samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Dkt. Charles Kimei: Bajeti ya Kwanza ya Rais Samia ni ya kuanzia mwaka wa fedha 2022/2023

    Akishiriki mjadala wa Mizani ya Wiki inayorushwa na Azam TV via Channel ya UTV Kuhusu hotuba ya Rais Samia,amesema bajeti inayotekelezeka sasa ilikuwa tayari imeshapangwa hapo kabla. Kwa muktadha huo basi akasema wananchi wasubirie bajeti ya kwanza ya Rais Samia ya mwaka 2022/2023.. Wale watoa...
  2. JamiiForums Tanzania Hii akiba ya fedha za kigeni dola Bilioni 6,253 aliyosema Rais Samia kiboko, deni la Taifa lingekuwa hela ya peremende

    Leo Rais Samia wakati akitoa hotuba ya kufunga mwaka 2021 ameitaja akiba ya fedha za kigeni dola za kimarekani bilioni 6,253. Nikajua labda lafudhi ya kizanzibari imenichanganya au kosa la usomaji. Kumbe ndivyo alivyoandikiwa kwenye hotuba yake, najiuliza mchakato wote wa maandalizi ya hotuba...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia, nimeukubali msimamo wako. Hongera sana

    Asante sana Mama Samia Suluhu Hassan, Rais wetu mpendwa, kwa msimamo wako thabiti ulio tuonyesha tarehe 28 mwezi Desemba mwaka 2021 huko IKULU Magogoni wakati wa kushuhudia kutia saini mkataba wa kuendeleza SGR yetu kipande cha tatu kati ya Makutupora Singinda na Tabora. Kusema kweli, hotuba...
  4. JamiiForums Tanzania TRA imekusanya Trilioni 11.11 kuanzia Julai hadi Desemba 2021 na trilioni 2.51 Desemba 2021 pekee

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya TZS trilioni 2.51 Desemba 2021, kikiwa ni kiwango cha juu zaidi kuwahi kufikiwa tangu kuanzishwa mamlaka hiyo mwaka 1996. Aidha, Julai - Desemba 2021, TRA imekusanya TZS trilioni 11.11, sawa 98% ya lengo la TZS trilioni 11.302.
  5. JamiiForums Tanzania Wapambe wanavyojaribu kumchonganisha na Nduga na Rais Samia

    Kuna mjadala mkali Sana ishu ya mikopo ya Nchi ,Kwa makusudi au Kwa Nia hovu wapambe wanatufuta namna ya kumchonganisha Ndugai na Rais Binafsi nilimsikiliz Ndugai wala hakua anamkosoa Rais Samia ,Bali alikua anatoa hamasa Kwa jamii yake umuhimu wa Tozo (ili wengi wamelihaacha Kwa Nia mbaya...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia hana interest na kilimo, wakulima tujifungeni mkanda

    Duniani kote utawala wowote unawekeza nguvu kubwa kwenye kilimo na hata wananchi karibia 78% ni wakulima wanategemea kilimo tu kuendesha maisha yao. Rais wetu nimefuatilia hotuba zake zote kilimo kwake yeye sio kipaumbele kabisa. Anazungumzia ujenzi wa miundombinu kama madaraja, reli ununuzi...
  7. JamiiForums Tanzania Chukua hii: 2022 ujio wa Tundu Lissu utaleta Kimbunga

    Ujio wa TL utaleta kimbuga kikubwa mno kwa Samia hasa Tundu atakapoanza zile rabsha zake za maneno ya kukwaza lkn ya kweli. Tundu ni mtu aliyenyooka na muwasilishaji hoja zake kwa ukali huku akijiamini kupitiliza na huwa hajali. Samia ajiandae kuitwa majina asiyoyatarajia. Haitashangaza Tundu...
  8. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kulihutubia taifa Desemba 31, Watanzania tuwe tayari kumsikiliza

    Tarehe 31 Disemba,2021 saa kumi na mbili jioni Mheshimiwa Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti wa Chama Taifa kulihutubia Taifa- kufunga mwaka 2021 kuzungumzia mipango na mikakati ya kuingia mwaka 2022.
  9. JamiiForums Tanzania Wengine wooote kopeni isipokuwa Rais Samia asikope.

    Hata ukikopa utalipa na hela yako. Fedha za mikopo ni hela zako pia. Nilikuwa nikiwakataza wanafunzi wa vyuo wasiziite boom pesa wanazokopeshwa na bodi ya mikopo na kuzitumia ovyo maana hizo ni fedha zao, sehemu ya mishahara yao, watazirejesha. Unapokopa nyumba au Gari hizo ni hela zako lazima...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia kakubali Tume Huru ya Uchaguzi. Sasa ole wenu mtoke nje tena wakati wa Majadiliano

    Salaam Wakuu, Nawashauri Wadau wa Siasa, mujifunze kuvumiliana na reconciliation. Si tabia njema kususasusa. Tangu hii tabia ya kususa ianze Kwama 2010, sijaona tija yoyote. Yaani mnasusia nyani Shamba la mahindi? Rais Samia Kasikia Kilio chenu cha Tume huru ya Uchaguzi. Siku taratibu...
  11. JamiiForums Tanzania Assessment ya Utawala wa Awamu ya 6 tangu Machi hadi leo Desemba 31, 2021. So far so good, hongera Samia!

    Utawala wa Awamu ya sita ulianza rasmi tarehe 17 mwezi machi mwaka 2021, Rais Samia alichukua kiti cha Uongozi baada ya kifo cha JPM. Katika miezi hii 9 na ushee Mama huyu alipochukua kiti cha Uongozi napenda kusema nimeridhika kwa namna ambayo analiongoza Taifa letu pendwa la Tanzania. Amepata...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Naiomba serikali sikivu ya Rais Samia iongeze wiki moja kwenye ufungzuzi wa shule January 2022 mshahara utakuwa umetoka

    Kupanga ni kuchagua na maendeleo hayana vyama. Huu ni usemi maarufu alipenda kuutumia hayati John P. Magufuli mjeshi au jiwe mtu aliependa kuona kitu kinafanyika na kuonekana na sio hadithi. Kama mnavyojua hizi sikukuu mbili ni balaa tupu. Christamass na mwaka mpya watu huwa wanajiachia...
  13. JamiiForums Tanzania Muda wa majonzi nchini umeisha sasa Rais Samia ajiandae kwa kazi

    Baada ya nchi kupita kwenye majonzi na uzoefu tofauti wa kufiwa na rais aliyeko madarakani yaani hayati Magufuli. Sasa ni dhahiri wapinzani wake wameshaelewa utawala wa Samia. Kama ilivyo kwa watangulizi wake; Mwaka wa kwanza huwa ni wa kulekebisha palipoharibiwa na watangulizi baada ya hapo...
  14. JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu kweli tunaingia 2022 ukiamini Samia Suluhu Hassan haijui Tanzania?

  15. JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: Rais Samia amejenga madarasa 3,000 huko nyuma Serikali haikujali kuhusu madarasa na shule

    Huko nyuma watu hawakujali kuhusu Shule/Vituo Shikizi. Ni Serikali ya Awamu ya 6 ya Rais Samia ndio imechukua hatua mahususi na za haraka za kujenga madarasa ya kisasa 3,000 tena kwa mpigo katika Shule Shikizi 970 kwenye Halmashauri mbalimbali nchini. Niwahakikishie Watanzania kuwa TAMISEMI...
  16. JamiiForums Tanzania Usiri wa Hayati Magufuli na kutokuwa muwazi matokeo yake ndiyo haya. Rais Samia songa mbele

    Friends and Our Ugly Enemies, People like Ndugai,hata wakitokea wakafanya jambo lenye tija,hawawez Tena kuaminika na mtanzania yyte mwenye akil timamu,it's unfortunate ndo hivyo ameshakuwa speaker wa bunge lakin hakika ni disgrace to our parliament na nchi kwa ujumla, Just imagine speaker wa...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia wewe fanya kazi, usiwasikilize wanasiasa kama Ndugai

    Mama Samia kama Rais ameanza kuchukua hatua zake mwenyewe kuona maendeleo ya nchi yanasonga mbele. Kimsingi, Mama Samia kaweka utu wa Mtanzania mbele, na kuhakikisha hakuna maonezi ya kubambikwa kesi za kughushi ili konea mtu na kupora mali zake. Masalia ya Awamu ya 5 yapo. Miluzi ni mingi na...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Jenga Nchi na Wasogeze wenye Maarifa wakuongezee na wewe umalize salama.

    Habari za jion wanajamii wote. Kwa bashasha kbsa naomba nitoe Rai kwa Rais Samia, Tanzania ina watu wazuri wenye unafiki, makelele na kupoteza maboya watu hasa wasiojiamini na wasionamaarifa mapana kwenye ngazi ya uongozi, kwako Samia kundi la Kikwete na wanamtandao kwa ujumla wao nyakati za...
  19. JamiiForums Tanzania Bila Magufuli SGR isingekuwepo

    Jana Mh Alisema sababu ya kuendelea na mradi wa SGR ni " tumetumia hela nyingi tayari, tukiuacha sasa hivi tutakua tumetupa hela". Kwa maana hiyo mradi ule hauna sababu ya kiuchumi kuwepo, unamaliza hela tu. Kama Mh mama angelikua rais tokea mwanzo mambo ambayo angefanya ni kupandisha vyeo...
  20. JamiiForums Tanzania Jibu rahisi tu Kwenu kwa wale mnaomshangaa Haji Manara kwa Kauli zake kwa Pro - Magufuli dhidi ya wale Anti - Samia

    Ni kwamba tayari kuna Mstaafu Mmoja aliye karibu na Mteuzi Mkuu Kikatiba nchini Tanzania ameshampigia pande ili nae apewe Cheo kama cha Mwenzake Jerry Muro. Baada ya Yeye ( Haji Manara ) kuona kuwa tayari Mambo yanaenda vyema kwa kuwa na dalili za Kuukwaa Uteuzi anachokifanya sasa ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…