Samia Suluhu Hassan (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and current president of Tanzania. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party. Suluhu is the third female head of government of an East African Community (EAC) country, after Sylvie Kinigi in Burundi and Agathe Uwilingiyimana in Rwanda, and is also the first female president of Tanzania. She took office on 19 March 2021 after the death of President John Magufuli on 17 March 2021.
A native of Zanzibar, Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the Vice-Chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.
Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.
Katika kongamano la African Renaissance lililofanyika Lukenya University nchini Kenya, Rais wa zamani wa Botswana, Ian Khama, alitoa kauli yenye mguso akisema “hamtambui Rais Samia Suluhu Hassan kama kiongozi halali wa Tanzania.” Alieleza kuwa uchaguzi wa mwaka 2025 ulitawaliwa na vitisho, vifo...
Tarehe 29 Oktoba 2025 imebaki katika kumbukumbu za Watanzania kama siku iliyogeuza mwelekeo wa taifa na kufichua wazi ukubwa wa mgogoro wa kisiasa uliokuwa ukijengeka kimya kimya kwa miaka kadhaa. Siku hiyo, badala ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu kama ilivyotangazwa, taifa lilishuhudia machafuko...
amani
baada
inaweza
kisiasa
kupata
oktoba
oktoba 29
samiasamiasuluhusamiasuluhuhassansuluhu
tanzania
uchambuzi
uchambuzi wa kisiasa
uongozi
uongozi wa samia
#IkuluWIkiHii Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika wiki hii.
📆
dkt. samia
dkt. samiasuluhuhassan
jamhuri
jamhuri ya muungano
katika
matukio
muhimu
muhtasari
muungano
rais
rais wa jamhuri
samiasamiasuluhusamiasuluhuhassansuluhu
tanzania
wiki
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao Maalumu cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa iliyoketi jijini Dodoma, Jumatano, Novemba 5, 2025.
Video ni Sheikh Sharif Majini siku chache kabla ya Uchaguzi, Majini anamtaka Amiri Jeshi Mkuu azime mtandao siku tano kabla ya uchaguzi.
Badala ya kuhubiri HAKI, alihubiri AMANI.
Ajabu Sheikh Majini alifariki dunia alifariki tarehe 29 October kwa kupigwa risasi, siku ya uchaguzi Mkuu. Je...
ICC wamenithibitishia kuwa tiyari wana barua kadhaa kutoka kwa watanzania akiwemo mzee Malisa ambae ndiye alielianzisha ambazo zalingana na barua yangu na kwamba wapo wakisubiri barua zaidi na ushahidi wa kutosha.
Hizi ni barua za tuhuma na hadi hapo ICC watapofungua jalada la kesi bado...
1. Turkmenistan – Saparmurat Niyazov (1990)
Asilimia: 98.29%
Hali ya nchi wakati huo:
Turkmenistan ilikuwa bado sehemu ya Umoja wa Kisovyeti (USSR), lakini ikaanza kuandaa mfumo wa uchaguzi wa “kidemokrasia.” Niyazov alikuwa katibu mkuu wa chama pekee cha kisiasa — Communist Party of...
Wageni mbalimbali waliohudhuria sherehe za uapisho wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan katika uwanja wa Gwaride, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 03 Novemba, 2025
Wazungu walikuwepo kama wote
Picha hii imenivutia nitaweka kwenye Wallpaper ya Laptop yangu
Mwenyekiti mpya wa Umoja wa Maaskofu wa Makanisa ya Kipentekoste (CPCT) Askofu Vernon Fernandes wakati wa kuapishwa Samia huko Dodoma amesema; "Umepokea jukumu kubwa la kihistoria, Mhe. Rais Taifa limegawanyika na Mioyo ya Watu imejeruhiwa kwa namna mbalimbali, ombi langu kwako kwa niaba ya umma...
Hakika wewe ni mshindi dhidi ya umma wa watanzania walio wengi
Wewe mshindi dhidi ya haki za kuishi na katuo maoni?
Wewe ni mshindi dhidi ya demokrasia
Walijifanya wajanja wakaishia kufa mamia hawakujua wewe ni mshindi dhidi yao?
Wakataka kutoa ya maoni ukawazimia mtandao maana wewe ni...
Wanabodi
Utangulizi
Kuna kitu kinaitwa facts na kuna fallacies. Kuna msemo wa kizungu usemao, "facts are stubborn things", yaani fact ni kitu ambacho kipo, kina exist in reality, you can't deny facts. huwezi kusema hukitambui, unaweza usikikubali lakini kipo, unaweza usikipende lakini kipo...
Samia Suluhu Hassan aapishwa kuwa Rais wa Awamu ya Saba wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Shwrehe za kuapishwa kwake zimefanyia Dodoma hii leo 03/Nov/2025
amani
awamu
dodoma
fursa
hii
kishindo
kumpongeza
mtukufu
raia
rais
saba
samiasamiasuluhusamiasuluhuhassansuluhu
tanzania
uapisho wa viongozi
upendo
ushindi
utulivu
wenye
She won the election by 98%, no rigging, wow! Women!
If it was 57% we can understand, so only 2% were on the street or....?
https://vm.tiktok.com/ZMAGHLk8m/
Matendo ya Samia Suluhu Hassan ndo asili ya matendo ya Wanawake?
Uzuri, matamshi ya maneno, ukarimu, uchapakazi macho na mdomo, ni mwanamke wa kiafrika kabisa hata huruma na matamanio.
Matendo ya Samia ni kielelezo tosha. Wanawake wote waliojikomboa kiuchumi na wote walio hudhuria mkutano wa...
01 November 2025
Matokeo ya Uchaguzi Tanzania 2025: maRais watuma salaam za pongezi kwa Samia Suluhu Hassan
Orodha ya marais wanaotuma pongezi kwa Samia Hassan :
"Kwa niaba ya Watu, Serikali ya yangu na Mimi mwenyewe nampongeza ndugu yangu, Dkt Samia Suluhu Hassan kwa ushindi mnono wa...
Aliyekuwa Mgombea Urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan akipokea Hati ya Ushindi wa Kiti cha Urais kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Jaji Jacobs Mwambegele mara baada ya kutangazwa mshindi wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu...
Maandamano yemeendelea kusambaa katika baadhi ya miji mbalimbali ya Tanzania Da-es-Salaam ukiwa ni mji wa kwanza kushuhudia maandamano ambayo yamejumuisha uharibufu mkubwa wa mali na majengo.
Miji mingine kama Arusha, Mwanza, Morogoro na Mbeya nako kumetokea matukio mbalimbali ya uvunjaji wa...
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Samia Suluhu kwenye kilele cha kampeni za CCM, Mwanza leo Oktoba 28, 2025 amesema; "Nimekutana na makundi ya waangalizi wa uchaguzi waliokuja kuangalia tunavyofanya na yanayotokea katika uchaguzi wetu. Jambo waliloliona kubwa zaidi ya yote ni kuwa nchi...