samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Watu 13 wamefariki kwenye jengo lililoporomoka Kariakoo. Serikali kugharamia matibabu ya majeruhi na kuhakikisha waliofariki wanasitiriwa

    Rais Samia ambaye amesafiri kwenda Jijini Rio de Janeiro nchini Brazil 16 Novemba, 2024 kwa mwaliko wa Rais wa Brazil, Luiz Inácio Lula da Silva kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa nchi Wanachama wa Kundi la G20, amezungumza na Wananchi kufuatia kuporomoka kwa ghorofa...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Samia atangaza ofa ya kuiona Taifa Stars bure dhidi ya Guinea

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametangaza ofa ya kipekee kwa watanzania kuiona mechi ya timu ya taifa, Taifa Stars, bila malipo. Ofa hii inalenga kuongeza hamasa kwa wapenzi wa soka nchini katika kipindi hiki kigumu baada ya tukio la kusikitisha la kuporomoka...
  3. JamiiForums Tanzania Kujali Majanga ya ajali kama Kariakoo Rais Samia ajifunze toka Rwanda kwa Kagame 9/Mei/2011

    Wananajamii forum,heshima kwenu. Ajali ya Jengo Kariakoo kuanguka,kwa maoni yangu kulikuwa kuchelewa kufanya juhudi kwa haraka Serikali hasa JWTZ wakati wa majanga. Vifaa sahihi, watu sahihi kwa majanga walichelewa kuja, na kuanza kazi yao. Ambassador choir of Christ wa wa Rwanda walipata...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ngara: Rais Samia & Mbunge Ndaisaba Ruhoro Wachangiwa Fedha za Kuchukua Fomu 2025

    Kikundi cha Umoja wa Wanawake Maendeleo katika mkutano waliouandaa wamechangia jumla ya shilingi 513,400 kwaajili ya Mbunge wa Jimbo la Ngara, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ili kuchukua fomu ya Uchaguzi Mkuu mwaka 2025...
  5. JamiiForums Tanzania Mitambo ya Rais Samia Yarejesha Bwawa lililopotea Handeni

    MITAMBO YA RAIS SAMIA YAREJESHA BWAWA LILILOPOTEA HANDENI Waziri wa Maji Jumaa Aweso ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa Bwawa la Maji Kwenkambala lililopo Kata ya Kwediyamba, Wilaya ya Handeni mkoani Tanga ambao awali ulikumbana na changamoto kadhaa ikiwamo rushwa na kusimamishwa kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Mwana FA: Ushindi wa Taifa Stars ni maalum kwa Rais Dkt. Samia Suluhu

    Wakuu mmesikia huko? Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amesema ushindi wa Taifa Stars wa bao 2-0 dhidi ya Ethiopia ni maalum kwa Rais Dkt. Samia
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia amru bendera ipepee nusu mlingoti tuomboleze kitaifa

    Najua upo Brazil kwenye majukumu yako Japo viongozi wengine wa nchi zingine wakitaka kukupa salamu za pole inakuwa ngumu maana haupo nchini. Ingekuwa busara zaidi usingesafiri ukabaki hapa tufatilie Kwa pamoja ajali hii, ila naheshimu mawazo yako Watu na majeruhi ni wengi, mh Rais wetu amru...
  8. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Magorofa ya Kariakoo hauzingatii viwango, kama hili litaendelea kupuuzwa, tutegemee maafa zaidi

    Sababu kubwa ya jengo la KKO kubomoko linaanzia kwenye Regulatory Authority iliyotoa kibali bila ya kuzingatia Risk associated Pembeni ya Gorofa lililoanguka kuna Gorofa inajengwa, kwa kuwa nchi ya Tanzania ipo chini ya wahuni, kibali kimetoka bila ya kuweka Measure na Risk Mitigation Plan...
  9. JamiiForums Tanzania Wakina Mama Wajasiriamali wa Dodoma Wamshukuru Rais Samia kwa Fursa za Kiuchumi

    WAKINA MAMA WAJASIRIAMALI WA DODOMA WAMSHUKURU RAIS SAMIA KWA FURSA ZA KIUCHUMI ▪️Wajipanga kujiimarisha kiuchumi kwa fursa za kiuchumi kwa fursa zilizopo Dodoma. ▪️Wajipanga kujenga Maduka ya kibiashara na eneo maalum la uwekezaji ▪️Wampa tuzo Mbunge Mavunde kwa mchango wake kwa wakinamama...
  10. H

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu ndiye Rais ajaye baada ya Rais Samia

    Kila ninapomtazama TAL na aliyoyapitia na anayoyapitia sasa hivi naona miaka si mingi anakuja kuwa President wa Jamhuri hii . Sina tangible reasons msije kunikaba lakini kuna vitu katika dunia hutokea tu ili kuwaonesha wanadamu kuwa yupo mpangaji wa mambo tofauti na vile tunavyojiaminisha kuwa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kigaila: Rais Samia hajaanzisha mradi wowote tangu awe Rais isipokuwa mradi wa mabango ya Mama anaupiga Mwingi!

    Kigaila adai Magufuli amekuwa mwaka 2021 tukiwa na miaka 60 ya uhuru ameacha tunadaiwa deni la Taifa Triolioni 59, sawa na wastani kwa Mwaka Trilioni Moja moja. Samia yuko Madarakani mwaka wa tatu tangu 2021 amepandisha deni la taifa kutoka trilioni 59 mpaka Trilioni 98 kwa wastani wa kukopa...
  12. JamiiForums Tanzania Rais samia mtetezi wa wanyonge,Msikivu

    Rais samia kweli ni mtetezi wa wanyonge na msikivu kweli kweli baada ya kusikia kilio kwa vyama vya upinzani ameamua yaishe na kuamua kuwaagiza wagombea wa upinzani waliokatwa mara moja warudishwe kwenye uchaguzi ili wachinjwe na wananchi wenyewe kwa Rais huyu wapinzani hamtaambulia chochote...
  13. JamiiForums Tanzania LGE2024 CCM: TAMISEMI itambue demokrasia yetu ni changa, ipuuze makosa madogomadogo katika hatua ya rufaa uchaguzi Serikali za mitaa

    "Wapo Wanaccm waliowekewa mapingamizi, wapo wa ACT, wapo wa CHADEMA, na majibu ya mapingamizi yalitoka, lakini kwa hatua za rufaa kwa maelekezo ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi ambaye ni Rais wa Tanzania nilipofanya naye mazungumzo, ambacho tumekiona wapo wagombea wengi sana wa vyama...
  14. JamiiForums Tanzania Kuna rais bora kuwahi kutokea Taifa hili zaidi ya Samia suluhu Hassan?

    Mnyonge mnyongeni lakini haki yke mpeni aisee Rais samia amefanya mengi sana kwa muda huu mfupi mpka watu wameshangaa kwa hayo mazuri aliyoyafanya japo aliikuta nchi katika hali ngumu lakini aimetendea haki nafasi yake kama Rais kwa 4R zake zimeleta matunda yake aisee. Mpaka wapinzani...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia mpandishe cheo Kanali Benard Paul Mlunga

    Aliyekuwa mpambe wa wa Rais Magufuli, Kanali Benard Paul Mlunga akimsikiliza Brigedia Jenerali Ibuge (hayupo pichani) ambaye ni Mkuu wa Chuo cha Ulinzi wa Taifa. Kanali Mlunga alijipatia umaarufu enzi ya hayati Magufuli kea uchapaji wake kazi uliotukuka. Nilijua alishapanda cheo kumbe amebakia...
  16. JamiiForums Tanzania LGE2024 Uchaguzi serikali za mitaa: Mamia ya wagombea wa upinzani waenguliwa, waapa 'kutosusia shamba'

    Mamia ya wagombea wa vyama vya upinzani katika uchaguzi wa serikali za mitaa ujao wameenguliwa kushiriki uchaguzi huo. Chama cha ACT Wazalendo kimeripoti takribani asilimia 60 ya wagombea wake wameenguliwa kushiriki uchaguzi kwa sababu walizozitaja kukosa msingi wa kisheria na kanuni. Kwa...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Akizungumza Na wajumbe wa Tume ya Mipango Ikulu ya Dar es Salaam

    Ndugu zangu Watanzania, Nawaambieni muda wote na siku zote kuwa RAIS wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi muda wote anafanya kazi kwa ajili ya kuwatumikia watanzania,muda na wakati wote anahangaika kutatua kero za watanzania,muda na kila dakika anafanya kazi ya kutafuta majawabu ya changamoto...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwapongeza Tabora United kuwafunga Yanga kwenye mechi ya ndani inaonesha upendeleo

    Pale Ikulu kuna watu wanalipwa mishahara ya bure. Tabora United na Yanga ni timu za nchini inakuwaje moja ipongezwe moja inangwe? Je, ni mara ya kwanza Yanga kufungwa? Kama mtu ni mgeni anaweza kudhani labda ilikuwa mechi ya kimataifa kati ya Tabora united na Yanga ya Burundi, kumbe zote ni...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini kampeni ya kutumia nishati safi viongozi wa serikali wanagawa mitungi ya Taifa Gas tu ambayo ni Rostam Aziz?

    Kwenye hii kampeni ya kutumia nishati safi viongozi wa serikali wanagawa mitungi ya Taifa Gas tu (kampuni ya Rostam Azizi). Je kwanini hawagawi mitungi ya O-gas, Manjis, Oryx, Lake nk? Kwanini Taifa Gas tu? Au ndiyo kulipa fadhila za mchango aliotoa mfanyabiashara huyo kuchangia mradi wa Royal...
  20. JamiiForums Tanzania Kuuliza alipo raisi Samia ni kiherehere

    Nimeona maandiko kadhaa humu toka kwa wadau mbalimbali wakihoji kuhusu kutoonekana hadharani kwa Rais Samia a.k.a Nani kama mama. Namimi niwaulize mnataka aonekane ili mumfanye kitu gani?au mnataka aonekane ili aje atusaidie kwa lipi ?au akionekana atatua changamoto zipi? Kumbukeni Rais nae ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…