samia suluhu hassan

Samia Suluhu Hassan (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and current president of Tanzania. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party. Suluhu is the third female head of government of an East African Community (EAC) country, after Sylvie Kinigi in Burundi and Agathe Uwilingiyimana in Rwanda, and is also the first female president of Tanzania. She took office on 19 March 2021 after the death of President John Magufuli on 17 March 2021.
A native of Zanzibar, Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the Vice-Chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.
Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Jafo: Tusikubali nchi ikaharibika mikononi mwetu

    Mbunge wa Jimbo la Kisarawe mkoani Pwani, Dkt. Selemani Jafo ametilia mkazo suala la wajibu wa kila mtanzania kulinda amani ya nchi akieleza kuwa ajenda ya amani haina mbadala hivyo inapaswa kulindwa kwa wivu mkubwa. Dkt. Jafo ametoa mfano kwa kutaja baadhi ya mataifa ambayo uchumi wake...
  2. Mbunge wa Nachingwea, amfananisha Rais Samia na Nabii Yoshua wa kwenye Biblia

    Wakati wa mjadala wa hotuba ya Rais Samia, Mbunge wa Nachingwea, Fadhili Liwaka amerejea kwenye Biblia, akielezea safari ya Wana wa Israel kutoka kwa Nabii Musa hadi Nabii Yoshua akiifananisha na safari ya uongozi wa Dkt. Samia Suluhu. Akanukuu Yoshua 1:6: “Uwe hodari na moyo wa ushujaa, maana...
  3. PostGE2025 Asenga: Rais kumteua mtoto wake (Wanu) imekuwa Nongwa; eti nchi imeuzwa. Hivi, mkimuangalia Abdul na wema wake ule, kweli anaweza kuuza nchi yetu?

    “Rais Samia Kumteua Mtoto wake (Wanu Hafidh Ameir) Kuwa Naibu Waziri imekuwa Nongwa kila siku Mnasema Mtandaoni, Eti Nchi imeuzwa, Hivi kweli mkimuangalia Abdul na wema wake ule anavaa Sandal na Kanzu atauza Nchi yetu.?, Walisema hivyo hivyo wakati wa Ridhiwani” Abubakar Asenga, Mbunge wa...
  4. PostGE2025 Ester Bulaya: Samia, ni Rais ambaye anasema, anatekeleza

    Wakati wa kujadili hotuba ya Rais Samia, Mbunge wa Jimbo la Bunda Mjini (CCM), Ester Bulaya, kwenye Bunge la Kumi na Tatu, Mkutano wa Pili, Kikao cha Kwanza Januari 27, 2026, amepongeza juhudi na dhamira kubwa ya Rais Samia katika kujenga Taifa. === Mbunge wa Jimbo la Bunda Mjini kupitia Chama...
  5. Waziri Mkuu: Rais Samia anachukia rushwa na ubadhirifu wa mali

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasilisha ujumbe mzito kutoka kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, akisisitiza kuwa mkuu huyo wa nchi hapendi na wala havumilii vitendo vya rushwa, ubadhirifu wa mali za umma, na uzembe kazini. Dkt. Mwigulu ameyasema hayo...
  6. Dkt. Gwajima: Katika kipindi hiki cha Siku 100 za Samia, tumepokea bilioni 10.5 za mikopo nafuu kwa wafanyabiashara wadogo

    Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ndani ya siku 100 tayari imetoa shilingi bilioni 10.5 kwa ajili ya kuwawezesha wafanyabiashara ndogondogo zaidi ya 100,000 waliorasimishwa. Akizungumza na waandishi wa habari...
  7. Simbachawene: Wengi wanajiuliza kimetokea nini? Hakuna kilichotokea, Rais anaweza kumteua na kumuondoa yeyote

    Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mbuge wa Jimbo la Kibakwe George Boniface Simbachawene amesema kuwa amepokea kwa mikono Miwili na kwa Moyo wa Shukrani Uwamuzi wa Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan baada ya Kutengua Uteuzi wake katika nafasi hiyo...
  8. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, kwa Kanda ya Ziwa Rais Samia umeweka historia

    Na Mwl Udadis, Nyakato-Mwanza Rais Samia anaendelea kuonyesha upendo wa dhati na dhamira thabiti kwa wakazi wa Kanda ya Ziwa kupitia miradi mikubwa inayobadilisha maisha, biashara na uchumi wa Mwanza na Kanda ya Ziwa kwa ujumla. Amezidua meli kubwa na ya kisasa zaidi Ziwa Victoria, MV New...
  9. Q

    Mwenyekiti wa CCM (Singida): Acheni kumnyanyasa Samia, tangu achaguliwe mnamzuia kufanya kazi

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida, Martha Mlata, amesema kuwa tangu kumalizika kwa uchaguzi wa Oktoba 29 kumekuwepo na hali ya kumnyanyasa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kiasi cha kumsononesha na kuathiri mazingira ya kufanya kazi kwa utulivu. Mlata ametoa kauli hiyo leo...
  10. H

    Rais Samia kuongoza zoezi maalum la upandaji miti Zanzibar katika Kuadhimisha Siku yake ya kuzaliwa Januari 27,2026

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ataongoza zoezi maalum la upandaji miti litakalofanyika tarehe 27 Januari, 2026, maeneo ya Bungi Kilimo na Kizimkazi, Zanzibar, ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa. Zoezi hili lenye kaulimbiu...
  11. Katika kuilinda Demokrasia na kwa faida ya 'Common good ya Kanisa', Samia Suluhu na Genge lake watafikishwa ICC

    Kufikishwa ICC Kwa Samia Suluhu na Genge lake kunaenda kutupatia Katiba Mpya na Tume Mpya huru ya Uchaguzi yenye Reforms za kutosha. Taarifa za Uhakika kabisa ni kua, SAMIA na Genge lake Wajiandae kwenda ICC !! Hiko wanachokiita Tume ya kuchunguza hakitamuokoa !!. Bahati mbaya sana, Moja ya...
  12. V

    Samia una wakati mgumu wa uongozi

    Watanzania mkae mkijua Rais Samia anapitia kipindi kigumu sana cha uongozi. Kitendo cha kuwarudisha Dkt. Phillip Mpango na Majaliwa Ikulu kwenye nafasi ya uongozi ni kitendo cha aibu sana. Hawa wawili ni viongozi wa juu sana kitaifa ambao wanastahili kupumzika nyumbani na kula pensheni pensheno
  13. W

    PostGE2025 Samia: Nimeliponya Taifa kwa kuanzisha Wizara ya Vijana na kuwaachia huru watuhumiwa wa kesi ya Uhaini

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan, amesema ili kuliponya Taifa amechukua hatua kadhaa ikiwemo kuanzisha Wizara ya Vijana iliyopo chini ya Ofisi ya Rais, kuwaachia huru watuhumiwa wa kesi ya Uhaini na kuanzisha Tume Huru ya Uchunguzi wa vurugu za Oktoba 29. Samia...
  14. Peter Madeleka: Rais aliongea kwa uchungu sana watu kubambikiwa kesi

    Peter Madeleka, amekosoa utendaji wa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) na jeshi la polisi, akidai kuwa mchakato wa utoaji haki nchini umejaa migongano ya kisheria na matukio yanayovunja utu wa binadamu. Soma: PostGE2025 - Rais Samia: Huko Mahabusu kuna watu hawana hatia, wanafungwa kwa kesi ya...
  15. PostGE2025 Makonda: Nitaenda kumlilia Rais Samia atupe Tsh. 2 Bilioni kwa ajili ya vijana wa Online TV na Content Creators

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Christian Makonda, ametangaza mpango wa kumuomba Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kiasi cha hadi Shilingi bilioni mbili kwa ajili ya mikopo ya vifaa vya kisasa kwa ajili ya vijana waliojiajiri kupitia vyombo vya habari vya mtandaoni na...
  16. PostGE2025 Rais Samia: Huko Mahabusu kuna watu hawana hatia, wanafungwa kwa kesi ya kubambikiwa tu

    Rais Samia Suluhu Hassan, amesema hayo leo Januari 13, 2026 wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma. "Huko mahabusu huko kuna mtu anafungwa kwa kesi ya kubambikiwa tu sasa...
  17. PostGE2025 Rais Samia: Majaji simamieni Haki kwa kuzingatia Katiba bila upendeleo

    Rais Samia Suluhu Hassan, amesema hayo leo Januari 13, 2026 wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma. "Nitoe msisitizo kwamba kwa upande wetu Serikali, tutatimiza wajibu...
  18. Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Hongera sana mama kwa kuapishwa kuwa Rais wa Sita wa Tanzania. Sasa baada ya Tanzania kupata uzoefu wa kutosha kutokana na awamu zake za uongozi, na tukaona mazuri na mapungufu yake, na wewe pia kupata uzoefu wa kutosha chini ya Mzee Magufuli ninakuomba haya yafuatayo: Kwanza, usiturudishe...
  19. Naipongeza sana Serikali ya Samia Suluhu kwa kujiweka mbali na fitina za Kanisa Katoliki

    Friends and our Enemies Katika muendelezo wa kumshukuru Allah muumba wa mbingu,ardhi na vyote vilivyomo naendelea kuipongeza serikali inayoongozwa na Dr Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kudumisha amani,umoja,mshikamano na utulivu huku wananchi wazalendo tukiendelea kulipa kodi na kujenga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…