samia suluhu

Jamhuri ya muungano, kazi iendelee
Samia Hassan Suluhu (born 27 January 1960) is a Tanzanian CCM politician and the designated President of Tanzania, due to be sworn into office following the death of president John Magufuli on 17 March 2021. She became Tanzania's first female vice-President following the 2015 General election, after being elected on the CCM ticket along with president John Magufuli. Suluhu and Magufuli were reelected to a second term in 2020. Before her tenure as vice-president she served as the Member of Parliament for Makunduchi constituency from 2010 to 2015, and was also the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015.
Prior to this, she served as a minister in the semi-autonomous region of Zanzibar in the administration of President Amani Karume. In 2014, she was elected as the Vice Chairperson of the Constituent Assembly tasked with drafting the country's new constitution.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania #IkuluWIkiHii Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika wiki

    #IkuluWIkiHii Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika wiki hii.
  2. JamiiForums Tanzania Klabu ya Uzalendo Wilaya ya Kibaha ilipata fursa ya kukutana na kufanya mazungumzo Ndugu Salim Kikeke

    TAREHE 2 MEI, 2025 | KIBAHA Kwa heshima kubwa, Klabu ya Uzalendo Wilaya ya Kibaha ilipata fursa adhimu ya kukutana na kufanya mazungumzo na Mtangazaji Kinara Mstaafu wa BBC na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Crown Media, Ndugu Salim Kikeke. Katika mazungumzo hayo ya kihistoria, Mwenyekiti wa Klabu...
  3. JamiiForums Tanzania Mchakato wa uanzishaji wa Taasisi ya Uzalendo na Malezi Tanzania (TUMT)

    TAARIFA RASMI | MCHAKATO WA KUANZISHA TAASISI YA KITAIFA YA UZALENDO NA MALEZI TANZANIA (TUMT) Kwa mujibu wa haja ya dharura ya taifa katika kujenga msingi imara wa maadili, uzalendo wa kweli, na malezi chanya ya kizazi kijacho, Klabu ya Uzalendo Wilaya ya Kibaha imeanza rasmi mchakato wa...
  4. JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa Samia Suluhu Hassan

    1. Hapakuwa na umuhimu wowote kukamata Tundu Lissu na hizi forced disappearances za kina mdude, soka na wengine, hata Lisu angeongea namna gani, angechoka, hata chadema ingeenda kwenye uchaguzi na wewe, nakuhakikishia wasingeshida, ccm bado ilikuwa na watu wengi, ungeshida uchaguzi bila yote...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan amemteua, Shaaban Kisu kuwa Naibu Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais-Ikulu

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua, Shaaban Kisu kuwa Naibu Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais-Ikulu. Taarifa imetolewa leo Mei 7,2025 na Katibu Mkuu Kiongozi,Moses Kusiluka katika hafla ya waandishi wa habari wateule kwenye Tuzo za Samia Kalamu Awards,zilizokabidhiwa Mei 5,2025. Chanzo: Nipashe
  6. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Shangwe la Wafugaji: Chanjo Milioni 77 na Hereni Milioni 37 kutolewa bure na Serikali, Wafugaji wadai hawana deni tena na Mama Samia

    == Bila kujali mfugaji unamifugo mingapi Mama Samia atakupa chanjo na hereni kwa mifugo yako yote bure kabisa. Serikali inatarajia kuzindua Kampeni ya Chanjo ya Mifugo Kitaifa kati ya mwezi Mei hadi Juni, 2025 ambapo jumla ya dozi 19,099,100 za chanjo ya Homa ya Mapafu ya Ngombe (CBPP)...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Samia Squad yaanzishwa, lengo kuu ni kumsifu Rais Samia ili kujipatia hela za kujikimu

    Mdau na Mchambuzi wa muziki Saidi Mdoe amesema kuwa wameunda kundi la muziki linalofahamika kama Samia Squard kwa ajili ya kuunga mkono jitihada za Rais Samia, hasa katika mambo makubwa na mazuri aliyoyafanya katika uongozi wake Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi...
  8. JamiiForums Tanzania #IkuluWIkiHii: Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais Samia Suluhu katika wiki

    #IkuluWIkiHii Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika wiki hii.
  9. JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Tanzania ya mshikamano

    RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN NA TANZANIA YA MSHIKAMANO Na, Nicolas Jovin Clinton Gabone. Mwenyekiti mstaafu wa Jumuiya ya Vijana wa Mageuzi (JUVIMA)-NCCR-Mageuzi Dar Es Salaam 4 May 2025. Rais Samia Suluhu Hassan ni moja ya wanawake wachache wenye uwezo na nguvu ambao wamefanikiwa kuongoza...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Africa Uncovered: The systematic suppression of opposition voices to avoid election defeat in Tanzania?

    https://youtu.be/ymGz-MPekKs?si=e_NTmYmrlQKJec0i Tanzania's first female president, Samia Suluhu Hassan, rose to power in 2021 following the sudden death of COVID-skeptic John Magufuli. Initially hailed as a reformer for reversing Magufuli's controversial policies and reviving Tanzania's...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Litakuwa jambo la fedheha sana kama Bashe alimhusiha Raism Samia uamuzi wa kuwanyima Malawi matumizi ya bandari na Rais akaridhia

    Niliandika humu JF bila kuficha, kwamba kuwajibu Malawi kwa kuzuia bidhaa zao za kilimo kuja Tanzania ingekuwa ni reciprocation inayokubalika, lakini sio kuwazuia matumizi ya bandari yetu. Watu wengi sana walinibeza kwa kusema hivyo. Kisha mama Tibaijuka akasema hadharani, kwamba Tanzania...
  12. JamiiForums Tanzania The Struggle for Truth: Political Boycotts and Repression Under President Samia Suluhu Hassan

    The Struggle for Truth: Political Boycotts and Repression Under President Samia Suluhu Hassan When President Samia Suluhu Hassan took over leadership in 2021, there was a wave of hope among many Tanzanians. Her promises of reconciliation, democratic reforms, and respect for human rights were...
  13. JamiiForums Tanzania Nina mpango wa kupambana na Samia Suluhu Hassan kwenye ucchakachuaji ujao kama independent candidate

    Japo naunga mkono no reforms no elections, napanga kumpinga SSH lau asipite bila kupingwa na kujiona anapendwa wakati anchukiwa. Naombeeni kura zenu wanangu. Katika uchaguzi huu mgombea mwenza wangu atakuwa mke wangu ili kuvutia kura za akina mama. Mie sina dini. Mke wangu amesilimu juzi juzi...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia, kelele hizi za Maaskofu, Mashehe na Wachungaji usizifumbie macho ukalalia upande mmoja wa sifa unazomwagiwa

    Niliwahi kupata maono ya kwamba ungemaliza uongozi kipindi hiki ungepata heshima isiyo kifani. Lakini kwa kuwa kuna wachache wanafaidika na uwepo wako wamekupanga uongeze mitano tena na wewe ukakubali kupangika. Mitano hii unayo tuomba itakuwa migumu sana kwako. Kelele hizi za Maaskofu Mashehe...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia azungumza na Mkuu wa KKKT, Askofu Dkt. Alex Malasusa Ikulu

    Rais Samia akiwa kwenye mazungumzo na Uongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki na Pwani ulioongozwa na Mkuu wa KKKT Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Aprili, 2025. Rais Dkt. Samia pamoja na viongozi hao wamejadili...
  16. JamiiForums Tanzania Eti Rais Samia Suluhu Hassan anaweza kweli kuwa nyuma ya uovu anaotendewa Tundu Lissu?

    Sitaki kuamini kwamba MamaSamia2025 yuko nyuma ya mpango wa hiki kinachoendelea. Ninafahamu kwamba MamaSamia2025 ni MTU mwenye dhamira safi licha ya kwamba watu walipotekwa alisema ni vijidrama na Mzee Kibao alipouawa na watu wanaodaiwa ni Polisi, akawapa Polisi haohao KAZI ya kujichunguza na...
  17. JamiiForums Tanzania Agenda ya Rais Donald Trump: Marekani Kwanza, Agenda ya Rais Samia Suluhu Hassan Haijulikani – Je, Tanzania Inaelekea Wapi?

    Katika siasa za kisasa, viongozi wengi wanatumia ajenda zao kuimarisha nchi zao na kujenga mwelekeo wa baadaye. Rais Donald Trump wa Marekani alipochaguliwa mwaka 2024, alileta ajenda yake maarufu ya "Marekani Kwanza." Ajenda hii ililenga kuboresha uchumi wa Marekani, kuleta ajira, na kulinda...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini Mwanza isipate Uwanja mzuri wa mpira?

    KWANINI Mwanza isipatiwe kiwanja cha mpira kizuri kama jiji la Dar, Arusha na Dodoma. 1.Mwanza ni jiji la pili Tanzania kwa watu wengi 2.Mwanza inatoa vipaji vya mpira vingi sanaa kama Aisha masaka,mrisho ngasa na wengine wengi. 3.Mwanza pia ni jiji lenye vivutio vya utalii pia na ni...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dodoma: Wanavyuo waazimia kumuunga mkono Rais Samia Uchaguzi Mkuu wa 2025

    Wanavyuo kutoka mkoa wa Dodoma wameazimia kwa kauli moja kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Azimio hilo limetangazwa katika mkutano mkubwa uliofanyika kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre, ukiongozwa...
  20. JamiiForums Tanzania Karibu katika muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais Samia Suluhu Hassan katika wiki hii

    Karibu katika muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika wiki hii.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…