samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Mnaolinganisha mafanikio ya Rais Samia na Rais Nyerere, huenda mna tatizo la afya ya akili kwa kutozingatia ukweli huu hapa

    Kuna watu wamekuwa kero kama kelele za mbu karibu na sikio. Wanalinganisha mafanikio ya Raisi Samia na yale aliyofanya Raisi Nyerere enzi za uraisi wake. Wanashindwa kabisa kutambua Nyarere kama Raisi hawakuwa na wigo wa serikali kupata mapato alionao Samia hivi sasa. Leo hii ukilinganisha hela...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Naapa kuachana na CCM

    Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza mimi Raia mtanzania ninaapa kutokuiunga mkono CCM chini ya Samia kwa kutukosesha mikopo wanafunzi wa vyuoni na wengine tumeishafika chuo tukitegemea tungepata walau boom itusaidie maisha ya chuo, kwa maandamano yoyote ya kuipinga serikali nitaunga...
  3. JamiiForums Tanzania Swali kwa wanasheria: Je, Dk Mpango anaweza kumalizia muda wa rais Samia kisha anagombea tena miaka mitano?

    Ni swali tu hakuna utabiri wala lolote baya . Swali : Kwakuwa baada ya kifo cha shujaa Magufuli makamu wake Samia Suluhu Hasani alipewa nguvu ya kisheria ya kumalizia muda wa Magufuli kisha na yeye anaweza kugombea tena urais mwakani na kumalizia kipindi kimoja je kwa mfano ikatokea mwaka 2026...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Bodaboda ni wapiga kura wako; Rais Samia waondolee adha ya kunyanyaswa na SUMATRA

    Jana nimeshuhudia vurugu za kutisha mtaani wakati wa kilichodaiwa kuwa zoezi la kukamata pikipiki zinazodaiwa malipo ya SUMATRA. Hali ilikuwa ya kutisha baada ya bodaboda kuanza kurusha mawe ovyo na kuzua taharuki kwa wapita njia. Bodaboda kisheria wanatakiwa kulipa kodi hiyo kila mwaka kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Mama Samia anafungua nchi

    Nchini Tanzania, hapo kale mtu alihofiwa kufa kwa; 1. AJALI 2. MAGONJWA Sasahivi orodha imeongezeka kidogo 1. AJALI 2. KUTEKWA 3. NJAA (Maisha magumu mno) 4. MAGONJWA Mama Samia anafungua nchi😁
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia atakuwa mtendaji mzuri zaidi akishinda uchaguzi 2025

    Kila nikimtazama mh Rais naona hafurahishwi na mambo ya ovyo yanayoyofanywa na watendaji wake. Nadhani anakwepa mgawanyiko katika Chama chake maana anataka ajenge umoja kuelekea uchaguzi mkuu ili aweze kushinda yeye na Chama chake Mh Rais ni mtu wa haki. Na hapa anakuwa anawazoom tu Baada ya...
  7. JamiiForums Tanzania LGE2024 Jaji Warioba: Wapinzani Waliniambia Wangeweza Kupata Ushindi Kwa 25% tu

    Swali. Kama hivi ndivyo,Kwa nini CCM mnakuwa wadogo wa madaraka wakati kiuhalisia Wapinzani hawana uwezo wa kushindana na kushinda? My Take Ni vyema CCM ikajifunza Namibia sio lazima ushinde Kila pointi ndio uhasabiwe umeshinda. Wapinzani wakishinda watangazwe Ili kuepusha chuki na sintofahamu...
  8. JamiiForums Tanzania Samia ana hadhi na haki kufuta sherehe za uhuru wa Tanzania 2024

    Bendera yetu halisi. Ndugu zangu. Maamuzi ya Rais Samia kufuta sherehe za uhuru wa Tanzania ni sahihi kwa wakati huu tunapoelekea kupata katiba mpya na bora. Tanzania haikupata uhuru wake Desemba 9, 1961. Bali nchi ya Tanganyika ndiyo inayosherehekea Uhuru wake siku hiyo. Nyerere na wenzake...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia afuta sherehe za Uhuru, aagiza fedha zitumike kusaidia huduma za kijamii

    Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza kufuta sherehe za miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara na badala yake fedha zilizotengwa zitumike kusaidia huduma za kijamii. Amesema fedha zilizotengwa katika kila taasisi kwa ajili ya maadhimisho hayo zielekezwe katika kutoa huduma za kijamii, huku akieleleza...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 ya kiuongozi yanayomfananisha Rais Samia Suluhu Hasan na hayati Julius Kambarage Nyerere

    1. Wote ni wapenda amani na umoja, kama Mwalimu Nyerere alivyopigania amani, Rais Samia anahakikisha Tanzania inabaki kuwa nchi ya utulivu. 2. Nguli wa Kiswahili, Mwalimu Nyerere alijenga misingi ya Kiswahili, Rais Samia anaipeleka lugha hii kimataifa, "Tunamwita Mama Global" 3. Mafundi wa...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia amteua Dkt. Mpoki Ulisubisya kuwa Mkurugenzi Mtendaji MOI

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Dk Mpoki Ulisubisya kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI). Rais Samia, pia amemteua Joyce Gideon Mapunjo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) akichukua...
  12. JamiiForums Tanzania Generation Samia kuanza na Jogging kubwa ya historia Dodoma

    Wakuu! Naona vijana wanaendelea nguvu ya uchawa kawa Rais maana kila kitu sasa utasikia Samia hivi na vile yani hashitag kibao kumuhusu Rais Samia. Sasa ndiyo njia pekee ya kufanikiwa kwenye mambo yao? Hii ni to much ====================== Programu mpya ya vijana inayojulikana kama Generation...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri Tabia Mwita: Walioshiriki Samia Fashion Festival 2024 wawezeshwe kulinda vipaji vyao

    Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Tabia Maulid Mwita amewaagiza Viongozi wa Baraza la Sanaa, Sensa ya Filamu na Utamaduni kuhakikisha Wanawawezesha Vijana walioshiriki katika Tamasha la Samia Fashion Fastival 2024 ili kulinda na kuendeleza vipaji vyao. Ameyaswma hayo katika...
  14. JamiiForums Tanzania Mbunge Oliver Semuguruka Aungana na Wana Kagera Kumpongeza Rais Samia na RC Kagera

    MHE. OLIVER AUNGANA NA WANA KAGERA KUMPONGEZA MHE. RAIS NA MKUU WA MKOA KAGERA Leo, tarehe 30 Novemba 2024, historia imeandikwa katika Mkoa wa Kagera, ambapo wana Kagera walijumuika kwa pamoja kumpa heshima Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania yaongoza katika Biashara Afrika Mashariki

    Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan umeendelea kuipa Tanzania mafanikio makubwa katika biashara za kikanda, na kuthibitisha nafasi ya nchi kama kiongozi wa Afrika Mashariki, hiyo ni baada ya hivi karibuni wakati Rais wa Kenya, William Ruto kukiri katika maadhimisho ya Miaka 25 ya Jumuiya ya...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia alivyowanyima wapinzani agenda za kujijenga na kujiimarisha kisiasa

    Utendaji wa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kupitia serikali ya awamu ya sita anayoiongoza umekua sumu kali kwa upinzani nchini kwani umewanyima wapinzani agenda za kusimama nazo kwenye majukwaa ya kisiasa kumnanga na kumshambulia. Zaidi wamebaki kufanya siasa za kibaguzi kwa kushambulia asili...
  17. JamiiForums Tanzania Samia infrastructures Bond yaanzishwa na CRDB

    Wale wawekezaji bond mpya imeanzishwa na CRDB Kwa lengo la kukusanya mtaji wa kurngeneza na kuboresha miundo mbinu. Niwakatu wenu kununua mpate mrabaha. Baadaye nitaaambia kuhusu Gawio la hati fungani hii
  18. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Kikwete: Fursa za ajira kwa vijana nje ya nchi kipaumbele cha Serikali ya Rais Samia

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeendelea kufungua fursa zaidi za ajira kwa watanzania nje ya nchi. Aidha, Mhe. Ridhiwani amesema serikali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…