samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania IGP Sirro: Hatuna barua ya kumkamata Askofu Gwajima, utaratibu ufuatwe

    IGP Sirro amesema kuwa jeshi la polisi linaendeshwa kwa maandishi na kuna taratibu hivyo wanasubiri barua kutoka kwa waziri ili waangalie wanatekeleza vipi agizo lake. Pia ameongeza kuwa hayo maelekezo ameyaona kwenye mitandao ya kijamii hivyo anasubiri barua rasmi ili waangalie jinsi ya...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia atuondolee Waziri Gwajima na Msaidizi wake Dkt. Mollel, wana utoto mwingi na wanatusumbua hivi sasa

    Kwani hi Chanjo ni jambo kubwa sana kama nchi iko vitani vile? Kwanini wanakomalia sana as if hakuna shughuli nyingine za kufanya? Wananuka shombo na kama vile wananchi wamewachoka. Hawa viongozi wana utoto mwingi na wanasababisha ukakasi kwenye hili suala la chanjo. Kuna wakati wangekaa kimya...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia kwenda Malawi kuhudhuria mkutano wa 41 wa Wakuu wa nchi SADC

    Rais Samia Suluhu Hassan leo ataondoka nchini leo kwenda nchini Malawi kushiriki Mkutano wa 41 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maaendeleo Kusini wa Afrika (SADC) utakofanyika Agosti 17 na 18. Pamoja na mambo mengine Malawi itathibitishwa kuwa Mwenyekiti wa SADC.
  4. JamiiForums Tanzania CHADEMA wamemsaidia Rais Samia?

    Kama mnakumbuka Magufuli enzi zake aliwahi kuongea hadharani. 'msini drive'.. mnakumbuka? Tumewahi jiuliza alikuwa anawaambia kina nani??..kina nani Wana jeuri ya kum drive Rais? Hadi Magufuli aongee kwa style ya kulalamika hadharani? Bottom line lazima tukubali kuna 'power behind power'...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Samia anaihujumu Tanganyika kwa kuwa yeye ni Mzanzibari?

    akili yangu inanituma kwamba Samia ameamua kuwageuza Watanganyika milioni 55 kuwa chambo cha chanjo ili mapesa anayopata kutoka kwa mabeberu akajenge makunduchi? Watanganyika wenye akili tusimame na Askofu Gwajima. hivi nyie Watanganyika nani kawaroga? Tanzania = Tanganyika+Zanzibar. Kwanini...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Shaka: Rais Samia ni mbobezi katika masuala ya uongozi

    SHAKA: RAIS SAMIA NI MBOBEZI KATIKA MASUALA YA UONGOZI. Umma waelezwe kuwa Anatosha na Atatuvusha. Viongozi wa dini waombwa kuhubiri Amani na Mshikamano. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema tokea Uhuru kupatikana 1961 na Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kufanyika 1964 na hatimae Chama Cha...
  7. JamiiForums Tanzania Zanzbar pia kuna tozo la miamala?

    Naona matatizo ya Muungano na hasa tunapokuwa na Rais kama huyu anayetokea Z'bar. alipoingia alianza ku-balance mambo; Meli nyingine itapelekwa Z'bar, kila kitu akisema pesa nyingine ipelekwe Z'bar. Sasa hili la tozo na malengo yake tunataka kujua kama hata Z'bar kuna makato ya miamala. Kama...
  8. JamiiForums Tanzania Polisi wa Tanzania chini ya uongozi wa Samia Suluhu Hassan

  9. P

    JamiiForums Tanzania Chanjo ni hiari: Spika Ndugai ni nani kuipinga kauli ya Rais?

    Bunge kupitia mh Sipika nasikia eti ataweka zuio la wabunge wote ambao hawatakuwa wamechanjwa wasiingie bungeni Kwa kauli moja ya Mh Rais huwa ni sheria, Mh Rais alitangaza wakati tu nchi inajiandaa kuingia kwa ajiri ya wananchi kupata chanjo kwamba, Chanjo ni hiari ya mtu, mtu akitaka na...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Don't rock the boat. Biashara na uchumi vitayumba

    Kwanza nina declare position, Mimi ni mwana CCM. Tena ni mfanya biashara. Zaidi ya hapo nina muunga mkono Mama Samia. Haya matukio ya kisiasa hivi karibuni kibiashara na hatimaye kiuchumi yameleta ukakasi kidogo. Nasema hivi kwa experience ya yaliyonikuta hivi karibuni. Nilipata ahueni sana...
  11. JamiiForums Tanzania Tusitake kumpelekesha Rais Samia, hapangiwi namna gani aendeshe nchi

    Mbona hamsomi katiba ya JMT hasa ibara ya 33 na mamlaka ya urais kuongoza taifa la Tanzania? Head of a state is a head of a state. Msitake kuleta dharau. Mnataka awabembeleze wapinzani ambao sio wazalendo? Acheni dharau. Mnakaa mnalialia ,mama amebadilika,mama amekuwa dikteta mlikuwa mnataka...
  12. JamiiForums Tanzania Naanza kuamini kuna hujuma dhidi ya Rais Samia

    Kuna mambo yamenifanya nianze kuamini kuwa Kuna hujuma dhidi ya Rais Samia ingawa nilikuwa nikisikia tu na kutoamini huko mwanzoni. Mambo haya ni 1. Tanesco kukata Umeme hovyo nchini- Na hii ni nchi nzima, hata muda huu, umeme umekatika maeneo mengi nchini. Kalemani yuko kimya, Wizara ya...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Utendaji Mbovu wa Tume ya Utumishi wa Umma; Rais Samia tupia jicho lako hapo

    Kumekuwa na malalamiko mengi sana kutoka kwa wananchi kuhusu utendaji mbovu wa Tume ya Utumishi wa Umma ikiongozwa na ndugu Muhoji aliyezungukwa na wasaidizi vilaza wavivu kutumia akili katika kushughulikia rufaa za watumishi wa umma walioonewa na waajiri enzi zile! Kumekuwa na biasness kubwa...
  14. B

    JamiiForums Tanzania President Samia: Some don't believe that women can lead

    10 August 2021 Tanzania's President Samia Suluhu Hassan says there were people who doubted she was qualified to lead when she first became head of state because she was a woman. In an exclusive interview with BBC Africa's Salim Kikeke, President Suluhu also spoke about her Covid-19...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Uhuru: Rais Samia hana wazo la kugombea Urais 2025

    Rais wa JMT Mh Samia Suluhu Hassan amesema hana wazo la kugombea urais katika uchaguzi mkuu wa 2025. Chanzo: Gazeti la CCM, Uhuru PIA, SOMA: CCM: Gazeti la Uhuru limepotosha; Rais Samia hakusema kuwa hatogombea 2025 News Alert: - CCM yasimamisha uchapishaji wa gazeti la Uhuru kwa siku 7 na...
  16. JamiiForums Tanzania Gazeti la Uhuru lamalizika sokoni tangu saa 2 asubuhi, Wasomaji walisaka hata kwa dau kubwa

    Kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi hii , leo gazeti la Uhuru limenunuliwa lote kabisa mitaani na kwisha kabisa huku wanunuzi wengi wakilisomea vyumbani mwao ili kutafuta utulivu na kuelewa zaidi maudhui ya gazeti hilo kwa leo. Ikumbukwe kwamba kwa miaka mingi sana gazeti hili lilikuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Msimamo wa Rais Samia kuhusu demokrasia ya kisiasa, fujo za kisiasa na fujo za kidini: Tutaelewana tu!

    Msimamo wa Rais Samia kuhusu demokrasia ya kisiasa, fujo za kisiasa na fujo za kidini ni wa kujadiliwa kwa kina kusudi watu wengi wauelewe na kuukubali. Tayari kuna maoni kadhaa yametolewa tangu alipofanya mahojiano yake na BBC, na kuuweka bayana. Kuna maoni ya Askofu Bagonza, Kauli za...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia, ulitaka wananchi tukataaje tozo za miamala ya simu?

    Rais na Mwenyekiti wangu wa CCM Taifa, umenifikirisha na kunisikitisha sana. Nimekusikiliza na kukutazama kwenye mahojiano yako na mwandishi na mtangazaji nguli Salim Kikeke. Nimekufuatilia hadi nikalia ulipokuwa ukijibu maswali bila kujali athari. Juu ya tozo za miamala ya simu, nimekusikia na...
  19. JamiiForums Tanzania Hii ndio tofauti niliyoiona kati ya Rais Samia na Hayati Dkt. Magufuli hadi sasa

    Amani iwe nanyi wanabodi Leo nimeona nishare na nyie tofauti ndogo niliyoiona kati ya JPM na Samia Hadi sasa 1. Samia anafanya kazi kubwa sana ila haja invest kwenye mapambio ya kusifu na kuabudu. Kielelezo cha haya ni takwimu kubwa zinazombeba zinazoendelea kutolewa hadi sasa kuhusu Tanzania...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia angalia sana kwani Urais wako ni mtihani si kwa Tanzania tu, bali kwa mataifa mengi kuhusu wanawake kupewa nafasi ya Urais huko mbeleni

    Tanzania ni nchi ya kwanza, kwa Afrika Mashariki na Kati, Kwa SADC, na kama sikosei ya pili kwa Afrika kuwa na Rais mwanamke. Tuna jambo kubwa sana, kwa kuwa hata Marekani hawajawahi kuwa na Rais mwanamke na jaribio lao la kufanya hivyo lilishindwa. Hatujali kwamba Rais Samia alikuja kuwa Raisi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…