Samia Suluhu Hassan (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and current president of Tanzania. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party. Suluhu is the third female head of government of an East African Community (EAC) country, after Sylvie Kinigi in Burundi and Agathe Uwilingiyimana in Rwanda, and is also the first female president of Tanzania. She took office on 19 March 2021 after the death of President John Magufuli on 17 March 2021.
A native of Zanzibar, Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the Vice-Chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.
Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.
Ndugu Samia Suluhu Hassan ndiye hasa anayefanya kesho tuandamane kwa mara nyingine tena maana hakuna hata moja alilotekeleza.
1. Wafungwa wa kisiasa bado wanashikiliwa
2. Waliotekwa na kupotezwa hawajarudishwa
3. Miili ya wenzetu waliouawa tarehe 29 Octoba bado kitendawili.
4. Hali ya...
"Ndugu wananchi Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anapenda kuwatakia wananchi wote heri ya Sikukuu ya Uhuru wa Tanzania Bara inayoadhimishwa kila mwaka tarehe 9 Desemba, aidha serikali inawashauri wananchi wote ambao tarehe 9 desemba 2025 hawatakuwa na dharura kuitumia...
Ukiacha wateule wake wachache na viongozi wachache wa Kiisllamu, mmesikia viongozi wa Jumuiya za CCM kama vile UVCCM, UWT, n.k wakijitokeza hadharani kumtetea kwa siku za hivi karibuni?
Ukweli ni kwamba sio Nchimbi tu alieamua kukaa kimya, bali ni wazi hata wana-CCM wengine nao sasa wameanza...
Kanisa la Roman Catholic linajitosheleza kwa kila idara lina kitengo cha ujasusi The Jesuit lina benki yake Bank of Vatican, lina miradi mikubwa dunia nzima, uchumi wake Tanzania ikasome.
Inakadiriwa Kanisa Katoliki linamiliki kati ya hekta milioni 71 na 81. Takwimu hii inajumuisha mali kama...
Hakika Uongozi huwekwa na Mungu.
Leo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameongea na wazee wa Dar Es Salaam.
Hii ni Hotuba nzito sana iliyoonesha Upole, Ukweli na dhamira njema.
Hotuba hii imeonesha kuwa Rais yupo well informed.
Hotuba hii imetambulisha adui ni nani...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao Maalumu cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa iliyoketi Kisiwani Unguja, Zanzibar leo tarehe 29 Novemba 2025.
Kikao hicho pamoja na Mambo mengine kimefanya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, aliwahi kusisitiza kwamba viongozi wanapaswa kuacha tabia ya kuwaajiri watu kwa misingi ya kufahamiana iwe ni ndugu, rafiki au upendeleo wa aina yoyote kwani hatua hizo zinaharibu na kudhoofisha taasisi za umma.
Kauli hiyo aliitoa...
Anaandika Roma mkatoliki.
Pamoja na yanayoendelea, lakini binafsi huwa napenda sana kuumiza kichwa kuhusu #Codes & #Decodes za hii nchi!!
Kuna Dots nikijaribu kuiunga inakataa!!
Inavyosemekana shida kubwa ilianza kujitokeza mwaka 2015 pale #Mpoto alipokuwa anamaliza muda wake wa kutawala...
BRUSSELS/DAR ES SALAAM — November 25, 2025
A diplomatic row has erupted between the European Union and the United Republic of Tanzania on the eve of a critical European Parliament hearing. In a strongly worded Note Verbale obtained by this publication, the Tanzanian Embassy in Brussels has...
Wakili Peter Madeleka amshtaki rais Samia kwa kufuta sherehe za Maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika, (Desemba 9) katika Mahakama ya Tanzania Masjala Kuu ya Dodoma.
Soma: Sherehe za sikukuu ya Uhuru zapigwa STOP. Fedha kutumika kurekebisha miundombinu iliyoharibika wakati wa Uchaguzi Mkuu
TAARIFA YA TAASISI YA THABO MBEKI KUHUSU UCHAGUZI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OKTOBA 2025
Ni wakati wa kufungua haraka Sura Mpya!
Taasisi ya Thabo Mbeki inatoa taarifa hii kufuatia tafakari ya kina na yenye maumivu kuhusu Uchaguzi Mkuu uliofanyika Tanzania mnamo tarehe 29 Oktoba...
afrika kusini
mauaji ya uchaguzi tanzania
samiasuluhuhassan
serikali batili
serikali ya samia
taasisi ya thabo mbeki
thabo mbeki
trt afrika
uchaguzi haramu wa tanzania
Matatizo ya Tanzania yanayo pigiwa kelele kwa muda mrefu na wananchi hayato ondoshwa au kupunguzwa kwa Samia pekee kujiuzulu na kuundwa katiba mpya.
Kama CCM itaendelea kusalia madarakani basi ifahamike hakuna jambo la maana litakuwa limefanyika na damu za watu zitakuwa zimenda bure...
Kila mkihutubia mnasema, kazi na utu, mama ni mtu mwema, mama ana utu.
Mkimaliza tu, anapotezwa mtu. Baada ya muda yuko kituo cha polisi.
Ukifuatilia ni mkosoaji. Sasa utu ni upi? Tusaidieni basi tupunguze mahangaiko huku kitaa.
Wakuu,
Kwani nyinyi mliokuwepo mliona nini? 🤕
==
Rais Samia amewashukuru wananchi wa Mikoa ya Arusha na Kilimanjaro kwa imani kubwa waliyompatia katika uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, akiahidi kurejea tena Mkoani Arusha kutoa shukrani zake kwa wananchi.
Samia amesema hayo Ijumaa Novemba...
Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA na Mbunge wa Nyamagana, Ezekiah Wenje, amesema kuwa uchaguzi mkuu uliofanyika nchini Tanzania uliendeshwa kwa utulivu mkubwa katika maeneo mengi, akibainisha kuwa wagombea wote 17 wa Urais hawakuwahi kupinga matokeo ya uchaguzi wa Rais ambapo Dkt. Samia Suluhu...
Kwanini Mwanaccm Samia Suluhu Hassan kabadilli gia angani na kutaka kamati mpya ya Uchunguzi?
Kwani ile ya kwanza nani aliiunda? Asiongeze watu, bali aivunje kabisa.