argument for Reconciliations before 2025 General Elections

    1. INTRODUCTION DEAR CARDINAL RUGAMBWA, twice, in the social media, first on 27 August 2025, and then on 12 September 2025, you appeared in several common photographs, with President Samia Suluhu Hassan, who is also, the Presidential candidate for CCM in the ongoing 2025 general elections in...
  15. GE2025 Samia: Nitajenga barabara ya mzunguko Tabora

    Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dkt Samia Suluhu Hassan, amewaambia wananchi wa Tabora kuwa atajenga barabara ya mzunguko yenye urefu wa kilomita 82 ili kupunguza msongamano mkoani humo. Ameeleza hayo, leo Ijumaa Septemba 12,2025 wakati akihitimisha kampeni zake za mkoa wa Tabora...
  16. GE2025 Samia: Aahidi kuweka taa za barabarani 2300 Tabora kufanikisha vijana kufanya biashara masaa 24

    "Ndani ya Mkoa wa Tabora, tunakwenda kujenga madaraja 133, katika barabara ambazo tumeziweka kwenye ilani [...] Lakini pia, tunakwenda kuweka taa za barabarani 2,300." - Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Rais Samia Suluhu kwenye mkutano wa kampeni Tabora Mjini
  17. GE2025 Samia: Tunataka maendeleo yaletwe na watu wenyewe

    "Maendeleo tunayoyataka ni maendeleo ya watu, yaletwe na watu wenyewe, yaendelezwe na watu wenyewe, yawafuate watu kule walipo. Hii ndiyo maana halisi ya uchumi jumuishi." - Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Rais Samia Suluhu kwenye mkutano wa kampeni Tabora Mjini
  18. GE2025 Samia Suluhu afanya mazungumzo na viongozi wa Kanisa Katoliki mkoa wa Tabora

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Tabora Kardinali Protase Rugambwa pamoja na Baba Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo hilo Mhashamu Baba Askofu Paul Ruzoka, Ikulu Ndogo ya Tabora tarehe 12 Septemba, 2025...
  19. GE2025 Mgombea Ubunge Tabora agalagala kumwombea kura Samia

    Kuna mgombea wa Viti maalum kutoka mkoa wa Tabora anayeitwa Christina Mndeme, katika hatua ya kumwombea kura Samia Suluhu, ametupa burudani kwa kupiga magoti na kugalagala chini.
  20. GE2025 Rais Samia atakuwa Butiama, Septemba 14, 2025

    Nimefika hapa jana nimeona uwanja unatayarishwa kwa shughuli fulani. Nimeuliza kuna nini hapa leo.? Nimeambiwa hapa Leo tunasheherekea Mara Day. Lakini uwanja ni maridadi sana. Nikaambiwa labda neye atafika. Basi naona hawana habari. Lakini nimeambiwa hapa katika mjengo kwamba Rais atafika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…