samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuhudhuria mkutano wa Wakuu wa nchi AU, ETHIOPIA

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan usiku wa kuamkia leo, Jumapili Februari 18.2024 amewasili jijini Addis Ababa nchini Ethiopia kuhudhuria mkutano wa Wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika (AU), ikiwa ni saa chache tangu awaongoze waombolezaji kwenye mazishi ya kitaifa ya...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia awasili nchini Ethiopia

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasili Addis Ababa Nchini Ethiopia kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika, safari ambayo ameifanya baada ya kutoka kijijini Ngarash Wilayani Monduli Mkoani Arusha ambako ameongoza Waombolezaji kwenye maziko ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward...
  3. JamiiForums Tanzania Kwenye ulimwengu wa Waislamu, Rais Samia Suluhu ni Mwanamke wa nne Duniani kushika nafasi ya Urais

    Kwema Wakuu! Kama mjuavyo dunia hii ya mfumo Dume sio kazi rahisi kwa Mwanamke kushika nafasi ya juu ya Urais. Sasa ni ngumu zaidi katika ulimwengu wa kiislamu kwa Mwanamke kushika nafasi ya juu hasa ya Urais. Lakini Tanzania inakuwa moja ya nchi za awali kuweka rekodi ya kihistoria hasa...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia amjibu Mbowe kwamba umaarufu wa Lowasa uliibeba CHADEMA

    Katika Hotuba yake katika mazishi ya Edward Lowassa, Rais Samia amesema kura nyingi walizopata CHADEMA 2015 zilikuwa ni kwa sababu ya umaarufu ambao Lowassa alijijengea. Rais ametambua kazi nzuri zilizofanya na Edward Lowassa katika nafasi mbalimbali alizowahi kuzishika serikalini. Aidha...
  5. JamiiForums Tanzania Mwijaku: Nikifa nisizikwe mpaka Rais Samia aje kwenye msiba wangu kunizika

    Chawa maarufu na mtangazaji wa CloudsFm Mwijaku, amesema kama ikitokea akatangulia kufa basi mwili wake usizikwe mpaka Rais Samia afike kumzika. Mwijaku ameandika wosia wake kwenye ukurasa wake wa "X", "WOSIA-ikitokea nimetangualia mbele ya thki kabla ya Rais wetu Samia Tafadhali familia...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, wasikilize wananchi wanaodai Katiba, tuendako kuna giza nene. Wasikudanganye waliokuzunguka, tulipofika siko tulikotoka

    Tulipofka hata wale "wajinga" sasa wameelewa hitaji la katiba mpya na sheria za uchaguzi. Maelezo ya Lisu na wenzake yameeleweka sana kwa watu hata wale usiowadhania au unaowatumainia kupata kinga kwao au kutoa Amri. Kuna ukweli karibu watu wote wanaukiri kuwa tunahijai katiba mpya! Hatawa...
  7. JamiiForums Tanzania Picha: Rais Samia kwenye kikao cha kupokea Taarifa ya Maandalizi ya Mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Lowassa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Kikao cha kupokea Taarifa ya Maandalizi ya Mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Lowassa tarehe 16 Februari, 2024. Kikao hicho kimefanyika Ikulu Ndogo ya Arusha na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali...
  8. JamiiForums Tanzania Kuzorota kwa mambo nchini, ni uwezo mdogo wa kuongoza au anatengenezewa mlango wa kutokea 2025?

    Kwakweli inastaajabisha namna tunavyopiga hatua kurudi nyuma kila kukicha, matatizo tuliyonayo leo tulikwisha anza kuyasahau wakati wa awamu ya Magufuli. 1. Umeme umeshindwa kupatiwa ufumbuzi, kila siku ni excuse zisizo na kichwa wala miguu. Na hilo bwawa linalotegemewa kuleta unafuu...
  9. JamiiForums Tanzania Fred Lowassa kumshukuru Rais Samia pekee kwa matibabu ya Baba yake, atakuwa amekosea

    Nilimsikia Fred Lowassa katika salaam zake za rambirambi pale Karimjee Hall, akitoa shukurani zake za dhati Kwa Rais Samia Kwa matibabu ya Baba yake, Hayati Edward Lowassa na kwenda mbali zaidi Kwa kutamka kuwa kama siyo Kwa msaada mkubwa aliotoa Rais Samia, baba yake asingeweza kufikia majuzi...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Haya ndio maisha ya walimu waliomchangia Rais Samia Fomu ya Urais 2025

    Nchi hii wajinga ni wengi sana. Changamoto kama hizi serikali haijui? Ila ukilima bangi hata robo heka popote lazima wajue, upuuzi mkubwa! Halafu hao walimu waliomchagia Rais Samia form ya Urais hiyo pesa kwanini isingepelekwa huku kuwasaidia walimu wenzao? Au zile millioni kumi kumi za...
  11. JamiiForums Tanzania Mbunge Angelina Malembeka: Vazi la Rais Samia Linatosha Kuwa Vazi la Taifa

    Mbunge Angelina Malembeka: Vazi la Rais Samia Linatosha Kuwa Vazi la Taifa Mbunge Angelina Malembeka amesema kwa mtazamo wake mavazi anayovaa Rais Samia Suluhu Hassan yanatosha kuwa vazi la Taifa kwani yana stara, ustaarabu, heshima na unadhifu. Angelina ameyasema hayo Bungeni jijini Dodoma...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Lowassa ametibiwa kwa kodi zetu, si hisani ya Rais Samia!

    Jana nimemsikia mtoto wa Marehemu Edward Lowassa ambaye pia ni Mtunga Sheria (Mbunge) Fred Lowassa akimshikuru Rais Samia Suluhu Hassan na kusema, "kama si Rais Samia baba asingefika Jumamosi alipofariki" kwamba ni Samia alijitolea Kwa hali na mali kuhakikisha Lowassa anapata matibabu...
  13. JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia Nchini Norway baada ya kuwasili katika Kasri la Kifalme Jijini Oslo, Februari 13, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mfalme Harald V wa Norway mara baada ya kuwasili katika Kasri la Kifalme Jijini Oslo, tarehe 13 Februari, 2024. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi...
  14. JamiiForums Tanzania Fredrick Lowassa: Kama sio Rais Samia, Baba asingefika juzi

    "Baba ni mpambanaji alipambana sana mpaka dakika ya mwisho lakini kwa yaliyotokea tunasema ni kazi ya Mungu na kama familia tulipokea kwa amani kabisa, tunasema acha baba apumzike" "Lakini katika vita yake hii ya kupigania maisha yake lazima niseme kipekee naomba sana kutoa shukrani za familia...
  15. D

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Rais Samia tupia jicho Wizara ya Ardhi Kanda ya Dar es Salaam, unahujumiwa

    Kwanza Kabisa nikupongeze kwa kazi nzuri unayofanya ya kuwaletea Maendeleo wananchi wako wewe Binafsi Mh. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan bila kujali ni kwa kiasi gani unaangushwa na baadhi ya wasaidizi wako. Sasa sikia haya na uyafanyie kazi. Miezi kadhaa iliyopita Waziri wa Ardhi Nyumba na...
  16. JamiiForums Tanzania Wamisionari waliofika Tanganyika walikuta watu wamestaarabika na wanajua kusoma na kuandika

    Wajerumani walipofika Tanganyika waliwakuta Waislam wanafahamu kuandika, kusoma na walikuwa wameelimika katika hesabu. Mmishionari Ludwig Krapf alipofika kwa Chifu Kimweri wa Usambaa mwaka 1848 alimkuta yeye na wanae wote wanajua kusoma na kuandika. Krapf alikuwa na barua mkononi kutoka...
  17. JamiiForums Tanzania Picha: Rais Samia akutana na Papa huko Vatican

    Rais Samia Suluhu amekutana na Papa Francis mjini Vatican. Angalia picha hapa, VIDEO: TUKIO ZIMA LILIVYOKUWA Picha - Mwananchi Written by Mjanja M1 ✍️
  18. JamiiForums Tanzania TANZIA Edward Lowassa (Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais wa CHADEMA 2015) afariki dunia

    EDWARD NGOYAI LOWASSA AFARIKI DUNIA Aliyewahi kugombea nafasi ya Urais kupitia CHADEMA, Edward Ngoyai Lowassa amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu. Mtoto wake Fredrick Lowassa amethibitisha na Makamu wa Rais, Philip Mpango amelitangazia Taifa. Pia, Lowassa aliwahi kuwa Waziri Mkuu wa...
  19. J

    JamiiForums Tanzania 2025 Hashim Rungwe na Samia wakigobea Urais huenda Rungwe akashinda

    Kwa jinsi Wananchi wanavyomlalamikia Bi mkubwa kwenye suala la mfumuko wa bei hususan vyakula mzee wa ubwabwa akija na hizo sera zake atashinda.
  20. JamiiForums Tanzania Mahakama yatengua uamuzi wa Rais Samia kumstaafisha Afisa wa PSSSF

    Mahakama imemuelekeza Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kumrejesha Komanya Kitwala katika ajira yake. Ni wa kumstaafisha utumishi wa umma kwa masilahi ya umma aliyekuwa Ofisa Sheria wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), Komanya Kitwala.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…