samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania DC SHAKA APONGEZA UAMUZI SERIKALI CHINI YA RAIS SAMIA KULIJENGA UPYA DARAJA LA MAGOLE

    DC SHAKA HAMDU SHAKA APONGEZA UAMUZI WA SERIKALI YA RAIS SAMIA KUJENGA UPYA DARAJA LA MAGOLE Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Mh. Shaka Hamdu Shaka, amepongeza hatua na uamuzi wa Serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan wa kujenga upya Daraja la Magole, katika barabara kuu ya Morogoro - Dodoma...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Niffer Kwa Kinywa Chake Amiminaaa Sifa na Pongezi Kwa Rais Samia Na Paul Makonda Kwa Mchango Mkubwa Walioutoa Ili Kufanikisha Ushindi Wa Jihan .

    Ndugu zangu Watanzania, Nilishasema sana Humu Jukwaani Popote Pale utakapoona Ushindi wa Jambo lolote lile katika Taifa letu nje ya Tanzania na kimataifa ama ndani ya Nchi yetu basi tambua ya Kuwa Kuna Mkono wa Rais Samia Nyuma ya Ushindi Huo. Sasa Niffer Kwa Kinywa Chake Amemiminaaa Sifa...
  3. JamiiForums Tanzania Leo ni Mwaka mmoja tangu Polepole ametekwa. Je, yupo hai?

    Tarehe 5 kuamkia 6.10.2025 Polepole alitoweka nyumbani kwake pale Union jioni dsm ikidaiwa alichukuliwa na watu wasiyo julikana. Watanzania bado hatujui hiyo ndugu yetu yupo wapi na kwenye hali gani,Je yupo hai au amefariki. Tuzidi kumuomba watanzania kwa Umoja wetu. Soma Humphrey Polepole...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Hongera Mwanangu Jihan Kwa Kuipeperusha Vyema Bendera Ya Tanzania. Nakutakia kila La heri katika Safari Yako.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika,jasiri muongoza njia na nuru ya Wanyonge. Amempongeza sana Jihan Binti yetu Watanzania aliyeliletea Heshima Taifa Letu...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Baraka na Neema Za Rais Samia Zaendelea Kuipeperusha Bendera ya Tanzania Kimataifa. Dunia Yabubujikwa na Machozi ya Furaha na Kumpongeza Rais Samia.

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika usishindane na aliyebarikiwa na Mungu, usishindane na Aliyepakwa Mafuta na Mungu,usishindane na aliyepewa kibali na Mungu. Kwa hakika Taifa likiongozwa na Mwenye Haki na aliyekubalika Mbele na machoni pa Mungu litapata Baraka Neema na kubarikiwa kwa kila kitu...
  6. JamiiForums Tanzania Niffer, Dada mwenye ushawishi mkubwa; je, ataweza washawishi vijana kurudisha mahaba kwa CCM?

    Huyu dada wanasema ana influence kuliko kiumbe yoyote kwa Tanzania currently. Japo sina hakika na ili. Kwa sasa anafanya kazi ya Samia na CCM. Yupo kwenye kandarasi ya kusaaaulisha mauaji ya October 29. Je ataweza shawishi hao gen zero wawe na mahaba na CCM? Au kazi hii inaweza kumgharimu...
  7. JamiiForums Tanzania Hongera sana raisi Samia kwa kutuletea huu ushindi

    Kwa hakika Tanzania imetikisa Dunia, taji la miss Grand sio dogo, bila juhudi za serikali yetu tukufu tusingeweza kufanikisha hili, niwashukuru kwa dhati watu maarufu, niffer, malisa_gj na wengine kwa kufanikisha hili jambo kwa kueleza wananchi namna ya kupiga kura. Ni wakati wa mataifa kuona...
  8. JamiiForums Tanzania Samia Usitumie kodi za wananchi kujenga msikiti Arusha.

    Acha misikiti ijengwe na waumini wa dini husika, changia fedha toka kwenye mshahara wako binafsi au miradi yako au hata itisha harambee. Kwakifupi fanya kama ulivyoshauriwa na Mwigulu Nchemba hadi ukamnunia ila ule ndio ukweli. Kumtumia Makonda kutekeleza hili jambo na huku ukijua wazi kuwa...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Inadaiwa Samia ni 'head of state' peke yake aliyeenda Zimbabwe kuhani msiba wa Wicknell Chivayo

    Ukimtoa Rais Emmerson Mnangagwa ambaye ni Rais mwenyeji na rafiki wa Chivayo, hakuna rais yeyote wa kigeni aliyehudhuria mazishi hayo. Makamu wa rais wa Zimbabwe Chiwenga yeye binafsi hakufika kabisa kwenye msiba inasemekana alisusa. Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ambaye ni jirani na...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Samia huyo mpemba wako waziri wa Uchukuzi yuko wapi, wamekufa watu zaidi ya 30, nauli zinaongezwa holela Makame Mbarawa Mnyaa wala hana taarifa!

    Huyu Samia nani kamlazimisha kugombea huu urais? Huyo mzanzibari hataki hii kazi, ni Kikwete? Kwa maslahi ya nani? Ni wazi zahv hatuna Rais wa JMT, mwezi wa Februari wamiliki wa vyombo vya usafiri walijiongezea nauli walivyoona wao inafaa, hatumwona waziri wala naibu wake wala mkurugenzi mkuu...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kabudi, Samia na seeikali yote ni Haramu

    Hawa wote ni Haramu na sio Halal
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwa kinara wa afya ya Mama na mtoto Afrika ni heshima kwa Tanzania

    Mshauri wa Rais kuhusu Afya ya uzazi na afya ya Mama, Ummy Mwalimu amesema Afrika imepiga hatua katika kupunguza vifo vya kina Mama ambapo ameongeza kuwa Suala la Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa kinara wa Afrika afya ya Mama na mtoto ni heshima kubwa kwa Tanzania na kuongeza kuwa uamuzi na...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Historia Viongozi hasara Tanzania: Kikwete na ndugu zake, Samia na ndugu zake, Kabudi, Chenge, Jadi Chade

    Historia Viongozi hasara Tanzania: Kikwete na ndugu zake, Samia na ndugu zake hawa ni vilaza Kabudi, Chenge, Jadi Chade hawa wana akili lakini matumbo yamewafikisha hapo
  14. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Prof. Kabudi: Kiongozi akichaguliwa huwezi kumwita Haramu, Tuheshimiane

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, Prof. Palamagamba Kabudi, amewataka viongozi na wanachama wa vyama vya siasa kuheshimiana katika kueleza tofauti zao za kisiasa, akisema matumizi ya lugha kama kumuita kiongozi mwenzake ambaye amechaguliwa “haramu” sio...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia kusafiri kwenda Zimbabwe kinyemela kumzika mfanyabiashara mwenye utata wa kimaadili inatoa ujumbe gani kwa Watanganyika?

    https://youtu.be/Zw1pnTKVPKo?si=Q8pUyv0DyV4tfbPh Tuanzie kwa kujiuliza maswali haya: 1. Kuna nini kati ya familia ya Samia na mfanyabiashara huyu Mzimbambwe mtata na mtovu wa maadili ya kibiashara? 2. Kwanini Rais wetu huyu (hata kama yupo hapo kiharamia) ajihusishe na mtu huyu na kumpa...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia adaiwa kufika Zimbabwe, Nyumbani kwa Chivayo kutoa Heshima za mwisho. Vyombo vya Habari vyadhibitiwa

    Rais Samia Suluhu, anadaiwa kufika nchini Zimbabwe pamoja na msafara wake nyumbani kwa mfanyabiashara Wicknell Chivayo kwa ajili ya kutoa heshima za mwisho (kuhani msiba)/ Kwa mujibu wa mwandishi wa habari wa Zimbabwe, Hopewell Chin’ono, Rais Samia na msafara wake wamewasili katika makazi ya...
  17. JamiiForums Tanzania Ramaphosa sends condolences as Tanzania’s Hassan makes surprise Harare trip to mourn Chivayo

    South African President Cyril Ramaphosa has joined regional leaders in mourning Zimbabwean businessman Wicknell Chivayo, sending a condolence message to President Emmerson Mnangagwa as Tanzania’s President Samia Suluhu Hassan made a brief and closely guarded visit to Harare to pay her respects...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Bila Rais Samia Kuingia Madarakani Vijana wengi sana wangeacha kwenda vyuo Vikuu na wengine Wangekuwa wanaishia kidato cha 4 Tu. Tunamshukuru Mama

    Ndugu zangu Watanzania, Ni ukweli ulio wazi kabisa kuwa Rais Samia ametoa ajira nyingi sana katika historia ya Taifa letu ndani ya kipindi kifupi cha Uongozi wake. Ni ukweli ulio wa wazi kabisa Kuwa Rais wetu Mpendwa kainua Matumaini ya vijana wengi sana kupenda shule na kuendelea na masomo...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Dkt Samia aendelea kuvunja rekodi

    Rais Dkt Samia aendelea kuvunja rekodi ✅️Benki ya Dunia Yaeleza kuhusu mapato. ✅️BOT ikibainisha kununua dhahabu nyingi. ✅️Utendaji wa bandari.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…