samia suluhu hassan

Samia Suluhu Hassan (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and current president of Tanzania. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party. Suluhu is the third female head of government of an East African Community (EAC) country, after Sylvie Kinigi in Burundi and Agathe Uwilingiyimana in Rwanda, and is also the first female president of Tanzania. She took office on 19 March 2021 after the death of President John Magufuli on 17 March 2021.
A native of Zanzibar, Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the Vice-Chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.
Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nukuu za Rais Samia Suluhu Hassan akishiriki sherehe za Uapisho za Rais Mteule wa Namibia Nerumbo

    Nukuu za Rais wa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki sherehe za Uapisha za Rais Mteule wa Namibia Mhe. Nerumbo Nandi-Ndaitwah, leo tarehe 21 Machi, 2025 Mjini Windohoek Namibia.
  2. JamiiForums Tanzania Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi mbalimbali mara baada ya hafla ya uapisho wa Rais Mteule wa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi mbalimbali mara baada ya hafla ya uapisho wa Rais Mteule wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Netumbo Nandi-Ndaitwah iliyofanyika katika Ikulu ya nchi hiyo Windhoek tarehe 21 Machi, 2025. Mhe. Rais Nandi-Ndaitwah...
  3. JamiiForums Tanzania Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimpongeza Rais Mteule wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Netumbo Nandi-Ndaitwah mara

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimpongeza Rais Mteule wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Netumbo Nandi-Ndaitwah mara baada ya kuhutubia hafla ya uapisho iliyofanyika katika Ikulu ya nchi hiyo Windhoek tarehe 21 Machi, 2025. Mhe. Rais Nandi-Ndaitwah ni Rais wa...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya uapisho wa Rais Mteule wa Jamhuri ya Namibia Netumbo

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya uapisho wa Rais Mteule wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Netumbo Nandi-Ndaitwah iliyofanyika katika Ikulu ya nchi hiyo Windhoek tarehe 21 Machi, 2025. Mhe. Rais Nandi-Ndaitwah ni Rais wa kwanza Mwanamke...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 UVCCM tunasherehekea miaka minne ya dhahabu ya Dkt. Samia Suluhu Hassan

    Maelfu ya vijana kutoka mikoa mbalimbali nchini, 19 Machi 2025 wamekutana mkoani Morogoro kusherehekea miaka minne ya dhahabu ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya...
  6. JamiiForums Tanzania Fuatilia Makala Maalum ya Miaka Minne ya Kazi na Utendaji wa Rais wa Awamu ya Sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan

    Fuatilia Makala Maalum ya Miaka Minne ya Kazi na Utendaji wa Rais wa Awamu ya Sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia Akaunti yetu ya Youtube: Ikulu Tanzania, pamoja Vituo mbalimbali vya Runinga vya hapa nchini.
  7. JamiiForums Tanzania Wasifu wa Samia Suluhu Hassan

    Wasifu wa MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania MAISHA YAKE Mhe. Samia Suluhu Hassan alizaliwa Januari 27, 1960 katika Kijiji cha Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja. Ameolewa na Bw. Hafidh Ameir na wamejaaliwa watoto wanne, watatu wa kiume na mmoja wa kike. ELIMU...
  8. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mkuu wa mkoa wa Lindi Zainab Telack asema Rais Samia ni Rais wa kujenga Taifa

    Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainab Telack, amemsifu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa juhudi zake kubwa katika kuleta maendeleo, akimtaja kama "Rais wa Kujenga Taifa." Akizungumza Machi 15 katika Mkutano wa Diwani wa Ilani uliofanyika Kata ya Narungombe, wilayani...
  9. JamiiForums Tanzania Kurasa 365 za Mama Kitabu cha nne, leo tunazifungulia Mkoani Mbeya, ambapo Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ime

    Kurasa 365 za Mama Kitabu cha nne, leo tunazifungulia Mkoani Mbeya, ambapo Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imepeleka Shilingi Bilioni 16 katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Mbeya, kwa ajili ya Ujenzi wa Jengo la Huduma za Mama na Mtoto, pamoja na...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan Je, umeruhusu Wachina waje Tanzania kutuuzia Yeboyebo na Masufuria mitaani?

    Habari za hapo mjengoni Mheshimiwa, mimi nashukuru Mungu kwa kunipatia afya njema. Mheshimiwa hawa wachina waliozagaa mjini ni wewe ndiye uliye ruhusu waje kutuuzia yeboyebo, kutembeza matunda na kutuuzia vyombo vya jikoni? Mheshimiwa Rais inamaana hakuna raia wako wanaomudu hizi kazi mpaka...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia akihutubia viongozi pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria Mkutano Mkuu wa ALAT

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria Mkutano Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma.
  12. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mama Samia amegundua kosa kubwa chaguzi za 2024

    Uchaguzi wa 2024 wa serikali za mitaa ungekuwa wa huru na haki leo hii swahiba wa Mama Samia Mbowe angekuwa Mwenyekiti wa Chadema na kusingekuwepo leo No reform no election ambayo ni agenda kubwa ya nchi kwa sasa. Kitendo cha Mama Samia kuanza kumkasirikia mkwe wake Mchengerwa tena baada ya...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nimetoa mikeka mingi ya mabadiliko, natafuta watakaosimama na Serikali

    Rais Samia akifungua Mkutano Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) wa 39 Ukumbi wa Jakaya Kikwete -Dodoma Machi 11, 2025. https://www.youtube.com/live/InZNLiUNiCU?si=g75Xu8EoJy6IoBRc Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema katika kutafuta ufanisi wa utendaji kazi...
  14. JamiiForums Tanzania Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria Mkutano Mkuu wa 3

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria Mkutano Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 11 Machi, 2025.
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbeya: Kikundi cha 'Wanawake shujaa' wilaya ya Rungwe, wamemchangia shilingi milioni moja Rais Samia fomu ya kugombea Urais

    Kikundi cha 'Wanawake shujaa' wilaya ya Rungwe, mkoani Mbeya wamechangia fedha zaidi ya shilingi milioni moja za Kitanzania Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi wa mwaka huu (2025) kupitia Chama cha...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Napenda kumwona Rais Samia akiongea, mtulivu ila kauli zenye mamlaka makubwa ndani yake

    Kila shetani na mbuyu wake, huyu Rais wangu mpendwa huwa napenda sana kusikiliza hotuba zake, ni za utulivu, lugha rahisi kueleweka, hafokifoki ujumbe murua unatoa matumaini makubwa. Nisipomsikia wiki 2 au kutojua yuko wapi naumia sana. Hotuba zake ni tamu kuzisikiliza, zimejaa mamlaka...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza kikao cha kamati kuu ya halmashauri kuu ya CCM

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Mkoani Dodoma.
  18. J

    JamiiForums Tanzania PICHA: Mwenyekiti wa CCM Taifa Cde Dkt Samia Suluhu Hassan aongoza kikao Cha Halmashauri Kuu kwa Mafanikio Makubwa

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), leo tarehe 10 Machi 2025, jijini Dodoma.
  19. J

    JamiiForums Tanzania Mradi wa maji wa Mwanga-Same-Korogwe, ushuhuda wa uongozi bora wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan

    "Kiongozi bora ni yule anayehakikisha watu wake wanapata huduma bora" .... John C. Maxwell Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameendelea kuthibitisha kuwa yeye ni kiongozi mwenye maono makubwa kwa Watanzania. Uzinduzi wa mradi mkubwa wa maji wa...
  20. JamiiForums Tanzania Arusha ilikua siku ya wanawake duniani au Siku ya Mhe.Raisi Samia Suluhu Hassan?

    Wasalaam Sifa nyingi kapewa mhe. Kahaidiwa na kupata kura nyingi Shughuli hii ilikuwa ya kumpa 'mama' maua yake katika mlengo wa kisiasa hasa kupitia chama chake cha mapinduzi?(sina shida na hilo) Au alialikwa kama mgeni rasmi kwenye sikukuu ya wanawake? Kama jibu ni la kwanza heko shughuli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…