KATIBU Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Eliakim Maswi, amesema Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, lengo lake kuu ni kuhakikisha haki inapatikana kwa wakati, hasa kwa wananchi wanyonge.
Maswi, alikuwa akizungumza Januari 29, 2025 katika mkoani Kilimanjaro, wakati wa uzinduzi wa...
Wakuu,
Kunazidi kuchangamka huko, mwishowe waje na kauli mbiu yenye matusi mradi tu kampeni zifanyike😂:BearLaugh::BearLaugh:
======
Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro amesema kuwa, Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia ni utekelezaji wa Rais Samia Suluhu Hassan ya...
Ikiwa ni Jumapili, Januari 26, 2025 ni siku ya nne pekee tangu kuzinduliwa kwa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia mnamo tarehe 24 Januari, 2025 mkoani Mtwara, kampeni hiyo imeendelea kuyafikia makundi mbalimbali ya wananchi ili kutoa huduma na elimu ya masuala mbalimbali yanayohitaji...
Wananchi 495,552 wamenufaika na Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia Legal Aid inayoratibiwa na serikali kupitia Wizara ya Katiba na Sheria.
Lengo ni kulinda na kukuza upatikanaji wa haki kwa wote kupitia huduma ya msaada wa kisheria nchini. Kampeni hii inatoa msaada wa kisheria BURE na...
MKUU wa Wilaya ya Ileje, mkoani Songwe, Farida Mgomi, amepongeza Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama ya Samia (Samia Legal Aid) kwani katika mikoa ambayo imefikiwa na kampeni hiyo imeonesha umuhimu wa pekee wa kuongeza wigo wa ufikiaji haki kwa wananchi hususan walio pembezoni na ambao...
Wakuu.
Kwa hiyo kwenye hii nchi sasa hivi kila kitu kinapewa jina la Samia? Kwanini mnafanya kila kitu kwa tone ya Uchawa?
==============================================
Wakati nazunguka zunguka huko mtandaoni nimekutana na hii habari kwamba Wizara ya Katiba na Sheria kuwa wana program yao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.