samia kalamu awards

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. tonicimmobility

    Una ujumbe gani wa kumueleza mshindi wa tuzo ya mwandishi bora wa habari za utetezi wa watu wenye ulemavu katika Samia Kalamu Awards 2025?

    Kelvine Raphael, mshindi wa tuzo ya mwandishi bora wa habari za utetezi wa watu wenye ulemavu katika Samia Kalamu Awards 2025 Tuzo aliyopewa ZUNGU ya KALAMU iliambatana na hundi ya Tsh. Milioni 10. Hii ni sehemu ya zawadi. Jasusi akafurahi kweli kweli. Soma pia: Rais Samia kuwa mgeni rasmi...
  2. The Father of All

    Hivi tuzo za Samia kalamu siyo hongo kwa Vyombo vya Habari?

    Japo sikumbuki mheshimiwa daktari, profesa, mbeba maono kuandika lolote la kustahili kuhusishwa na kalamu, nina shaka na 'tuzo' za Samia Kalamu. Kama tuzo zingekuwa dili, basi zingeanza kwa wakulima. Je ni kwanini ameanza au kupendelea wana habari? Soma Pia: Washindi wa tuzo za Samia Kalamu...
  3. Waufukweni

    AIBU: Mchekeshaji Said Said aaibika baada ya kuzuiwa na walinzi wa Rais, kisa zawadi ya Cheni

    Said Said aondoka kwa aibu baada ya kuzuiwa na Walinzi wa Rais Samia alipotaka kumkabidhi Kitu kutoka mfukoni mwake baada ya ku-perform kwenye Samia Kalamu Awards. Wadau mbalimbali wa Sanaa ya Uchekeshaji wamekuwa na mtazamo tofauti kuhusu tukio hili
  4. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Rais Samia: Kalamu zetu zinalinda nchi yetu sawa na jeshi linavyolinda mipaka ya nchi yetu. Namuona Murilo anasikiliza kwa makini

    Rais Samia Suluhu amesema Mwaka huu ni mwaka wa jambo kubwa, nchi yetu inakwenda kwenye uchagazi mkuu niwaombe mtumie kalamu zenu kuhamasisha umoja, amani na mshikamano nchini. Ameyasema hayo leo kwenye usiku wa tuzo za Samia Kalamu Awards mwaka 2025. Soma Pia: Rais Samia akishiriki Hafla ya...
  5. Mkalukungone Mwamba

    TBC Taifa na TBC1 washinda Tuzo za Vituo Bora vya Maudhui ya Redio na Televisheni - Samia Kalamu Awards 2025

    Kituo cha Redio cha Taifa 'TBC Taifa' na kituo cha Runinga cha TBC1 wachaguliwa kama vituo bora vya maudhui ya Redio na Televisheni kama washindi wa tuzo za Samia Kalamu Awards mwaka 2025. Soma Pia: Rais Samia akishiriki Hafla ya Utoaji Utuzo za Samia Kalamu Awards Super Dome - Masaki Mei 5...
  6. Roving Journalist

    PreGE2025 Tuzo za Samia Kalamu Awards Superdome Mawaziri washindana kutoa zawadi kwa washindi, mmoja apewa boti ya milioni 50

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo May 05,2025 ameongoza Wadau mbalimbali kwenye ugawaji wa Tuzo za umahiri kwa Waandishi wa Habari na Vyombo vya Habari Tanzania, zilizoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake (TAMWA) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania...
  7. Ojuolegbha

    Samia Kalamu Awards 2025

    SAMIA KALAMU AWARDS 2025 🇹🇿MGENI RASMI: MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN - Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. 📍 The Super Dome - Masaki 📅 5 Mei, 2025 🕐 Kuanzia saa 12:00 jioni
  8. Waufukweni

    Andrew Kisaka: Samia Kalamu Awards kuboresha maudhui ya ndani

    Meneja wa Huduma za Utangazaji kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Mhandisi Andrew Kisaka amesema Tuzo za Samia Kalamu Awards zimeanzishwa baada ya TCRA kubaini mapungufu katika maudhui ya ndani, hivyo wakaona kuna haja ya kutoa hamasa kwa waandishi wa habari kuandika habari...
Back
Top Bottom