samia suluhu

Jamhuri ya muungano, kazi iendelee
Samia Hassan Suluhu (born 27 January 1960) is a Tanzanian CCM politician and the designated President of Tanzania, due to be sworn into office following the death of president John Magufuli on 17 March 2021. She became Tanzania's first female vice-President following the 2015 General election, after being elected on the CCM ticket along with president John Magufuli. Suluhu and Magufuli were reelected to a second term in 2020. Before her tenure as vice-president she served as the Member of Parliament for Makunduchi constituency from 2010 to 2015, and was also the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015.
Prior to this, she served as a minister in the semi-autonomous region of Zanzibar in the administration of President Amani Karume. In 2014, she was elected as the Vice Chairperson of the Constituent Assembly tasked with drafting the country's new constitution.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania Africa Uncovered: The systematic suppression of opposition voices to avoid election defeat in Tanzania?

    https://youtu.be/ymGz-MPekKs?si=e_NTmYmrlQKJec0i Tanzania's first female president, Samia Suluhu Hassan, rose to power in 2021 following the sudden death of COVID-skeptic John Magufuli. Initially hailed as a reformer for reversing Magufuli's controversial policies and reviving Tanzania's...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Litakuwa jambo la fedheha sana kama Bashe alimhusiha Raism Samia uamuzi wa kuwanyima Malawi matumizi ya bandari na Rais akaridhia

    Niliandika humu JF bila kuficha, kwamba kuwajibu Malawi kwa kuzuia bidhaa zao za kilimo kuja Tanzania ingekuwa ni reciprocation inayokubalika, lakini sio kuwazuia matumizi ya bandari yetu. Watu wengi sana walinibeza kwa kusema hivyo. Kisha mama Tibaijuka akasema hadharani, kwamba Tanzania...
  3. JamiiForums Tanzania The Struggle for Truth: Political Boycotts and Repression Under President Samia Suluhu Hassan

    The Struggle for Truth: Political Boycotts and Repression Under President Samia Suluhu Hassan When President Samia Suluhu Hassan took over leadership in 2021, there was a wave of hope among many Tanzanians. Her promises of reconciliation, democratic reforms, and respect for human rights were...
  4. JamiiForums Tanzania Nina mpango wa kupambana na Samia Suluhu Hassan kwenye ucchakachuaji ujao kama independent candidate

    Japo naunga mkono no reforms no elections, napanga kumpinga SSH lau asipite bila kupingwa na kujiona anapendwa wakati anchukiwa. Naombeeni kura zenu wanangu. Katika uchaguzi huu mgombea mwenza wangu atakuwa mke wangu ili kuvutia kura za akina mama. Mie sina dini. Mke wangu amesilimu juzi juzi...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia, kelele hizi za Maaskofu, Mashehe na Wachungaji usizifumbie macho ukalalia upande mmoja wa sifa unazomwagiwa

    Niliwahi kupata maono ya kwamba ungemaliza uongozi kipindi hiki ungepata heshima isiyo kifani. Lakini kwa kuwa kuna wachache wanafaidika na uwepo wako wamekupanga uongeze mitano tena na wewe ukakubali kupangika. Mitano hii unayo tuomba itakuwa migumu sana kwako. Kelele hizi za Maaskofu Mashehe...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia azungumza na Mkuu wa KKKT, Askofu Dkt. Alex Malasusa Ikulu

    Rais Samia akiwa kwenye mazungumzo na Uongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki na Pwani ulioongozwa na Mkuu wa KKKT Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Aprili, 2025. Rais Dkt. Samia pamoja na viongozi hao wamejadili...
  7. JamiiForums Tanzania Eti Rais Samia Suluhu Hassan anaweza kweli kuwa nyuma ya uovu anaotendewa Tundu Lissu?

    Sitaki kuamini kwamba MamaSamia2025 yuko nyuma ya mpango wa hiki kinachoendelea. Ninafahamu kwamba MamaSamia2025 ni MTU mwenye dhamira safi licha ya kwamba watu walipotekwa alisema ni vijidrama na Mzee Kibao alipouawa na watu wanaodaiwa ni Polisi, akawapa Polisi haohao KAZI ya kujichunguza na...
  8. JamiiForums Tanzania Agenda ya Rais Donald Trump: Marekani Kwanza, Agenda ya Rais Samia Suluhu Hassan Haijulikani – Je, Tanzania Inaelekea Wapi?

    Katika siasa za kisasa, viongozi wengi wanatumia ajenda zao kuimarisha nchi zao na kujenga mwelekeo wa baadaye. Rais Donald Trump wa Marekani alipochaguliwa mwaka 2024, alileta ajenda yake maarufu ya "Marekani Kwanza." Ajenda hii ililenga kuboresha uchumi wa Marekani, kuleta ajira, na kulinda...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini Mwanza isipate Uwanja mzuri wa mpira?

    KWANINI Mwanza isipatiwe kiwanja cha mpira kizuri kama jiji la Dar, Arusha na Dodoma. 1.Mwanza ni jiji la pili Tanzania kwa watu wengi 2.Mwanza inatoa vipaji vya mpira vingi sanaa kama Aisha masaka,mrisho ngasa na wengine wengi. 3.Mwanza pia ni jiji lenye vivutio vya utalii pia na ni...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dodoma: Wanavyuo waazimia kumuunga mkono Rais Samia Uchaguzi Mkuu wa 2025

    Wanavyuo kutoka mkoa wa Dodoma wameazimia kwa kauli moja kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Azimio hilo limetangazwa katika mkutano mkubwa uliofanyika kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre, ukiongozwa...
  11. JamiiForums Tanzania Karibu katika muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais Samia Suluhu Hassan katika wiki hii

    Karibu katika muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika wiki hii.
  12. JamiiForums Tanzania DOKEZO Ujumbe wa waliokuwa Wafanyakazi wa TPA kwenda kwa Rais Samia Suluhu Hassan, wasema walifukuzwa kazi hawajalipwa stahiki zao

    TAARIFA KWA WAANDISHI WA HABARI JINA : HAMIS MBWANA MZENGA Awali ya yote kwa niaba ya wahanga wenzangu, Tunamshukuru Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama yetu Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri ya kuwatetea wanyonge. Tunaimani na kauli mbiu yake ya KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE...
  13. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 UVCCM: Asanteni Singida kwa mapokezi makubwa

    ❇️ ASANTENI SINGIDA KWA MAPOKEZI MAKUBWA, HII NI IMANI KUBWA YA USHINDI WA KISHINDO KWA DKT. SAMIA SULUHU HASSAN KWENYE UCHAGUZI MKUU OKTOBA 2025 Asanteni sana kwa shukurani zenu mlizopeleka kwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa maendeleo makubwa aliyofanya mkoa wa Singida kwenye sekta ya elimu...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia Suluhu Hassan akijumuika na Viongozi wa Siasa, Serikali, dini na makundi maalum kwenye Iftar

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akijumuika na Viongozi wa Siasa, Serikali, dini na makundi maalum kwenye Iftar aliyowaandalia katika viwanja vya kufurahisha watoto vya Tibirinzi, Wilaya ya Chake chake mkoa wa Kusini Pemba, Zanzibar tarehe 24 Machi, 2025...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Prof. Kabudi: Nyerere alitabiri ujio wa Rais Samia miaka 81 iliyopita

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Palamagamba Kabudi amesema umahiri wa uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan unatokana na juhudi zilizofanywa na waasisi wa Taifa la Tanzania katika kuwaandaa viongozi. Profesa Kabudi ametoa kauli hiyo leo Machi 24, 2025 katika mdahalo wa...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 UWT Lindi wamshukuru Rais Samia kwa ujenzi wa Shule ya TSh. Bilioni 4.1

    Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi Tanzania (UWT) mkoa wa Lindi, wamempongeza Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa ujenzi wa shule ya sekondari ya wavulana ya Kanda ya Kusini katika eneo la kata ya Kiwalala Halmashauri ya Mtama inayogharimu kiasi cha Tsh 4.1 Bilioni . Akizungumza...
  17. JamiiForums Tanzania Maono ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kuona Tanzania inazalisha zaidi mazao ya Chakula na kuweza kuuzia majiran

    Maono ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kuona Tanzania inazalisha zaidi mazao ya Chakula na kuweza kuuzia majirani na ikiwezekana Afrika na mataifa mengine. Kwa sasa Tanzania inajitosheleza kwa chakula kwa aslimia 128.
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Serikali ya Samia Iliagiza Mayai, Nyama na Vipapatio vya Kuku kutoka Marekani kwa Dola Milioni 24.8

    Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, John Heche amesema Serikali ya CCM kupitia Rais Samia mwaka jana iliagiza Mayai, Nyama na Vipapatio vya Kuku kutoka Marekani kwa Dola Milioni 24.8 Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia akubali kumalizia ujenzi wa Msikiti wa Masjid Al-Huda Chato

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassani, amekubali kuendeleza ujenzi wa msikiti mkubwa wa Masjid Al-Huda, ulianzishwa ujenzi wake na Hayti Dk. John Pombe Magufuli, wilayani Chato, mkoani Geita, unaotarajiwa kugharimu zaidi ya shilingi bilioni moja na nusu katika...
  20. JamiiForums Tanzania Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi mbalimbali mara baada ya hafla ya uapisho wa Rais Mteule wa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi mbalimbali mara baada ya hafla ya uapisho wa Rais Mteule wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Netumbo Nandi-Ndaitwah iliyofanyika katika Ikulu ya nchi hiyo Windhoek tarehe 21 Machi, 2025. Mhe. Rais Nandi-Ndaitwah...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…