samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nagusa na Kubadili Mawaziri wote isipokuwa Biteko, anafanya kazi nzuri

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Runzewe mkoa wa Geita, leo tarehe 16 Oktoba, 2022 Kwanza nawashukuru, nimeingia Geita jana asubuhi sana, tumefungua hospitali ya kanda pale chato, lakini tukafungua kiwanda cha kuchenjua dhahabu itakayouzwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania GEITA: Kuelekea Uchaguzi Mkuu ndani ya Chama Rais Samia akutana na Wajumbe wa kamati ya Siasa Mkoa, Dr Msukuma atia neno

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan leo Jumamosi tarehe 15 Oktoba, 2022 amekutana na kuzungumza na wajumbe wa kamati ya siasa Mkoa wa Geita. #CCMImara #KaziIendelee
  3. JamiiForums Tanzania Je, Geita ni eneo hatari sana? Mbona walinzi wa Rais wamesimama juu ya gari?

    Vipi huko kanda ya ziwa hasa Chato, mkoani Geita ni eneo hatari sana? Inakuaje walinzi wa Rais Samia kusimama juu ya gari? Ndiyo wanawaogopa Sukuma Gang?
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia aenda kumsalimia mama yake na hayati Magufuli, leo Oktoba 15, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimsalimia Bibi Suzana Magufuli (Mama Mzazi) wa Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli nyumbani kwake Chato Mkoani Geita tarehe 15 Oktoba, 2022. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiomba dua...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa hilo la makumbusho ya Hayati Magufuli, Rais Samia apongezwe

    Hapo juu ni Jengo la kisasa la Makumbusho ya Hayati Magufuli likiwa katika hatua za mwisho kwa kukamilishwa kwake. Mapema leo, Rais Samia ametembelea na kukagua ujenzi wa Makumbusho lile/hayo ili kujionea mwenyewe hatua zilizofikiwa. Kwa hilo la kumuenzi Hayati Magufuli kwa kumjengea...
  6. JamiiForums Tanzania Kiti cha Rais Samia kanisani Vs Rais Ruto kanisani Homa Bay, Kenya

    Nimeona picha ina trend ya kiti cha Raisi kuingizwa kanisani kwamba hawezi kalia kiti kingine tofauti na cha kwake kutoka Dodoma. Baada ya hapo nikakumbuka picha ziliozo triend za Raisi Ruto akiwa Homa Bay mwezi ulio pita, alikalia kiti kilicho chanika na akaona sawa, na hata Maaskofu...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia azungumza na Wananchi Kilangalala Mkoani Geita, Leo Oktoba 15, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan azungumza na wananchi Kilangalala Mkoani Geita leo tarehe 15 Oktoba, 2022 ambapo pia alitembelea mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Chato na kuzindua Kituo cha Kupoozea Umeme na Kiwanda cha Kusafisha Dhahabu mkoani humo. =====...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Viongozi mnaona ubovu kwenye miradi ila mnasubiri Mbio za Mwenge

    Rais Samia amekemea tabia ya viongozi kuwa kimya juu ya ubadhirifu na ubovu wa miradi isiyoendana na thamani ya fedha iliyoko katika maeneo yao na kusubiri mbio za mwenge zije kubaini kasoro za miradi. Amewataka watendaji kushughulika ipasavyo na kutosubiri mbio za mwenge kujua shida za miradi...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki maadhimisho ya kilele cha Mbio za Mwenge Mkoani Kagera. Aagiza TAKUKURU na ZAECA kuchunguza miradi iliyobainika kuwa na wizi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki Kilele cha Maadhimisho ya Mbio za Mwenge katika uwanja wa Kaitaba Bukoba Mjini Mkoani Kagera leo tarehe 14 Oktoba, 2022 Hotuba ya Rais Samia - Rais Samia ametoa salaam na Shukrani kwa Viongozi wote waliohudhuria pamoja na...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia asingewakumbatia Mchwa wa Ufisadi angeweza kuwa Mama wa Taifa ajaye

    Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alizungukwa na Watu very Intelligent na Patriotic Kweli kwa Tanzania ila Rais Samia kwa sasa amezungukwa na Mafisadi, Mafia, Wapumbavu ( Mapopoma ) na Wanafiki watupu wakiongozwa na Mswahili Mmoja nimemsahau Jina. Pumzika kwa Amani Babu yangu Hayati Baba wa...
  11. JamiiForums Tanzania Askofu Kilaini: Nyerere alikuwa Mtu Mwema. Mwana wa Kanisa, Baba wa Taifa na mwanadamu mwenye harufu ya Utakatifu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki Misa Takatifu ya kumuombea Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere inayofanyika Kwenye Kanisa Kuu Katoliki Jimbo la Bukoba Mjini Mkoani Kagera leo tarehe 14 Oktoba, 2022 Misa hii inayoongozwa na Mhashamu Askofu Methodius...
  12. JamiiForums Tanzania Ras Samia azindua chuo cha VETA Mkoani Kagera

    RAIS SAMIA AZINDUA CHUO CHA VETA MKOA WA KAGERA. - Ni chuo Cha kisasa kilichogharimu Shilingi Bilioni 22 ikiwa ni ufadhili kutoka Serikali ya China. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Leo mezindua chuo Cha ufundi stadi na huduma VETA Mkoa wa Kagera ambacho Ujenzi...
  13. JamiiForums Tanzania Mikutano ya kisiasa iruhusiwe ukimya uliopo ni mbaya sana

    Labda ni mawazo yangu kulingana na mambo ya hapa na pale yanayotokea kwenye nchi yetu. Wakati sijaanza kukusimulia ndoto yangu. Nikuchekeshe kidogo, utajisikiaje kama utapewa adhabu ya kuto kuongea Kwa angalau siku 7? Ni bora unyimwe chakula au unyimwe zawadi yoyote. Bila shaka kuongea ndio...
  14. JamiiForums Tanzania SALAMU ZA RAMBIRAMBI: Rais Samia Suluhu Hassan amlilia Maalimu Mussa Hassan Mussa

    Salamu Za Rambirambi za Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa JMT Ndugu Samia Suluhu Hassan kufuatia kifo Cha Mbunge wa Jimbo la Amani Mheshimiwa Maalim Mussa Hassan Mussa kilichotokea leo Okt 13, 2022.
  15. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kusomesha vijana 20 wasiojiweza

    Rais Samia Suluhu katika ufunguzi wa chuo cha ufundi mkoani Kagera leo ameongelea mambo mengi sana lakini lililonikosha ni hili la kusomesha vijana wanaotoka katika familia duni hii inaonyesha kua Rais Samia Suluhu anampango wa kuwainua vijana na kuondokana na Tatizo la ajira Tanzania kupitia...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia akishiriki Makabidhiano na Uzinduzi wa Chuo cha Ufundi Stadi na Huduma Kagera, leo Oktoba 13,2022

    Rais Samia akishiriki Makabidhiano na uzunduzi wa Chuo cha Ufundi Stadi na Huduma Kagera, leo Oktoba 13,2022 Muonekano wa Majengo ya Chuo cha Ufundi Stadi na Huduma (VETA) kilichopo, Burugo Kata ya Nyakato Bukoba ambacho kimezinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuongoza mjadala wa kitaifa wa Nishati Safi ya Kupikia Nov 1-2, 2022

    Wizara ya Nishati imetangaza kuandaa kongamano la nishati safi ya kupikia yaani ‘Clean Cooking Conference’ ili kuchunguza vikwazo vinavyodumaza matumizi ya nishati za kisasa za kupikia. Kongamano hilo linalenga kupendekeza mikakati ya kufanikisha upatikanaji wa nishati safi, za bei nafuu na...
  18. JamiiForums Tanzania Makamba: 89.7% ya wananchi bado wanatumia Kuni na Mkaa kupikia

    Akizungumza leo Oktoba 12, 2022 jijini Dar es Salaam Waziri wa Niashati, January Makamba amesema, “Kupika ni moja ya tukio pekee linalounganisha watu wa hali zote kuanzia wa juu, kati na chini, lakini Watanzania wengi hawajui na wala hawahoji aina ya nishati inayotumika katika kupika vyakula...
  19. JamiiForums Tanzania Ditopile yupo tayari kutumika wakati wowote kuunga juhudi za Rais Samia

    Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tawi la Mwasonga wamempongeza Katibu wa umoja wa Wazazi Tawi hilo kwa kuwawezesha kupata mfadhili ambaye amefanikisha wao kupata eneo la Chama.
  20. L

    JamiiForums Tanzania Kasi ya Rais Samia yawapoteza CHADEMA katika ramani ya siasa, hakina tena ushawishi kwa Watanzania

    Ndugu zangu Hivyo Ndivyo Hali Ilivyo kwa Sasa, Kasi ya Rais Samia kuwatumikia watanzania wa makundi yote,vyama vyote, Rika zote, jinsia zote, Kanda zote, Dini zote,makabila yote,maeneo yote na watu wa Hali zote bila ubaguzi wa aina yoyote kumeipoteza Chadema Katika Ramani ya siasa hapa nchini na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…