samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mtu mmoja amwambie Samia, Kabla ya hoja ya Udini. Achokonoe Muungano. Vinginevyo anapoteza muda

    Weakest point ya Tanzania ni Muungano, na sio dini, Udini unaweza kuja tukiwa nje ya Muungano. Samia anapoteza hela na muda wake kuchochea mgogoro wa Dini ndani ya Muungano. Kama amekusudia kweli kuleta chokochoko za Dini aanze na chokochoko za Muungano, Wahafidhina wa Zanzibar wapite naye...
  2. H

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia hana kosa lolote makosa yako kwenye wingi wa wasaidizi wabovu anaowakumbatia

    Habarini,ni wazi uongozi au jeshi bora siku zote hutikana na watu wake wa chini kuwa bora kwa uadirifu katika nidhamu,hekima,ukweli na uwajibikaji. Wasaidizi wengi wa Rais ni mamburura wa kutupa wanaomuingiza chaka Rais kwa kumpa taarifa za uongo na utendaji kazi wao mbovu. MaRC, maDc, maDas...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini tusiache na kukoma kutumia picha ya Rais Samia ?

    Wanabodi, Usinichoshe, nisikuchoshe tusichoshane. Kuna utaratibu wa kutumia picha za Raisi katika ofisi za umma, taasisi,maeneo ya biashara n.k Kwa mambo maovu na machafu yaliyotokea katika kipindi cha utawala wa Rais Samia kuanzia kushamiri kwa rushwa, mauaji, utekaji, ufisadi na zaidi...
  4. JamiiForums Tanzania Samia katangaza kutawala kwa upanga, karipio kwaa TEC maana yake uhai wa Watanzania hauna maana kwake

    GT Hali ya sasa nchini tanganyika kwa ukatili samia inasikitisha hata Magufuli hakuwa na moyo mbaya kiasi hiki juu ya uhai na maisha ya watu. Sasa tunajiuliza anaongoza ili iweje kama hata uhai wa wale anaowaongoza haudhamini. Yupo pale kwa ajii ya nini? Kifupi katangaza vita upya na raia...
  5. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia umeongea kama Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Tanzania

    Wanaukumbi. Ni mtu mjinga tu ambaye angeweza kudhania kuwa Rais Samia angejitokeza hadharani na kuongea na wazee wa Dar Es Salaam na kuanza kutiatia huruma na kubembeleza watu!.. Rais Samia ametenda sawasawa kama ambavyo Rais mwingine yoyote angetenda kutokana na nyakati hizi za sasa. Yaaani...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia umemaliza upande wako, subiri nao GenZ, EU, US na TEC watakujibu very soon

    Target kubwa ya speech ya jana ilikuwa kwa makundi makubwa matano yafuatayo. WAFADHILI, kundi hili linajumuisha nchi za ulaya EU countries na Marekani. Aliwaambia 'Who are You', kwanza vihela vyenu vidogo. Hili group huwa halina haraka lipo very systematic, consistent litamjibu kwa wakati wake...
  7. JamiiForums Tanzania Hata Robert Mugabe alianza kama Samia, kutukana wakina Obama, Tony Blair, kilichotokea kila mtu anajua

    Wakati Mugabe anatwaa Mashamba kwa ya Wazungu na Mabeberu wakawa wana mkosoa Mgabe, naye alikuwa anatafuta sifa kwa wanachama wa ZANUPF yake alikuwa anawahutubia na kuwaambia wale hawawezi kututisha kitu, Sisi ni nchi huru kabisa, Wale ni wakoloni tu. Ndani ya mwaka 1 Pesa ya Zimbabwe ikikuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Kwenye hotuba ya Samia hajasema D9 kuna maandamano bali ameongelea maandamano siku ya Christmas na kuruka D9

    kwenye hotuba ya ndugu samia hajasema #D9 kuna maandamano bali ameongelea maandamano siku ya Christmas na kuruka #D9 Kwa kifupi anaogopa balaa amechanganyikiwa na upinzani wa gen z
  9. JamiiForums Tanzania Samia ameamua kufanya betting

    Nimemsikiliza, Kwa haraka haraka kuna vitu viwili au vitatu vinakuja ukiwa unamasikiliza kwa hotuba ya leo. 👉kwanza, anajibizana na wakina mama wenzie, hapa naongelea Mange na Maria Sarungi. Ni wazi ndio anaojibizana nao na hata ukiangalia video ya Mange muda mfupi baadae unaona kabisa hawa...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa na jinsi Samia alivyowalaumu wazazi wa vijana waliouwawa na Polisi!

    Nimeshangazwa sana na jambo hili. Mimi nilitegemea Samia angetumia wakati huu kulipooza taifa linalopitia wakati mgumu wenye uchungu mkubwa kwa kupoteza vijana maelfu kwa maelfu, lakini cha ajabu mno ni kumwona Samia akiwalaumu wazazi wa vijana waliouwawa eti kwanini hawakuwazuia watoto wao...
  11. JamiiForums Tanzania Samia amethibitisha alivyo mdini tena mzembe

    Waliosikia na kuielewa hotoba ya leo ya Samia watakubaliana nani. Ameonyesha kushabikia udini na vurugu. Akiri. Urais hauwezi. Aachie ngazi. Unamfunga mtu halafu unamlaumu. Hii ni haki kweli. Kimsingi, amezidi kumpaisha Tundu Lissu hata kama naye hafai kwa sababu hatujui mipango na falsafa yake.
  12. JamiiForums Tanzania Larry Madowo anakuja na report nyengine kuhusu alichozungumza leo Rais Samia

    Haya ndio madhara ya kuhalalisha mambo ambayo sio halali.
  13. JamiiForums Tanzania Redcross wafurahishwa na hutuba ya Samia. Hofu yake hakuificha

    Hehehee! Kile kionjo kidogo tuu mtu anahaha. Mwamuona? Mayii! Redcross Leo wamefurahi kumwona Jezebel akiwa anatweta heheee! Taifa zima limeshuhudia damu za watu usoni mwake Nye Nye Nye hiyo ni rasharasha mbona. Waongea wajikaza mishipa hehee. Kifua chakubana kama waumwa pumu. Na bado. Kaza...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Samia kawatukana mpaka SADC na AU sio wazungu tu!

    Samia kawatukana mpaka SADC na AU sio wazungu tu!. Hivyo mnaongelea misaada lakini katukana na kuwachamba kila mtu kwasababu yeye tu na familia yake ndiyo wa maana na wapo sawa wengine wote waangalizi, mashirika ya dini , wadau wa misaada wana wivu!!!! . Huyu ndiyo yule Mama kweli wa 2021-2022...
  15. N

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CNN: Samia akiri kutoa amri ya kuua maelfu ya wananchi waliokuwa wakiandamana kudai haki zao

    Mambo yanazidi ku-unfold.
  16. K

    JamiiForums Tanzania Ukweli: Mama Samia ataondoka TEC itakuwepo mnapoteza muda kulaumu ukweli

    Ukweli: Mama Samia ataondoka TEC itakuwepo mnapoteza muda kulaumu ukweli. lakini TEC imekuwepo toka miaka ya 60's na itakuwepo akiondoka na hawezi kufanya lolote huo ndiyo ukweli. Serikali badala ya kupigana na vyombo ambayo hawaviwezi ni bora wafuate ushauri wa kuacha kuteka, kuleta katiba...
  17. E

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mbeto: Rais Samia amethibitisha uzalendo na uungwana alionao

    Chama Cha Mapinduzi kimesema hotuba iliotolewa na Rais Dk Samia Suluhu Hassan alipozungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar Es Salaam ,ameonyesha kina cha uelewa alionao, ukomavu na uungwana wake kisiasa. Pia CCM kimeitaja hotuba hiyo imeshiba uzalendo, historia na yenye kuhimiza haja na...
  18. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Special Thread: Kauli Tata za Rais Samia katika hotuba zake

    1. "Oktoba 29 tulitumia nguvu kubwa Kwa sababu ya Vurugu, mlitaka tutumie nguvu ndogo ili iwaje" 2. "Waliohamasisha maandamano Oktoba 29 ni Kwa sababu ya shida za maisha, na walifanya hivyo ili Watanzania wanunue bando wawaangalie ili walipwe" 3. "Kuna watu tunawaambia waje mezani kwenye...
  19. JamiiForums Tanzania Samia: Yaliyotokea Oktoba 29 yalitokea pia Zanzibar mwaka 2001. Hakuna jipya! Je, tuamini ni kisasi cha wazanzibar dhidi ya watanganyika?

    Huyu Samia sijui kama yuko sawa kwenye bichwa lake,analinganisha mauaji ya October 29,2025 na mauaji ya Zanzibar yale ya mwaka 2001,huku akidai ni jambo la kawaida, Sawa mauaji ni mauaji lakini huwezi halalisha mauaji kwa mauaji mengine na kutaka tuone kuwa kuuana ni jambo la kawaida. Napata...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuendeleza kwa kuwa wa kwanza...

    Mama Samia. Makamu wa Rais wa kwanza mwanamke Tanzania. Rais wa kwanza kuwa dv4 shule ya upili. Rais wa kwanza kuwahi kupata asilimia zaidi ya 97 uchaguzi mkuu. Rais wa kwanza kuingia madarakani baada ya watu wengi kufa, kuumia, mali kuharibiwa na maelfu kukamatwa na kufunguliwa kesi za uhaini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…