samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Awamu ya 5 heshima iliyokuzwa ni ya uoga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ukimgusa sharubu anakurarua, hatukukua kivile

    "Tunasifiwa kwamba adjustments [maboresho] tuliyoyafanya awamu ya tano kidogo zimekuza heshima ndani ya utumishi wa umma. “Heshima iliyokuzwa ni ya woga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ambaye alikuwa ukimgusa sharubu anakurarua. Lakini hata hivyo hatukukua kivile, heshima inayotakiwa iwe...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anataka kumlinda Lissu bila Lissu mwenyewe kujua

    Ni hivi Lissu anataka Rais Samia kwenda hadharani na kumuhakikishia Lissu usalama wake ili aweze kurudi Tanzania. Rais Samia anasita ingawa si kwa kumuogopa Lissu au Usalama wa taifa lakini ni kwa kumkinga. Mama akitoka leo na kumuhakikishia usalama Lissu wapinzani wake Rais Samia watatumia...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kabla ya 2025 Rais Samia atasema Uchaguzi wa 2020 haukuwa huru

    Raisi Samia na Watanzania wengi wanajua huu ukweli kwamba uchaguzi wa 2020 haukuwa wa huru na wa haki. Hivyo kabla ya uchaguzi wa 2025 Raisi atafanya kila jitihada kueleza huu ukweli kwasababu zifuatazo 1. Kutoa dhana ya uongo kwa wananchi walioamini Magu alipata 80% . Wote tunajua hii sio...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kama kweli CCM mpo kwaajili ya wananchi, Tunaomba 2025 msituletee Rais Samia

    Mimi kama mwananchi mwenye uhuru wa kutoa maoni nchi hii, naomba niseme kama kweli CCM mko serious kwaajili ya maendeleo ya wananchi tafadhali tunaomba mtuangalizie mtu atakaetufaa 2025 au basi kama mmeamua 2025 ni zamu ya mwanamke basi tunaomba mtuletee jina lingine, sioni la maana sasaivi...
  5. JamiiForums Tanzania Morogoro: Mbaroni kwa kuiba bango lenye picha ya Rais Samia

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linawashikilia watu wawili kwa shutuma za kuiba bango lenye picha ya Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na vitambaa vyenye rangi ya bendera ya Taifa ambavyo hutumika kupambia jukwaa. Kamanda wa Polisi mkoani humo, Fortunatus Muslim amesema waliokamatwa Emanuel John...
  6. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu wa Kanda ya ziwa Rais ni Mama Samia tujue hilo

    NImepitia nyuzi zote 23 na comment zaidi ya 3,600 naomba niseme ndugu zangu wa Kanda ya Ziwa ndoto ya kutoa Rais imekufa, hivyo tuendelee kumuunga mkono mama. 2) Kama mama ameeleweka vema lengo lake ni kurejesha chama kwenye mikono salama ya watu wenye weledi, hivo kuna anaweza hoji uwezo wa...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia atuombe msamaha Wakristo, Simba wa Yuda kwetu ni Yesu Kristo peke yake

    Kweli kumwita Hayati Magufuli Simba wa Yuda si sawa kabisa. Ni dharau kubwa sana kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo. Maana kwetu sisi Yesu Kristo ndiye Simba wa Yuda. Rais kweli hapa si sawa kabisa.
  8. JamiiForums Tanzania TRA mnasubiri Rais Samia awaambie mbadilishe teknolojia ya kadi za vyombo vya moto kuwa 'smart card' ndio mstuke?

    Kuna vitu vinatia kunyaa Tanzania viongozi wapo maofisini hawana ubunifu na hawaendi na wakati wapo wapo tu Likadi likubwa la A4 kama karatasi ya mtihani wakati siku hizi nchi nyingi wanatumia smart card 💳 tu na inabeba taarifa zote za gari Au mnasubiri hadi mama aje awaambie ndio mshtuke...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tumewachagua viongozi hawa kulingana na mfumo wa kisiasa ulivyo nchini

    Unaweza kujiuliza maswali mengi kwa kauli ya mwenyekiti wa CCM ambaye ametoa kauli yenye kuleta maswali kuhusu mfumo wa kisiasa uliopo sasa hapa nchini. Hebu tuangalie kwanza. 1. Nani mshauri wa mwenyekiti wa CCM na rais wa nchi yetu? Ni mshauri pekee anayeweza kuona toafuti ya mifumo ya...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Neno HAKI limeanza kutawala midomoni mwa watawala, alianza Rais Samia, kafuata IGP na leo nimemsikia Kinana

    “Kitu kikubwa tulichojadiliana ni kuwa, Tanzania ni yetu sote na tunapaswa kufanya kazi pamoja, kuijenga, lakini hili linawezekana tu iwapo tutajenga uaminifu na kudai HAKI, pamoja na kuheshimiana”. Rais Samia Suluhu. “Tumekubaliana kuwa, njia nzuri ya kuwa na maridhiano ni wakati kuna HAKI...
  11. JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Samia akutana na Kuzungumza na Waziri wa Nchi kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Maitha Al Shamsi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mhe. Maitha Al Shamsi Waziri wa Nchi kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu UAE Ikulu Jijini Dodoma tarehe 31 Machi, 2022. Huu ni mwendelezo wa ziara ya Mhe. Rais Samia aliyoifanya katika Falme za Kiarabu UAE...
  12. JamiiForums Tanzania Tony Blair amefuata nini Tanzania?

    Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair ameonekana kwenye Ikulu ya Tanzania akizungumza na Rais Samia Suluhu, tunashukuru sana kwa Mkubwa huyu kutukumbuka. Swali ni hili, Amefuata nini?
  13. JamiiForums Tanzania CCM chini ya Mwenyekiti wake Samia Suluhu Hassan iko imara kuliko kipindi chochote

    Toka Chama cha Mapinduzi kuundwa mwaka 1977 kimepita baada ya kuunganishwa kwa vyama vya Tanganyika African National Union na Afro - Shiraz, CCM imekuwa Imara, Bora na yenye mshikamano kuanzia ngazi ya chini kabisa mpaka ngazi ya Taifa kuliko kipindi chochote cha uhai wa CCM. Kabla Mama Samia...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia utawezaje kujinasua na sifa bandia na kuharibu mafanikio ya watangulizi wako?

    Kuharibu sifa za watangulizi ni mtindo ulioanzishwa na Kikwete ndani ya chama kile kile cha CCM! Nauona ukiendelea kwa nguvu zote. Maofisini wizi umepamba moto. Alipoingia Kikwete alimfanya Mkapa kama ni hovyo kabisa! Wafuasi wake wakaanza kumzomea barabarani. Hata sherehe za kitaifa akasusia...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nimeagiza tozo ya mafuta irudishwe, asema nauli na bei za bidhaa vitapanda. Sababu ni vita ya Urusi

    Leo Rais Samia amepokea ripoti ya CAG Ikulu Dodoma na kuongelea mambo kadhaa ikiwemo suala la mafuta. Rais Samia amesema waziri husika aliondoa tozo ya Tsh 100 kwenye lita ya mafuta bila kuangalia upana wake ikiwemo tayari ilikuwemo kwenye bajeti ambayo ilipitishwa na Bunge hivyo Rais ameagiza...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia apokea ripoti ya CAG, deni bado ni himilivu. Mafao yazidi mapato ya mifuko ya hifadhi

    Kuwa nami, CAG anasoma mambo muhimu kwenye ripoti yake ambayo anaiwasilisha kwa Rais Samia. Inaanza kwa hali isiyo njema kwa vyama vya siasa. Endelea... ========= CAG: Upande wa vyama vya siasa, ADC hati mbaya, Chauma hati mbaya, TLP hati mbaya, UMD hati mbaya, CUF hati yenye shaka, UDP...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali yaondoa tozo 42 kwenye zao la Kahawa

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametangaza uamuzi wa Serikali wa kuondoa tozo 42 kati ya 47 ambazo walikuwa wanatozwa wakulima wa kahawa wa Mkoa wa Kagera hadi kufikia tozo 5 ambazo zitakuwa ni jumla ya Sh267 kwa kilo kutoka Sh830 za awali. Waziri Mkuu ametoa maamuzi hayo kufuatia tume maalum...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia kupokea ripoti ya CAG leo Machi 30, Ikulu Dodoma

    Leo Rais Samia atakuwa anapokea ripoti ya CAG Charles Kichere kwa ukaguzi wa hesabu za mwaka 2020/202. Shughuli hivo pevu itaanza saa 4 asubuhi. CAG ana machagua mawili tu,ama kuanika uozo wote wa awamu ya sita au kuchakachua kutaka kuonyesha mama anaupiga mwingi. Kama amenyofoa kurusa zenye...
  19. JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Samia amteua Hassan Ali Hassan kuwa Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua ACI. Hassan Ali Hassan kuwa Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, amechukua nafasi ya Kamishna Johari Masoud Sururu ambaye atapangiwa majukumu mengine. Kabla ya uteuzi huo Hassan alikuwa Mkuu wa Uhamiaji Mkoa wa Kaskazini Pemba.
  20. JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa Maji na Umeme na kupanda bei za bidhaa kunatia doa Serikali ya Rais Samia

    Kabla ya kuingia Samia madarakani tatizo la kukatika kwa umeme halikuwa kubwa namna hii. Ingawa waziri anadai ni maintenance sitaki kukubaliana nae kwani hata awamu iliyopita walikua wanafanya lakini haikuwa kiasi cha kuathiri upatikanaji wa umeme kwa kiwango hiki. Hapa bila kupepesa macho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…